Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu.
Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya...
Mawakili wa mwanasiasa kigogo wa upinzani nchini Tanzania ambaye yuko gerezani TUNDU LISSU wamewasilisha malalamiko mbele ya Jopo la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia vitendo vya Ukamataji Watu Kiholela.
Wakili wa Lissu, Robert Amsterdam amesema malalamiko hayo ni sehemu ya kampeni pana ya...
Leo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kushikiliwa kwake ili lichukuliwe na kutangazwa kama Kushikiliwa Kinguvu (Arbitral Detention)
Suala hili ni hatua muhimu sana hasa wakati huu ambapo Taifa letu...
“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Mtumishi wa Mungu Phophet Clear Malisa ametoa wito kwa watanzania kuilinda amani kwa gharama yoyote hasa katika kupindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Prophet Malisa akifanya mahojiano nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma alipokuwa amealikwa kwenye Mkutano...
Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni?
Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
UMUHIMU WA KUCHAGULIWA LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU KATIKA SIASA ZA UPINZANI NCHINI TANZANIA!
Watu wengi wanajadili kuhusu Tundu Lissu kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti wa IDU. Kilichovutia wengi ni kitendo cha kuchaguliwa kwake akiwa gerezani hivyo kuthibitisha uwezo na mvuto wa Lissu hata...
John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura
Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
Mpo Salama bila Shaka!
Sio kila wakati au kila Jambo mabavu na ubabe ni suluhu ya matatizo.
Mwaka Jana niliwahi kuandika hapa Pre GE2025 - Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata?
Ni juzi tuu wala sio Mbali.
Wataalamu wa mambo yajayo...
Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu .
Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio...
Ni dhahiri kuwa mahakama ya Tanzania imeteleza vibaya kwenye kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Hii siyo tena kesi ya kawaida, bali ni landmark case ya kuonesha ni kwa namna gani mhimili wa mahakama umegeuzwa kuwa chombo cha kisiasa na si tena kimbilio la wanyonge. Juzi, wakati kesi ya...
Letter from Birmingham Jail
The "Letter from Birmingham Jail", also known as the "Letter from Birmingham City Jail" and "The Negro Is Your Brother", is an open letter written on April 16, 1963, by Martin Luther King Jr. It says that people have a moral responsibility to break unjust laws and...
Baba Asikofu popote ulipo POKEA salamu Yangu sifi leo Muuumini wako mwema.
Baada ya salamu nakuomba Baba utoe Neno dhidi ya Mh Tundu Lissu aliyenusulika kuwa kwa risasi 16 Sasa ana kesi ya uhaini ambayo akipatikana na HATUA adhabu yake ni kunyongwa mpaka afe.
Baba Asikofu Mimi muumini wako...
Nimewahi kusema hili na ninalisema tena hapa.
Lissu kakàa gerezani uso wake umenawiri, ana furaha lakini waliomtupa gerezani wamekosa furaha kabisa.
Mtu yeyote bila kujali cheo alicho nacho, mali alizonazo kama akipigwa pigo la ufahamu anakosa furaha na amani na mtu anapokosa amani tayari vita...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.
Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo...
https://youtu.be/l93YJzVm8z0?si=mhs-eCey82uYQAyP
Huu ni mjadala mzuri sana uliofanywa AzamTV ukimshirikisha Deus Kibamba (Mhadhiri wa mambo ya siasa ktk Chuo Cha Mwl Nyerere) na Mwenyekiti wa Mkoa wa CHADEMA mkoa wa kichama, Kinondoni - DSM, ndugu Sunday..
Mjadala umejikita kujadili agenda ya...
Nashukuru sana waheshimiwa Tundu Lissu, John Heche na wapigania uhuru wengine wa CHADEMA.
Jipeni moyo, msikate tamaa. Inawezekana siku ile unayokata tamaa ndo siku ya kukamilika kwa ukombozi kamili wa Nchi hii.
Kutokana na ugumu wa safari na nature ya watu wengine kuwa na interest tofauti...
Kutaka taifa la Watanganyika kuwa na katiba ambayo italinda na kutetea rasilimali za Watanganyika.
Kuwa msema kweli na kutopindisha maneno.
Kuwa Mzalendo wa kweli.