tundu lissu

  1. Hizi ndizo sababu zinazomfanya Tundu Lissu kuwa shujaa wa taifa la Tanzania. Ndani na nje ya nchi amepata sifa kubwa

    Kutaka taifa la Watanganyika kuwa na katiba ambayo italinda na kutetea rasilimali za Watanganyika. Kuwa msema kweli na kutopindisha maneno. Kuwa Mzalendo wa kweli.
  2. A

    PreGE2025 Ni ngumu sana Sugu, Wenje, Mbowe kubakia CHADEMA hii yenye msimamo mkali ya Lissu na Heche

    Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa. Ni suala la muda tu. Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu...
  3. Hoja kuu za Tundu Lissu kwanini No reform No Election -Wanjira

    Wakati Nasoma Medicine kama undergraduate , niliamini Human anatomy ni one of the most complex areas of study in medicine ——The interconnected systems working together is a mythical thing. Nilipoanza kusoma Postgraduate upande wa Oncology nikagundua Cells Multiplications and Mutations ni the...
  4. B

    Tundu Lissu: Katibu Mkuu you are doing Fantastic Job, Makamu Hongera sana. President thank you very much

    Kwenye kesi ya mheshimiwa Tundu Lissu Leo akiwa mahakamani kila mtu ana lake ambalo amelishika na kujifunza. Tumesikia mengi lakini Muhimu kwangu ni Maneno mazito kama hayo. Aligeukia Halaiki na kutambua uwepo wa watu muhimu sana kwake. Alisema; Katibu Mkuu you are doing fantastic job...
  5. Tundu Lissu ni Fimbo ya Musa kwenye kulikomboa taifa teule la TZ

    Guys , tumuheshimu sana tundu Lissu. Jamaa UPINZANI wake anamaanisha… and for sure APEWE HESHIMA….wengi hatuwezi ijapokuwa tunataka mabadiliko…. It is wothless kuwa na UPINZANI wa bahasha za kaki huku watu wanakufa na kutekwa in a serious note . Mtu kama Ben Saanane ndio mazima….hatujapewa...
  6. Freeman Mbowe nenda mahakamani kuonesha mshikamano na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No...
  7. S

    I am sorry on behalf of my country- Tundu Lissu

    Hii ni kauli ya Lissu kwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya, Mhe. David Maraga mahakamani Kisutu leo hii. Ni maneno machache lakini yenye kuonyesha IQ kubwa ya Mhe. Lissu. Mtu mwingine wangeweza tu kusalimiana na kuendelea na mazungumzo mengine. Pia, kauli hii ya Lissu ni aibu na fedheha kwa serikali.
  8. PreGE2025 Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Lissu

    John Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Tundu Lissu adai "Tunaendelea na ziara yetu ya No Reforms NoElection"
  9. Mbunge wa Kenya Babu Owino ataka Rais Samia apigwe marufuku ya kuingia Kenya kwa udhalilishaji

    Wakuu, Mambo yameendelea kupamba moto. Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, ametaka Rais wa Tanzania Samia Suluhu apigwe marufuku kuingia nchini Kenya kwa sababu yoyote ile, kufuatia mvutano uliotokana na kuzuiliwa kwa mawakili watatu wa Kenya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  10. Ushauri wa mwisho kwa CCM: Achaneni na Tundu Lissu, mnavyozidi kudeal nae ndo mnavyozidi kuharakisha anguko lenu, East Africa Spring iko njiani.

    Tundu Lissu ni mjumbe wa Mungu kuja kufanya jambo moja tu Tanzania nalo ni kufanikisha upatikanaji wa Katiba Mpya inayoweka mamlaka kweli kwa Wananchi na kujenga Mifumo imara ya kuwawajibisha Watendaji na Viongozi wanapokiuka Katiba na Sheria. Kwa alipo Tundu Lissu sasa, lolote mtakalojaribu...
  11. PreGE2025 VIDEO: Lissu agoma kuzungumza na mawakili wake: Nimezungukwa na Askari, hii inawezekanaje?

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alivyogoma kuzungumza na Mawakili wake wakati Askari wamemzunguka. Lissu anahoji; "Hakimu amesema mshtakiwa abaki na mawakili wake pekee yao for consultation. Nikiwa gerezani askari wananizunguka. Hakimu amesema nibaki na mawakili wangu bado...
  12. R

    Kwa ulinzi huu, polisi mnamtabiria Nini Tundu Lissu?

    Salaam! Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni! Yaani wamebeba silaha nzito Hadi wanaikimbiza gari iliyombeba nabii wetu Tundu lissu Hadi unashangaa...
  13. PreGE2025 Kesi ya Lissu inaendelea TBC kimya! Mpo kwa maslahi ya nani kama jambo kubwa linalogusa usalama wa taifa mnalifungia vioo?

    Wakuu, Kesi ya Lissu ni suala la kitaifa. Watanzania tuna maslahi nayo maana Uhain si na uchochezi wa kusumbua Watanzania na kufanya tukose amani ni suala serious sana (hata kama tunajua ni uongo😂😂😂), sasa mbali na haya yote TBC, televisheni ya Taifa ni kama wapo ulimwengu mwingine! Yaani ni...
  14. S

    Sitashangaa kuona wanaharakati na mawakili kutoka Marekani, Ulaya na Afrika Kusini wakaanza kumiminika kufuatilia kesi ya Lissu

    Hiki ndio nachokiona kina kuja siku za usoni ambapo kuna uwezekano mkubwa hii kesi kuwa ni moja ya kesi maarufu na ya kihistoria unless wanaifuta ingawa teyari kuna damage kubwa mpaka sasa. Hawa wanaharakati wana mtandao mkubwa sana duniani na wa hapa Afrika ndio watakuwa wa kwanza kufika...
  15. PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi. Pia anaonekana yupo imara sana...
  16. PreGE2025 Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu

    Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo? Pia soma LIVE -...
  17. PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

    https://www.youtube.com/live/9TLDeGzo4I4?si=2c8MZ_S_QZrJKEBl Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Mei 19.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Wakili Tundu Lissu ililetwa kwa ajili ya...
  18. PreGE2025 Martha Karua wa Kenya ameshikiliwa Tanzania kabla ya kesi ya mahakamani ya Tundu Lissu

    Mwakilishi wa Kenya, mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Martha Karua amekamatwa Tanzania alipoingia katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tarehe 18 Mei 2025. Alikuja kumwakilisha kiongozi wa upinzani Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kusaliti nchi ya...
  19. Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu

    Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu. Suala hili la kesi za mchongo limeongeza umaarufu wake duniani kote na imani zaidi kwa wananchi atakapoachiliwa dunia lazima itasimama.
  20. Dr. Mollel amemsifia Tundu Lissu au amemkejeli?

    Dr. Mollel anadai kwamba Tundu Lissu: 1. Ana IQ ndogo sana 2. Ubongo wake unaweza kubeba GB chache tu 3. Kinachomfanya awe muongeaji mzuri ni bidii yake katika kusoma Vitabu! Hizo ni sifa au kejeli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…