tundu lissu

  1. GE2025 Tundu Lissu akiwa kizimbani: Wasalimieni, waambie nakuja

    "Habari za kitaa, wasalimieni waambie nakuja, nafanyaje? nakuja" Maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu Tundu Lissu leo Oktoba 20, 2025 baada ya kupanda kizimbani alipokuwa amefikishwa katika chumba Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam inapoendelea kesi ya uhaini...
  2. M

    GE2025 Kesi ya Lissu kuendelea leo Oktoba 20; Jamhuri kuleta utetezi baada ya Lissu kupinga vielelezo vya ushahidi

    Kesi inayomkabili Mhe. Lissu itaendelea leo Mahakama Kuu kanda ya DSM, Mawakili wa Serikali wataleta utetezi wao baada ya upande wa Mshtakiwa kupinga Vielelezo vilivyoletwa Mahakamani kama Ushahidi kupokelewa na Mahakama kutokana na kutofuata utaratibu wa mwanzo wa ukabidhi. --- Upande wa...
  3. Mbowe aliona Watanzania hawabebeki, akavuta hela akatulia?

    Leo nimetafakari juu ya kukosekana kwa Mbowe wala kauli yake kwenye hali ngumu inayopitia Tanzania Nikafikiria hivi kweli hawa watanzania ni watu wa kuwapigania mpaka tone la mwisho? Nikawahesabu watu kadhaa waliorisk maisha yao wakiwatetea watanzania. Nikamkumbuka Tundu Lissu na Mbowe na...
  4. Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Hints: Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia. Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa...
  5. Hesabu chini - zimebaki siku 10! kufika Oktoba 29

    !!! MIKAKATI YA KUPELEKA NA UTAWALA!!! _______________________ JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 Wapo baadhi ya viongozi mashuhuri kwa mfano wabunge wanaojifanya upinzani ambao wanaweza kutumika kuwanyamazisha wapiga filimbi, au mstari wa mbele wa mapambano. Siku zote...
  6. GE2025 Wenje: Lissu alinufaika na falsafa ya 4R za Rais Samia

    Wenje ameendelea kujimaliza, mwenyewe na kujiona mjanja Tumika baba! ==================== Mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, jumla ya kesi 417 zilifutwa, ikiwemo kesi sita...
  7. GE2025 Tundu Lissu: Humphrey Polepole amepatikana au ni yale yale ya Mohamed Ali Kibao?

    Mhe. TunduALissu anauliza; 1. Humphrey Polepole amepatikana au ni yale yale ya Mohamed Ali Kibao? 2. Mama anasemaje juu ya balozi wake Humphrey Polepole au ni kazi na utu? ========================== Baada tu ya kuingia kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya...
  8. Kupitia LISSU tumegundua "Wahuni Ndani ya Jeshi la Polisi , wanapandishana Vyeo Kwa kazi zao za kiovu" na si kwa Mujibu wa PGO!

    Yaan haya maajabu , unakua na viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi ambao kupatikana kwao si Kwa Mujibu wa PGO Bali Kwa Mujibu wa kutoa Ahsante Kwa kazi ya Kiovu iliyofanyika. Mkianza na George Hadi huyu Kaaya wa Leo, UTAGUNDUA ni wahuni Ndani ya koti la Polisi ! Hawafai hata kua Migambo!!.
  9. GE2025 Kesi ya Tundu Lissu: Pingamizi la Jamhuri lagonga mwamba

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mapema leo, Jumatatu Oktoba 13.2025 imetoa 'uamuzi mdogo' kufuatia pingamizi lililokuwa limewekwa mwishoni mwa juma lililopita na upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  10. GE2025 Ulinzi mkali wa Polisi Mahakama Kuu Dar, Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kusikilizwa leo Oktoba 13, 2025

    Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 13, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Tundu Lissu ikitarajiwa kusikilizwa leo.
  11. GE2025 Heche: Aitaka serikali ifute kesi ya Lissu inatumia gharama kubwa, Azungumzia suala la utekaji

