tundu lissu

  1. Video: Baada ya Mahakama kusitisha shughuli za chama, Tundu Lissu atoa ujumbe mzito toka gerezani kuhusu NRNE, asema Aluta continua..!

    https://youtu.be/rVoMmXxnrwc?si=3yJq9L7mgZsH9xe8 Asema: 1. MSIOGOPE. Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM. Aliwekwa ktk kesi hii kwa maslahi ya CCM. Huyu alikuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) chini ya uenyekiti wa Jecha Jecha iliyofuta matokeo ya ushindi wa CUF ya Maalim Shariff Hamadi...
  2. PreGE2025 Ujumbe kutoka kwa Tundu Lissu: Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM, anafanya kazi ya CCM

    "Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna hii tutatarajia aipende CHADEMA inayosema No reforms No...
  3. M

    Hivi changamoto ni CHADEMA au Tundu Lissu? Wananchi wajue

    Mimi nimetafakari na kujiuliza, je, tatizo la CHADEMA ni chama na sera zake au pengine ni uwepo wa Tundu Lissu kwenye chama hicho na misimamo yake? Hili linahitaji mjadala mpana sana kwa sababu CHADEMA ni taasisi inayoishi—Lissu atakuwemo na kutoka; pengine ataenda DP, au ataacha siasa, au...
  4. Jinsi Tundu Lissu alivyotabiri Kwa usahihi hiki kinachotokea sasa!

    Ukiwa na moyo safi Mungu hukupa baraka ya kuyaona yajayo hata kama kwa wakati husika utakuwa huelewi unachooneshwa ama kuelewa kitakachotokea! Hapa Lissu alitabiri kwa usahihi hiki kinachotokea sasa kwenye siasa za Tanzania. Msikilize. 👇 Mungu amewapa CHADEMA baraka ya kuyajua yasiyojulikana...
  5. PreGE2025 Kwanini Tundu Lissu ataweza kuchukua nchi?.

    Asalaam alykhum, Tumsifu Yesu Kristo. Mimi siyo mtabiri. Nimeona wazi kabisa mchezo wa siasa siyo mzuri na hauna dini, bali dini inachukuliwa na wanasiasa kama kinga kwa wananchi wao. Kikubwa wanasiasa hawana dini na hawaamini kama kuna Mungu, wewe angalia matendo yao. Njoo kwenye mada sasa...
  6. PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

    Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema. No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu. Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
  7. Tundu Lissu aliwahi kutoa wito kwa vyama vya siasa nchini kuungana na CHADEMA, unadhani ni kwanini vyama vyote vya siasa vilipuuza wito huo wa lissu?

    Je, walijitathimini vizuri, wakagindua na wakaona mbali na hatimae wakajiepusha na anguko la vyama vyao kama ilivyoangukia pua Chadema chini ya ungozi wa Tundu Lisu mwenyewe? Au ni kwasasababu uropokaji, kukosa maono kwa Lisu, kukosa hekima na busara kwa huyo mtoa wito asie aminika na mwenye...
  8. Free Tundu Lissu Song

    https://youtu.be/-XTSbsRSCZE?si=xmjmw5AFhFe1ayAm
  9. K

    PreGE2025 Kama CHADEMA hawakuandaa "back - up" ya Tundu Lisu, huenda Mbowe akafaa huko mbeleni

    Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko...
  10. Tundu Lissu sio mtu kawaida

    Mimi sio mtu wa siasa kabisa. Falsafa yangu kuhusu maisha ipo tofauti kabisa na mambo ya siasa. And my life is moving in the direction of my life philosophy. But guys am telling you, Lissu sio mtu wa kawaida. He represents a very higher and powerful entity in the realm of the spirits...
  11. PreGE2025 Askofu Mlawi: Kesi ya Lissu ziharakishwe kabla ya Uchaguzi

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amevitaka vyombo vya utoaji haki nchini kuharakisha usikilizwaji wa kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuhakikisha suala hilo...
  12. Mahakama ya Tanzania yaondoa Maudhui ya mwenendo wa Kesi ya Tundu Lissu kwenye Mtandao wa YouTube

    Mahakama ya Tanzania imeondoa Maudhui ya Kesi ya Tundu Lissu kwenye Akaunti ya Mtandao wake wa YouTube. Hii ina maana gani? Ikumbukwe, zaidi ya watu 18,000 walifuatilia kesi hii 'Live' kwenye akaunti hiyo pekee ilipotajwa kwa mara ya mwisho Juni 2, 2025 huku makumi ya maelfu wakiendelea...
  13. B

    Je, kukamatwa Tundu Lissu ndio chanzo cha haya yote?

    Kama wewe ni mtu wa kutafakari maswala ya Causal-effect relationship inaweza kuwa rahisi kuelewa kuwa Matukio ya hivi karibuni ndio chanzo cha mambo yoote haya unayoyaona. Kwanini?
  14. B

    Gwajima kazima kiki ya Tundu Lissu

    Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu. Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri.. Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania
  15. Namba za wafuatiliaji wa Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kupitia YouTube zatikisa!

    Wakuu Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa. Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya...
  16. Imekuaje Kesi ya Pili ya Tundu Lissu kuhusiana na Uchochezi hairushwi live?

    Wandugu Mahakama walituahidi kesi za Tundu Lissu zitarushwa live leo. Tunafahamu Tundu Lissu ana kesi mbili, Ya Uhaini na ya Uchochezi. Kesi ya Uhaini imehairishwa, vipi ya uchochezi ambayo mashahidi wanapaswa kuanza kutoa ushahidi leo?
  17. PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

    Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu. Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka...
  18. Mahakama yasema kesi ya Tundu Lissu, Juni 2, 2025 itakuwa 'Live'

    Kwa mujibu wa mahakama wenyewe watarusha matangazo ya moja Kwa moja kutoka mahakamani. Kwa mara ya Kwanza tutashudia matangazo hayo ya mahakama ikiwa kweli Wanafanya hivyo
  19. PreGE2025 Godwin Mollel: Mwanaume mzima analaumu Wanaume wenzake, hiyo ni kutojielewa

    Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati wa kazi na wakati wa Siasa. Namnukuu “Mwanaume mmzima unaamka umeshonewa suti nzuri, mkeo amepiga pasi wewe unaenda kulaumu wanaume wenzako asubuhi mpaka jioni.”
  20. J

    Je, Askofu Gwajima akihudhuria kesi ya Tundu Lissu atakuwa amejivua uanachama wa CCM?

    Nauliza tu kama askofu Gwajima atahudhuria kesho kisutu atakuwa amejivua uanachama wa CCM Kesi ya uhaini maana yake Serikali ya CCM ilitaka kutolewa mahakamani 🐼
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…