tundu lissu

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mtifuano wa Tundu Lissu na Anna Makinda Bungeni. Nini cha kujifunza?

    Salaam Wakuu, Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda. Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza? Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu...
  2. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Wakili Edward Heche atangaza kumuunga mkono Tundu Lissu aseme ni mtu pekee anayechukia rushwa kwa moyo na roho yake yote

    Mpaka Sasa Mawakili wote Tanzània bila kujali I tikadi zao wanamuunga mkono TUNDU LISSU,
  3. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu afukuzwe CHADEMA haraka

    Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia. Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA. Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Olengurumwa atoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi

    Wakili maarufu na mwanaharakati wa haki za binadamu, Onesmo Olengurumwa, ameandika ujumbe wa kipekee katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, akitoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mbowe alifanya kosa dhidi ya Universe sasa analipia

    Moderator Naomba kichwa cha habari kisomeke hivi👇👇👇👇 TAREHE 17 SEPTEMBER 2017, MBOWE ALIFANYA KOSA KUBWA SANA DHIDI YA UNIVERSE. ............................................................ Niliwahi kuandika hapa Jf kwamba ndugu, jamaa au rafiki yako wa karibu akipatwa na jaribu/mtihani wa...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  8. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 NTOBI atengwa na Mkoa wake Wajumbe wa Mkutano Mkuu kutoka Shinyanga wafanya maamuzi na wameamua kumchagua Lissu kwenye Uchaguzi wa Januari wa Chama

    Ikiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana.. Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga wameamua Kutoa Msimamo wao Ambao unapingana na Mwenyekiti wa Mkoa Huo hivyo hawakumshirkisha Kwenye...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kama haujayaweza kwa miaka 20, ukiongezewa miaka Mitano utayaweza?

    Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa chama cha CHADEMA, amesema akioata madaraka, kitu cha kwanza atakachofanya ni reforms. Amesema chama kinatakiwa kiwe na katiba inayoeleza ukomo wa madaraka. Kutokuwepo na ukomo wa madaraka unafanya watu wajione ni Chama cha...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au Vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa

    Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa kwasababu walikuwepo wanachama wakubwa sana akiwemo Chacha Wangwe, Ndesamburo, Lowasa, Alphonce mawazo na walipoondoka CHADEMA haikufifia Tazama Video hii
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Willibrod Slaa: Anachopigania Tundu Lissu ni kuisafisha CHADEMA

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Peter Slaa akizungumza hivi karibuni kupitia jukwaa la Kumekucha la mtandao wa Clubhouse. "Mimi kwa maoni yangu Tundu Lissu (Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA bara)...
  12. Mag3

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe iokoe CHADEMA kwa kuchukua maamuzi mazito ya kumuunga mkono Lissu, usisubiri kesho!

    Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja. Utaijengea CHADEMA heshima Utajijengea heshima kubwa zaidi Kwa kuijengea CHADEMA...
  13. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Ngogo: Ametoa wito kwa wajumbe wa chama hicho kumpigia kura Tundu Lissu

    Naona mdogo mtu akiwa anamsapoti Freeman Mbowe wakati kaka mtu yeye akiwa anamsapoti Lissu, Msikilize jamaa kamchana chana vibaya Freeman Mbowe kwa hoja tano. ====================== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Makete, Ibrahim Ngogo, ametoa wito kwa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kemondo wamuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika tawi la Kemondo, kata ya Igoma, jijini Mwanza, wameeleza wazi msimamo wao wa kumuunga mkono Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Wanachama hao wamewataka wajumbe wa uchaguzi wa chama hicho kumchagua Lissu kwa madai kuwa ndiye...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ikiwa walishindwa kumfanya MWABUKUSI asishinde TLS Licha ya Figisu zote, TUNDU Lissu atashinda Mwenyekiti CHADEMA

    Zipo nyakati ambazo mtoa Mamlaka hua amemuamlia mtu. Zinapofika Nyakati hizo, hata ufanyeje, hata uwe na nani nyuma yako, Kamwe hatuwezi kuzuia Hilo. Mungu anachukia DHURUMA, Mungu anachukia Uonevu, Mungu yupo tayari Kumtumia Shetani ili tu Jambo lake likamilike. Na niseme wazi , Kama LISSU...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

    Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake. Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa! Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara! Baada ya kumaliza secondary na...
  17. Dr Ndlozi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sababu za msingi na makini kwa nini Chadema tunamuhitaji zaidi Mbowe

    Habari zenu waungwana, natumaini mko poa na mnaendelea vizuri sana na majukumu na mapumziko ya mwisho wa mwaka. Kwa kuwa leo ni siku ya mapumziko nimaemua kuitumia kuwaandikia na kuwahimiza wajumbe wa kamati kuu ya chadema wasifanye makosa. Kwanza kabisa mimi Mbowe na Lissu wote ninawaheshimu...
  18. Etwege

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Uhusiano wangu na Mwenyekiti Mbowe siyo mzuri

    Makamu mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa kiti cha mwenyekiti wa Chadema kwenye uchaguzi ujao tarehe 21, January Bwana Tundu Antipas Lisu amefichua siri kuwa uhusiano wake na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe kuwa ni mbaya sana kiasi kwamba hawezi kwenda nyumbani kwa Mbowe akala na kunywa kwa...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Wenje alijitaja mwenyewe kuwasiliana na kujuana na Abdul , Tundu lissu ni mkweli na hana pengine pa kusemea

    TL alitwambia muda mrefu sana Abdul na Kiongozi CDM kumfuata kutaka kumpa Rushwa. Muda umeongea , Tumuamini lissu
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe akishinda anatakiwa ajiuzulu ndani ya mwaka mmoja

    Kabla ya kujiuzulu panga safu nzuri ya uongozi ndani ya chama. Pangua sekretariate yote, pangua safu ya wakurugenzi makao makuu, kuna wakurugenzi wamejimilikisha ofisi miaka na miaka tunawasikia. Nenda CHASO tafuta vijana wapya wape majukumu wakipe chama uhai. Usisahau kutibu majeraha na...
Back
Top Bottom