Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa mwenyekiti wake, Tundu Lissu anayeshikiliwa katika Gereza la Ukonga, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakili wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Dk Lazarus Chakwera aliyemtembelea.
Itakumbukwa Aprili 10, chama hicho kilikutana...