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche hii leo Oktoba 10, 2025 akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama kuu kanda ya Dar Es Salaam amesema kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ifutwe ili gharama zinazotumika kipindi hiki cha kuendesha kesi hii ikasaidie...
  12. GE2025 Tundu Lissu arudishwa rumande, kesi yaahirishwa hadi Oktoba 13, 2025

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu imeahirishwa hadi Jumatatu Oktoba 13, 2025. Kesi hiyo ilikuwa ikiunguruma leo Oktoba 10, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo leo Lissu alikuwa akimhoji shahidi wa pili...
  13. GE2025 Kesi ya uhaini ya Lissu kuendelea leo Oktoba 10, 2025, Mshitakiwa kumuuliza maswali ya dodoso shahidi wa 2 Inspekta wa polisi John Kaaya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu tayari amepandishwa kizimbani kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Oktoba 10.2025 kwaajili ya kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili Kesi hiyo ambayo inasikilizwa kwa mfululizo Mahakamani...
  14. GE2025 Lissu: Leo mumeniangusha hamjaijaza Mahakama

    Huyu jamaa anaga kupinda yani anapasua hapo hapo! Inawezekana pia watu wengine wanaogopa kupigwa na hao polisi ambao wamegeuka maadui kwa Watanzania =================== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu wakati akitoka katika kizimbani cha Mahakama Kuu...
  15. Hata Nyerere angekemea Hawa wahuni, Bado angetekwa, Bila kelele na kuwawahi Wangemuuua TUNDU LISSU Kwa Sumu akiwa Gerezani!!

    Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu . Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
  16. GE2025 Tundu Lissu: Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa!

    "Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa" Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu akiwaambia mawakili wake leo baada ya mapumziko mafupi mchana wa leo.
  17. GE2025 Tundu Lissu afikishwa tena mahakamani leo Oktoba 9, 2025, Mawakili wa Jamhuri kumuhoji shahidi namba moja wa Jamhuri

    Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefikishwa mahakamani katika Kesi hiyo ambayo mshtakiwa anajitetea mwenyewe, leo imekuja kwaajili ya Mawakili wa Jamhuri kumuhoji 're-examination' shahidi namba moja (1) wa Jamhuri ACP George Willbert Bagyemu baada ya mshtakiwa kumaliza kumuhoji maswali ya...
  18. GE2025 Tundu Lissu aendelea kumbana maswali magumu Afande George katika kesi ya Uhaini dhidi yake na Jamhuri

    Part 74 Mhe. Lissu: Je unafahamu December 2020 mshitakiwa alipata tuzo inayoitwa BushThetcher Award for freedom kwasababau ya kupigania haki za binadamu? George: Sifahamu Mhe. Lissu : Je unajua mwaka jana TLS walimtunukia tuzo kwa utumishi wake ndani ya Chama cha Mawakili Tanganyika...
  19. Kupitia TUNDU LISSU, Shahidi George akiri yale Mauaji ya Kibiti yalitokea sababu ya uwepo wa anachodai Makosa ya Kigaidi , RCO akiwa Mafwele

    Mkuu TUNDU LISSU anatusaidia kupata Ushahidi zaidi wa baadae kuwashughulikia Hawa Wauaji. Ni kwamba, Kumbe yale mauaji ya watu wengi yalotokea Kibiti, ni Kwa sababu RCO Mafwele na Msaidizi wake George waliyaongoza wao wenyewe Kwa kisingizio Cha Kupambana na Ugaidi. Unaniuliza, kama tatizo ni...
  20. GE2025 Lissu: Nina kesi ya kunyongwa, sina cha kupoteza; nipo tayari kufa lakini nitakuwa na amani ya kusema ukweli

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa, Tundu Lissu Waheshimiwa Majaji jana mliotoa order ya watu kuingia mahakamani kama sheria inavyosema na kama mlivyoelekeza. Mimi nilileta majina na mmoja wa watu wanaotakiwa kuingia ni mgeni wangu kutoka nje. Naambiwa amezuiliwa na uhamiaji hapa mlango wa mahakama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…