tundu lissu

  1. Q

    Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

    "Kulazimishwa kwa Spika Ndugai kujiuzulu kunathibitisha wazi kabisa kile ambacho tumekisema kwa miaka mingi, kwamba kwa mfumo wetu wa kikatiba na kiutawala tuna muhimili mmoja tu wa dola na muhimili huo unaitwa Rais." Mhe. @TunduALissu. "Kwa miaka 60 ya uhuru tangu 1962 utaratibu wa Mihimili...
  2. Audio: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, amezungumza na waandishi wa habari leo, Januari 7, 2022

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu leo, January 7, 2022 saa 4:00 asubuhi, saa za Afrika ya mashariki, amezungumza na waandishi wa habari. Chanzo: Chadema Media https://www.youtube.com/watch?v=WgIY7Q7w2uM =====
  3. Ubaya au uzuri wa kiongozi hauzifanyi hoja zake nazo kuwa mbaya au nzuri

    Watu wengi, especially wafuasi wa CHADEMA, wameonesha kupofushwa na chuki zao dhidi ya viongozi fulani kiasi cha kupoteza objectivity katika kupima nguvu ya hoja zinazotolewa na hao viongozi. That’s a very serious problem. Ni kukosa intellectual maturity! Kimsingi, hatuhitaji kumpenda mtoa...
  4. T

    Tundu Lissu tafadhali simama uhesabiwe katika wanaotetea haki ya Spika kumpinga Rais

    Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the...
  5. Tundu lissu alipata kusema, wakitumaliza sisi watageukiana wao kwa wao

    Vita hii ilikuwa ndogo Sana, ilitakiwa iishie ofisini tu na kwenye kamati za maadili ya chama. Lakini Sasa matamshi ya mama si tu yatufanya watanzania tuhamaki la Bali dunia nzima habari hii itarushwa. Jiwe la Ndugai kwa Rais lilikuwa la kawaida tu lakini jiwe la mama kwa Ndugai ni kama...
  6. Awamu ya 5 ilifikiria nini kukataza watu kumuombea Tundu Lissu?

    Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu. 1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi...
  7. M

    Tundu Lissu: Wanaweza kuzima Intaneti kwa muda lakini sio kuzuia teknolojia

    Wanaweza kuzima mtandao wa internet kwa muda tu, lakini hawawezi kuzuia jua la teknolojia kuchomoza. Waraka wa Tundu Lissu kwa Watanzania huu hapa: HOTUBA YA MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA MHE. TUNDU LISSU.
  8. B

    Serikali kukubali Katiba kuwekewa viraka Dodoma maana yake ni hii...

    MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISSU, AFICHUA UOZO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, TUNAPIGWA TENA Kufuatia taarifa ya Prof. Rwekaza S. Mukandala kubainisha kuna hoja 5 katika hoja 80 zilizoibuliwa zinazohitaji uharaka wa kufanyiwa kazi, baada ya mkutano wa wadau...
  9. Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

    Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
  10. Video: Mwamba Tundu lissu katika ubora wake

    Bonge la uwasilishaji hakika Tundu lisu nje ya mambo machache yanayo mkosesha heshima lkn ni mtu anayefahaa sana kuwa kiongozi tena mkubwa. Jamaa ni mtaalam sana wa kujenga hoja tatizo lake ni ukali wa maneno. Angalia hiyo video namna alivyokuwa anaongea unaona kabisa huyu mtu anao uchungu wa...
  11. Tundu Lissu uongozi ni hekima wewe huna karama hiyo ,,,

    Wadau mjumbe hauwawi,,tulikosea Sana kumwamini lissu kuwa anafaa kuwa rais wa nchi ,tulikosea Sana na hii kitu imekighalimu Sana chama chake,,tulidhani Kila mhubiri anafaa kuwa mchungaji,,la hasha wengine wanatakiwa tu kuwa wainjilisti na sio wachungaji,,au tulidhani kuwa mchungaji wa mifugo...
  12. Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

    "Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!"- TL
  13. S

    Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

    Ujumbe wake ni huu:
  14. Tundu Lissu apongeza kufutwa kwa kesi, atamani kauli ya Serikali ya Rais Samia

    Imefahamika kwamba kesi tano zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zimefutwa tangu Rais Samia aingie madarakani. Gazeti la Mwananchi, limezungumza na Tundu Lissu aliyepongeza kufutw akwa kesi hizo kwa kusema ni JAMBO JEMA. Licha ya kwamba hakuna mahali ambapo Serikali...
  15. K

    Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi

    Hii ni habari iliyoandikwa na gazeti la MWANANCHI la leo. Wakati ni habari iliyotarajiwa ifurike maoni mitandaoni kinyume chake ni kama vile haipo kabisa. Hata mimi humu nimei post mara ya kwanza ikafutwa na sijui kama hii mara ya pili haitafutwa. ======== Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na...
  16. Tundu Lissu: International pressure na internal mobilisation majibu ya Katiba Mpya Tanzania

    Katika madahalo wa Twitter Spaces wa Maria Sarungi, Tundu Lissu ameongea mambo mengi juu ya duru za siasa ya Tanzania na mistakabali wa chaguzi ya 2020 na nini kifanyike kabla ya 2025. Likaja swali, je ni kwa namna gani tutaweza kupata tume huru ya uchaguzi na kuwa na chaguzi huru kwa maneno...
  17. Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

    Umoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe. ============ Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi...
  18. J

    Mahakama ikiingiliwa uhuru wake unapotea automatically. Tundu Lissu kusema Mbowe siyo gaidi haikuwa jukumu lake

    Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba. Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli. Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya...
  19. Kuna sababu gani Tundu Lissu kukaa kimya kabisa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

    Je ndio ameamua kuwa kimya ili Mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!. Je ameamua kufuata mkondo wa Swahiba wake Zitto Zuberi Kabwe aliyekaribia kumsajili ACT-Wazalendo kuwa tusitegemee kuona akikosoa Kama Awamu iliyopita. Nilimsikia kuwa alishawahi kupigiwa simu kwamba Mama...
  20. Tundu Lissu, Salim Mwalimu na Margit Hellwig-Boette, Wakutana Botswana

    Salaam Wakuu Balozi wa Ujerumani Nchini Botswana Margit Hellwig-Boette leo Nov. 08, 2021 akiteta na Makamu Mwenyekiti na Mgombea Urais wa 2020 Tundu Lissu na Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na Mgombea Mwenza wa Lissu wakati wa mkutano wa Kimataifa unaohusu Uchaguzi Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…