Katika historia ya mataifa, huwa kuna wakati ambapo nchi hujikuta katika giza nene la Kisiasa, Kijamii au Kiuchumi.
Katika nyakati kama hizo, hujitokeza watu wachache wenye uthubutu, maono, na ujasiri wa kupaza sauti kwa ajili ya Haki na Ukweli.
Tanzania, taifa letu pendwa, limepata mashujaa...