tundu lissu

  1. GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuujulisha umma kuwa kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa zinazodai kuwa Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuna mipango ya kuwekewa sumu akiwa kizuizini. Taarifa hizi zimetolewa usiku huu wa leo, tarehe 02...
  2. J

    Shekhe Mziwanda, na Shekhe Jongo, wanakosea kumuombea mabaya Tundu Lissu, huku wakisahau jinsi Lissu alivyotetea Mashehe wa Uamsho, na Answar Sunna

    Huu ni ushahidi ufike kwa Shekhe Mziwanda, na Shekhe Jongo. Msikilizeni Tundu Lissu akitetea Mashekhe wa Uamsho, na Answar Sunna. Je, ni uungwana Mziwanda, Jongo, na Mwaipopo, kumshambulia Tundu Lissu? https://www.youtube.com/watch?v=WcWTRjKreWc https://www.youtube.com/watch?v=0WazpC_VdZE
  3. Haki inaleta Nuru; Lissu yupo Jela lakini ananuru. Walionje wa wamefubaa na kuchakaa. Kweli Haki humfanya mtu awe na Amani ya rohoni

    Hamjambo! Unaweza ukawa na pesa lakini umefubaa. Yaani mtu akikuona hivi huna Nuru. Unaweza ukawa na cheo kikubwa lakini ukawa mtumwa, umechoka, umefubaa. Uliwahi kumwona mtu anacheo kikubwa, mshahara mnene, ulinzi kama wote. Hapigwi na jua Muda wote Kiyoyozi. Anakula anachotaka. Lakini...
  4. PreGE2025 POTOSHI Tundu Lissu alisema 'No reforms, No election' sio msimamo sahihi, unaenda kuua chama

  5. 4

    Rasmi Tundu Lissu anahutubia Taifa akiwa Gerezani, CCM mmekwisha

    WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua. Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa . Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi...
  6. J

    Maajabu ya Tundu Lisu: Alipopigwa risasi aliwakumbuka wote waliomhudumia hadi ndani ya ndege, na sasa mahakamani anamsaidia hadi DPP!

    Kiukweli mtu aliyechungulia kaburi kama huyu Tundu Lisu kuwa na Ujasiri wa kiwango hiki ni jambo la aina yake Fikiria alipopigwa risasi alikumbuka matukio yote hadi wale waliombeba kwenye machela na kumpandisha ndani ya ndege Leo tena yeye alikuwa kama Prof mbobevu wa Sheria pale mahakamani...
  7. Je, hii ni kweli kwamba akili ya Lissu ingepaswa kutumika kwenye mkataba ya kimataifa?

    Wadau mbalimbali huko mtandaoni wanasema akili ya Lissu ingepaswa kutumika kwenye mkataba ya kimataifa, ingetumika kwenye mambo ya ya diplomasia ingeleta tija kwa Taifa kuliko kuiweka ndani kwa sababu zozote zile. Wamekwenda mbali na kusema kitendo cha kuiweka ndani akili kama ile ni utahira...
  8. Je, Kesi ya Tundu Lissu ni Jaribio la Mahakama na Jamhuri Kutumia Sheria kama Silaha ya Kisiasa?

    Kesi inayomkabili Mheshimiwa Tundu Lissu kwa mara nyingine tena mbele ya Mahakama ya Tanzania inazua hoja nzito kuhusu matumizi ya sheria kwa malengo ya kisiasa badala ya haki. Hii ni kwa sababu msingi wa mashitaka yanayomwandama unaakisi mtindo wa kurudiarudia mashitaka yenye muktadha wa...
  9. Kesi ya pili ya Uchochezi inayomkabili Tundu Lissu inaendelea mahakamani muda huu

    Wakuu, https://www.youtube.com/watch?v=6TwpERK4wFA Shauri Na. 8606/2025 la uchochezi na kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa YouTube linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Lissu imeahirishwa mpaka pale mahakama kuu itakapotoa majibu hivyo shauri limeahirishwa kwa muda...
  10. PreGE2025 Tundu Lissu: Itakuwa kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema "Itakua kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini" "Ni mara ya kwanza katika historia ya nchi kuona kesi kubwa katika sheria za Tanzania kesi ya UHAINI...
  11. GE2025 Tundu Lissu: Baada ya madai yangu niliyotoa Mahakamani, nililetewa Padre kwenye Sero yangu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema baada ya madai yake Mahakamani juu ya kunyimwa Haki zake za msingi akiwa sero aliletewa Padre kwenye Sero yake na kupata hudama ya kiroho. Soma, Pia: Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15...
  12. Msimamo wa Tundu Lissu kuhusu katiba mpya ni WOKOVU kwa TAIFA kadri muda unavyosonga

    Imagine, aliyekuwa MKURUGENZI wa Usimamizi wa UCHAGUZI kumbe ni kada wa CCM, all those days anasimamia uchaguzi mkuu in favor of CCM , and curently amechukua fomu to affirm. Imagine, aliyekuwa Mkuu wa jeshi la polisi ambae tunaamini anapaswa kuwa independent entity anakula teuzi kuwa mkuu wa...
  13. M

    Maalim Seif na Tundu Lissu, wanasiasa waliopewa vipaji vikubwa

    Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita. Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam mwenye akili sana Tanzania, asiweza kukata tamaa na Licha ya madhila makubwa aliokumbana nayo ni mtu...
  14. Wazanzibari kimyakimya wafanya maendeleo makubwa wa haraka huku akili za watanganyika zikielekezwa kwa Tundu Lissu, Askofu Gwajima na Luhaga Mpina

    Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
  15. GE2025 Hongera Sana Tundu Lissu hakika utakumbukwa vizazi na vizazi

    Ukiangalia kwenye jicho la tatu bunge kuvunjwa August 3 mwaka huu Misimamo yako isiyoyumba Sasa imeanza kuzaa matunda Mwanzo tuliwaambia wakashupaza shingo Sasa naona no reform no Election imewaingia na wametupa taulo. Ni matunda ya Tundu Lissu kusimama kidete, kukubali kuteseka kwa sababu...
  16. B

    Uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri Kesi ya Lissu, Mahakama kuyatolea uamuzi Julai 11, 2025

    Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yake dhidi ya Jamhuri. Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/2025 akiomba marejeo ya mahakama kuhusu uamuzi uliotolewa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi yake ya uchochezi ambayo...
  17. Alivyotendewa Tundu Lissu Ukonga ni Uvunjifu Mkubwa wa Ibara 13 ya Katiba

    Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu. Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu...
  18. Tarehe 27 June, 2025 Lissu Mahakamani kupinga Uwepo wa Mashahidi wa Siri

    Taarifa ya Chademo iliyosambazwa kote Duniani hii hapa Swali: Ujanja ujanja kwenye Ushahidi wa kunyonga mtu unatoka wapi tena, Wekeni mashahidi wenu hadharani Dunia iwaone, Mbona yule Askari wa Doria mitandaoni mlimuanika?
  19. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE: Tundu Lissu apewa kila anachohitaji gerezani

    Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote. Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA...
  20. Tundu Lissu: Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha, na kushiriki huduma ya kiroho siku za ibada

    Ujumbe kutoka Tundu Lissu "Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani; Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha, Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…