tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu na sera za mihemko – uongozi usio na hoja, na mwelekeo

    Katika video inayosambaa mitandaoni hivi leo, Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, anasikika akitoa kauli zilizojaa jazba, dhihaka na matusi kwa serikali, huku akikosa kabisa hoja mbadala au dira ya kisiasa inayojibu changamoto za Watanzania wa leo. Kauli zake zimeacha maswali mengi kuliko...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

    Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

    Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi. TAARIFA KUTOKA CHADEMA BreakingNews Mwenyekiti wa Chama wa Taifa Mhe. Tundu A. Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi wilaya Mbinga. Mhe. Lissu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ansbert Ngurumo/Ulimwengu wamtabiria Lissu kushinda Urais. Nyota yake asiipoteze. Zama za Tundu Lissu zitumike vizuri

    Anasema Lisu nyota yake inangara sana, akiichezea hataipata tena. Anakubalika na kila mmoja. Asipoteze nafasi , asipoteze kete hii. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makala, Peter Msigwa na Abdul Kambaya kukiwasha mkoa wa Lindi kusafisha uchafu wote uliofanywa na Tundu Lissu

    Hongereni sana CCM kwa kufanya ziara ya kwenda mkoa wa Lindi kupangua hoja zote za kitoto zilizotolewa na Tundu Lissu katika wilaya ya Ruangwa, Nachingwea, Mtama, Kilwa. Kule Nachingwea Bw.Lissu amechafua sana hali ya hewa, ametukana sana viongozi yeye na mwenzake Lema. Lema amemchafua sana DC...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ataja mambo wanayoyataka ili CHADEMA ishiriki uchaguzi

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No Election” akiwa katika Operesheni ya Kanda ya Kusini wilayani Namtumbo, Ruvuma. Mambo hayo sita ni...
  7. JamiiForums Tanzania The Voices From Within: Tundu Lissu ni Mpango wa Mungu, NRNE ni Mpango wa Shetani, ni li Pepo! Limemkumba Lissu!, Akiachana Nalo, Anatinga Ikulu 2025!

    Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Ulimwengu wa Mwilna Ulimwengu wa Roho Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho. Kusikia Sauti Hii ni thread...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yawezekana tabia ya udalali wa kisiasa ndio ilipelekea CHADEMA wasitangazwe washindi kwenye Chaguzi

    Akili zangu za usiku wa kuamkia leo zimenituma kuwaza hivyo. Yawezekana katabia ka kufanya udalali ndiko kalikokuwa kanazuia CHADEMA wasitangazwe washindi ngazi ya Rais hata kama ni kweli walikuwa wanashinda Mabadiliko ya uongozi ndani ya CHADEMA yamenifanya nione tofauti na kuwaza hiki...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unadhani ni kwanini kampeni ya tone tone kuichangia pesa CHADEMA kidigitali imekwama kwenye hatua za mwanzo kabisa?

    No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema? Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

    Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM. Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama chake kushindwa kuifanyia kazi barua yake ambayo inaonyesha Mnyika, Golugwa na wengine kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kwa kuanza kuchangisha Tonetone ya Kapu kwenye Mikutano , ni Mwanzo mzuri , Kuna Pesa ilikua inapotea kizembe !!

    Wakati Tonetone ya kidijitali ikizidi kuchanja Mbuga ,,, ni vema Matangazo ya Chama kuwaalika Watanzania mikutanoni yaendelee kuwakumbusha kubeba "Chochote Kwa ajili ya Chama". Pesa za Kwa papo Kwa papo, zitasaidia Shughuli ndogo ndogo za Usafiri, Malazi, Chakula ,n.k !! LISSU NI MSIKIVU...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA

    Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA. Hapa ni Namtumbo
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hali hii Tanzania tukishindwa kumpata Tundu Lissu kama Raia tunahtaji kuongozwa na Mwanajeshi mzalendo kama Ibrahim Traore

    Tanzania tumepitia kipindi kigumu sana ndani ya uongozi uliopo madarakani kwa sasa Tumeona kila aina ya uchawa wa viongozi wetu kwa kumpaka mafuta namba1 kwa mgongo wa chupa aka UCHAWA!! Kila mtu akisimama hata sio mwanasiasa mpaka watumishi wa umma anasimama kwa kumshukuru mama. Hii ni hatari...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanda ya kusini: Angalia Mangaka walivyo Mpokea Tundu Lissu. No reforms no Election

    Asubuhi hii Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia wananchi wa kata ya Mangaka, Jimbo la Nanyumbu akiwa njiani kuelekea Namtumbo kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mwita: Lissu na Heche sio watu wa 'kuogopa' uchaguzi!

    Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza kupitia Clouds FM, Mwita amesema wawili hao ni kama simba, na kwamba wakiamua kuhamasisha wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Afande akifurahia hotuba ya Tundu Lissu kuhusu No Reforms No Elecetion

    Askari wa Jeshi la Polisi, akifurahia hotuba ya Lissu kuhusu No Reforms No Election ambapo Lissu amegusia pia namna maaskari na watumishi wengine wa umma wanavyokutana na kikotoo baada ya kustaafu. Kila mmoja atafikiwa tu na Lissu kwa namna yake. Lissu ndio habari ya nchi kwa sasa
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike. Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu awasema Askari kwenye mkutano wake, awaambia wana maslahi duni

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu akieleza namna ambavyo askari wanakatwa mishahara yao. Video: Mwendokasi TV
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa Tundu Lissu ameepuka mpasuko mkubwa zaidi ndani ya CHADEMA

    Wataalamu wa mambo wanasema unapokutana na shetani wawili mbele yako chagua shetani mwenye nafuu, kwa kizungu "choose the lesser evil". Kama CHADEMA ingekubali kushiriki uchaguzi ingeenda kukumbana na mpasuko mkubwa zaidi. Watu hawajui hili baada ya Lissu kushinda uenyekiti wa CHADEMA...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ‘Bon Yai’ Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe, ajiunga na Kambi ya Tundu Lissu.. No reforms, no Election

    BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI? Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election. Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…