Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.
Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
Yaani nchi hii kwa Sasa inasikitisha sana. Yaani ccm kimekuwa chama Cha manyangany'i na mafisadi ya taifa hili.
Kupitia kuwa mwanachama wa CCM, waziri, katibu mkuu, mkuu wa shirika, mkurugenzi wa halmashauri, rais wa nchi anaweza kuamua kuiba mali (rasilimali ) yoyote ya watanganyika na Bado...
Kesi ya Tundu Lissu inaweza kuwa ni mwisho wake kisiasa, kwanza kesi yenyewe inaweza kuendeshwa kwa muda mrefu sana akashindwa kabisa kushiriki siasa tena.
Mwisho wa kesi anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa kisha akaachwa akae gerezani kwa miaka kadhaa na baadaye...
Wakuu,
Kengele nyingine hiyo kwa Watanzania kuamka na kurudisha uwajibikaji na kuchochea utawala bora.
====
Roland Ebole Amnesty International asema ni muda sasa kwa wananchi kutambua kwamba tupo wenyewe, ni muda wa wanachi kuelewa nguvu tuliyonayo kwenye masuala yote haya na kuungana pamoja...
Heri ya Pasaka kwa wote ! Tusherehekee sikukuu hii kwa furaha na baraka. Tusiwasahau wenzetu kama Tundu Lisu na wengine; wape upendo na duaa. Mungu awabariki wote! ๐ฃ๐
Wakuu,
Suala la Lissu na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa maoni Tanzania linazidi kusambaa, Watanzania huu ndio muda wa kuamka na kuhakikisha kuna utawala wa sheria wa haki.
=====
Mtafiti wa Kikanda wa Amnesty International kwa Afrika Mashariki, Roland Ebole akiwa katika mahojiano leo...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani asema vijana wa chama hicho wanatamani Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu aachiwe ili wapambane nae kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Makamu Mwenyeliti wa CHADEMAB(Bara), John Heche amesema kuwa amekutana na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu katika Gereza la Ukonga anakoshikiliwa na kiongozi huyo amewataka wanachana wa chama hicho kuendeleza mapambano.
Lissu alikamatwa Aprili 12 wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma na kisha...
โพTanzania Prisons Services causes unnecessary confusion after 24-hour silence on his whereabouts
โพAuthorities finally confirm that the CHADEMA leader has been shifted to Ukonga prison from Keko prison
โพTreason charges against the main opposition leader in an election year, and...
TAARIFA KWA UMMA
MWENYEKITI WA CHAMA MHE. TUNDU LISSU YUPO GEREZA LA UKONGA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa mapema leo, tarehe 19 Aprili 2025, viongozi wakuu wa chama wamekutana na uongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mheshimiwa Tundu...
Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:
Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.
Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema bado kimeendelea kusisitiza kuhusu msimamo wake wa Jana Aprili 18, 2025 wa kulitaka Jeshi la Magereza na Vyombo vingine vya Dola kueleza kwa "haraka" alipo Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, wakieleza kuwa mara baada ya saa 24 kupita...
Habari wadau!
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, siku hiyo tunaweza kusikia mambo mazito amayo pengine kamwe tusingeweza kuyasikia kwani ni lazima atawavua nguo watu wazito bila kujali nafasi zao katika jamii unless wataendele kumshikilia.
Mpaka sasa, naamini aliitwa pale Magogoni na...
Tundu Lissuโs wrongful imprisonment on treason charges has significant implications, not only for his political career but also for the broader context of leadership in Tanzania and beyond.
Lissu, a prominent opposition figure, has been a vocal advocate for democracy, human rights, and good...
Baada ya taarifa kwa umma iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kulitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Tundu Lissu baada ya viongozi wa chama hicho baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika...
Nazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu,
Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM inavyogalagazwa na Chadema ni balaa,ni ukweli mtupu, nyota ya asubuhi imeanza kuchomoza kwa matumaini ya Chadema
Dr. Wilbroad Peter Slaa anasema, amepata taarifa za ndani kabisa kutoka kwenye credible sources serikalini kuwa..
1. Huko CCM na ndani ya "deep state" hakukaliki, viti vinawaka moto...
2. Wamegawanyika na kulaumiana wao kwa wao ndani ya CCM na Serikali kwa kutekeleza ukamataji huo wa hovyo...
Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha.
Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source...