tundu lissu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afichua sababu ya Magufuli kukutana na Wapinzani Ikulu bila CHADEMA

    March 24, 2020 Radio Deutsche Welle Bonn Ujerumani Kipindi kinagaubaga Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili DW afichua kilichojiri katika mkutano wa hivi karibuni baina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Joseph...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anadhani Nchi kama chumba chake cha kulala huko ulaya, Wazungu walishakupuuza haujistukii tu wala kujiongeza

    IMF wameshampongeza mzee Magufuli kwa kazi nzuri anayofanya unapoeleza ujinga wako wanakuona mwehu. World Bank tayari wametembelea miradi mbalimbali ya ujenzi unaoendelea Tanzania wa Reli ya kisasa na bwawa la mwalimu Nyerere. Ukija huku Tanzania utaiona mpya tuna mfugale Flyover, Ubungo...
  3. JamiiForums Tanzania Miaka 3 ya Tundu Lissu kutokuwepo Tanzania

    Najua ulishambuliwa ili wengine tukate tamaa kutetea haki pia ili kuwakatisha tamaa mawakili wanaotetea haki za upinzani Tanzania ndi maana miaka 3 ambayo haupo mahakama imewekwa mfukoni hakika usingekubali ungekuwepo nchini. walitaka kukuua ili zile hoja zako mahakamani zisiwepo. Maono yako...
  4. JamiiForums Tanzania Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri. Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
  5. JamiiForums Tanzania CCM ikitaka kupata Airtime ya kutosha iwanunue Mbowe, Mnyika na Tundu Lissu hawa mnaowanunua mtafirisika bila mafanikio

    Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti . Sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

    Toka: Geneva, Uswisi. Waheshimiwa Wabunge salaam. Poleni sana kwa mapambano na hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya. Naendelea kuifuatilia kazi yenu kwa ukaribu sana. Bila shaka mlisikia kwamba nilipeleka malalamiko juu ya mambo niliyotendewa na Tanzania ya Magufuli kwenye Umoja wa Mabunge...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alijua analolifanya ndiyo maana alisema 2020 atagombea Urais Tanzania

    Sheria mpya iliwekwa kuwa kila mgombea ni lazima awe ameishi Tanzania kwa miaka miwili mfululizo. Akatolewa u bunge kibabe na kuwekwa mbunge wa “viti maalum wasiojulikana” na wakati huo huo mbunge huyo akapewa mamilioni ya pesa ili atatue kero ya maji. Ushurikiano huo Lissu hajawahi kupewa...
  8. JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Tundu Lissu umezimwa ghafla na Zito kabwe Tayari ZITO amempiku. rasimi TUNDU LISU Tayari 2020 October Magufuli vs Zito CHADEMA out.

    Hata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana. Baada ya BUNGE kuvunjwa Wabunge kadhaa na madiwani wa CHADEMA...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu njoo uwaombe msamaha watanzania uongo wako umedhihirika leo

    Ulikuwa unawatetea sana ACACIA ukakubali kulipwa ili uisaliti nchi yako ulikosea sana kaka LISU jinsi nilivyokujua nilitegemea meseji za faraja kwa mkuu wa nchi katika kipindi kigumu cha mapambano na Wazungu lakini kaka LISU ukaonyesha wazi chuki yako dhidi ya Serikali kwa Vipande thelathini...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wadhamini hawawezi kunirudisha Tanzania, nitarudi nikihakikishiwa usalama wangu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu amesema anawaonea huruma waliomdhamini katika kesi ya uchochezi inayomkabili, kuiomba mahakama itende haki kwa kuwa hawawezi kumrejesha Tanzania. Lissu ambaye kwa sasa yupo nchini Ubelgiji anakabiliwa na kesi ya uchochezi katika mahakama ya...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Lissu yupo nchini?

    Hadi sasa watu wanateseka sana na kuweweseka kisa kuona picha za mh Lissu Makamu wa mwenyekiti wa cdm. Je tayari amesha tua hapa nchini? Tafadhali tupeane habari Sent using Jamii Forums mobile app
  12. JamiiForums Tanzania Kura yangu ni asilimia 100% kwa Tundu Lissu

    .
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tundu Lissu anasoma michango yetu humu JamiiForums?

    Hivi Mh TAL ANASOMA post zetu sisi wapenzi wake ambao tunamkubali mno kuliko maelezo? Je tal anamjua/ anazijua I'd hizi? Sky eclat Erthrocyte Na wengineo? Je nitahakikisha vipi tal amesoma post yangu? Basi kupitia Uzi huu nimuombe tal afungue I'd yake ambayo ni verified ili tuweze...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika kwa CHADEMA kutangaza tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu kuwa tukio la kigaidi

    Ni miaka sasa tangu Mbunge Shujaa wa taifa Tundu Anthipas Mughwai Lissu (TAML) kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku dalili zikionyesha kuhusika kwa baadhi ya watu wenye mahusiano na serikali ya CCM na vyombo vya usalama. Ushauri wangu ni kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu ambacho Bwana Mkubwa amekiandika kwa muda wa miaka 4 na miezi miwili sasa

    Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini. Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Salamu za sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

    Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla, PEOPLE'S Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika Mwaka Mpya unaokuja. Pili, naomba kuwapongeza kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Chama chetu katika...
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde. Mbowe amepata ushindi wa asilimia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anamuunga mkono Cecil Mwambe ndio kisa cha Kubenea kuondoa jina lake

    Inasemekana kuwa mwanasheria mkuu wa Chadema wakili msomi Tundu Antipas Lisu anamuunga mkono Cecil Mwambe kwa nafasi ya mwenyekiti. Tetesi kutoka korido za Ufipa zinadai Tundu Lisu anapendelea zaidi kufanya kazi chini ya Mwambe kwa sababu siasa za zama hizi hazitaki mambo ya usiri usiri na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

    Sasa ni Rasmi.Kamati Kuu ya CHADEMA katika kikao chao leo cha kikatiba kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa katika uchaguzi utakaofanyika Jumatano Desemba 18. Katika kuonyesha kukomaa kwa Demokrasia ndani ya chama hicho Kamati Kuu iliwahoji wagombea...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ya Kujitoa Tanzania Mahakama ya Afrika

    Hii habari ya Tanzania ya Magufuli kujitoa kwenye Mkataba wa Uanzilishi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na za Wananchi ni jambo kubwa sana. Ni ushahidi mwingine wa wazi wa utawala wa kiimla unaokanyaga haki za binadamu na za wananchi wetu. Kwa Mkataba huo tuliouridhia siku za mwisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…