Jamani sugu sijamwona kabisa katika kumpigania Tundu Lisu, au kulani vitendo vya polisi, yeye kama mwenyeki wa kanda ya kusini, yupo kimyaaaaa, ni kama Hajui kuwa mwenyekiti wake wa taifa amekamatwa,
Kama Mbowe ameenda kumuona wewe ni nani hasa? Umeshindwa kutoa hata kauli ya kulaini kupigwa...