tundu lissu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya watu wanaomuunga mkono Freeman Mbowe na wale wa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti CHADEMA

    Hizi hapa ndiyo sifa kuu za wanaomuunga mkono Freeman mbowe. machawa wanaotegemea kula na kuendeleza harakati zao kwa mgongo wa mbowe (posho za harakati) Wanachama wenye maono madogo yaliyobebwa na imani zaidi kuliko akili (Hisia) Watu waliokata tamaa ya kushika dola na hawaamini kuwa chama...
  2. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Tundu Lissu wamejaa uoga na uzandiki!

    Baada ya Lissu kutangaza nia na kuchukua fomu wafuasi wake na wanaharakati walianza kupiga mayowe na kuanza kumsifia Lissu kuwa ndie mwamba. Mbowe hasitahili kugombea tena hata haijulikani nani aliwapa taarifa Lissu na akaanza mashambulizi ya kejeli huku akisema ndio demokrasia uongozi bora uwe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naona kuna wimbi la wasusiaji wa CHADEMA hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti

    Naona kuna wimbi la wasusiaji wa Chadema hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti. Hata mimi nafikiri ni wakati Lissu angetakiwa kuwa mwenyekiti lakini tupiganie sababu za kutaka Lissu awe mwenyekiti. Tupiganie midahalo na kuelimishana sio kuzuia midahalo. Elimu ipatikane...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe nani kaikigawa na kuikipasua CHADEMA zaidi?

    Licha ya kwamba ni uhuru na haki ya kila mwana CHADEMA kuwania nafasi ya uongozi kulingana na sifa, vigezo na masharti ya kikatiba yaliyopo ndani ya chama hicho. Je, ni nani hasa wa kulaumiwa kwa kukivuruga chama hiki cha siasa, ama kwa ubinafsi wake, uchu na tamaa zake za madaraka, kati ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla: Mbowe asikubali kushindwa na Lisu, akishindwa atakuwa Fala sana

    Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema Kwa Miaka 30 sasa hivyo akikubali kushindwa atakuwa Fala sana ============= Mbowe asikubali...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni chama kipi kwa sasa kati ya hivi itakuwa sehemu sahihi kwa Tundu Lissu na wapenda mabadiliko?

    Ni ukweli uliwazi kwamba Mbowe akishinda katika nafasi ya uenyekiti, CHADEMA haitakuwa na nguvu tena ya kupambania dola . Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wafuasi kuhitaji mabadiliko ambayo yanaonekana ni vigumu kuyapata CDM kwa sasa . Hivyo kuna weza kuwa na haja ya kukipa chama kingine...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hana mpango mkakati wa Kupambana na Rushwa

    Kwa jinsi alivyo hawezi kukataa kupokea rushwa, wala hawezi kupambana na rushwa kwa namna yoyote ile. Kwanza ni mbinafsi na amezongwa na shida za kifamilia sana. Na, ni mtu wa tamaa na uchu kupindukia, hususani kwenye suala la fedha, vyeo na madaraka. Ukimfuatilia kwa makini katika mazungumzo...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini CHADEMA wanaolilia katiba mpya hawataki kufuata katiba yao inayoruhusu Mbowe agombee?

    Hawa jamaa walitunga katiba ambayo inampa haki Mbowe agombee na amegombea, Lissu kagombea. Hakuna aliyevunja katiba. Kwa nini wanaona Mbowe kugombea ni tatizo? Lissu anataka mteremko? Si apiganie kura kwa wajumbe? Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tundu Lissu amebeba na kusimamia maono, wengine wamebeba chama chao, tuende na chama au maono?

    TL Kabeba Maono na Anasimami na kulinda Maono.Wengine wamebeba chama chao na kusimamia na kulinda chama .Twende na Chama au Maono. Tundu Antipas Mugwai ni mtu mwenye misimamo thabiti na mwenye akili bora ya kuwa sehemu ya harakati yoyote ya upinzani yenye uaminifu. Ni mtu wa kuaminika...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Huwezi kugombea Kiti kwa kumpaka matope mwenye Kiti, utapoteza hata kidogo ulichonacho

    Hiyo ni character assassination. Tangu Lissu atangaze nia ya kugombea sijawahi kumsikia akiwapongeza viongozi wenzake waliopo as if hakuna kitu walichofanya, yeye ni lawama tu. Lissu angekuwa na ustaarabu hata robo, angeanza kwanza kwa kupongeza juhudi zilizofanywa na mtangulizi wake Mbowe kwa...
  11. Nguruvi3

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Minyukano : Fursa , Makosa na Anguko

    Mpambano wa FAM na TAL una afya ''Chawa Wanashona Sanda, Wapambe wanachimba kaburi Kwa wiki, habari zinazotamalaki ni mpambano wa Uenyekitiki wa CHADEMA (CDM) kati ya Mh Mbowe (FAM) na Mh Lissu (TAL). Mvutano kati yao umepandisha joto la siasa nchini kuliko wakati mwingine. Joto la siasa...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilichomsukuma Mbowe kugombea ni kumkomoa Tundu Lissu?

    Alitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake. Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari? Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA...
  13. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watu wa karibu na Tundu Lissu wamshauri ajiuzulu vyeo vyake vyote ndani ya chadema na kustaafu siasa

    Husika na maada tajwa hapo juu, Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi...
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Vipenga vimelia Kamati ya Ushindi ya Lissu, si muda wa kulala. Kama pesa shida semeni tuanze michango

    Wakuu salam, kila mmoja kwa imani yake wajf popote mlipo. Leo ni leo vipenga kwa pande zote vimelia ,Mbowe anagombea ,lissu anagombea kazi kwenu wajumbe kutuletea mtu Mhimu kwa wakati muhim. Mbowe na lissu wote bado chama kinawahitaji ila kwa nyakati za sasa Lissu ni mtu sahii. Leo natangaza...
  15. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

    Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

    Wanabodi, Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza! Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu kupokea pesa za Abdul, Mbowe asema Lissu aache kuwapaka matope wenzake

    Mbowe akijibu swali kuhusu tuhuma za pesa za Abdul asema hazina ushahidi wowote na kwamba mwenye ushahidi anatakiwa kuupeleka kama alivyoambiwa. Na kuongeza kuwa Lissu kufanya hivyo ni kuwachafulia watu wengine waliojenga reputation zao kwa muda mrefu. Mbowe amemuasa Lissu. Pia soma: Pre...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdude: Mbowe pumzika tunamhitaji Lissu kwa sasa

    Wakuu, "Kwahiyo ukisoma Biblia yote na imeandikwa kabisa, hakuna nabii mkubwa kuliko Mussa lakini Mungu alimpumzisha akampa Joshua akamalizie kazi, kwahiyo hata sasa tunaye Freeman Mbowe amefanya kazi kubwa sana, ni kama Mussa amewatoa wana wa Israel sasa tuko jangwani, tunataka kutoka hapa...
  19. Bezecky

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

    Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa. Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo. Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Iringa wamkana Mwenyekiti Mungai kauli ya kumuunga mkono Mbowe

    Wakuu, Badamu batachuruzika safari hii! ===== Wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kutoka Mkoa wa Iringa wakiongozwa na makatibu kutoka jimbo la Kilolo, Iringa mjini na wilaya ya Iringa pamoja na viongozi wengine wameibuka kupinga kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa, William Mungai...
Back
Top Bottom