Tundu Lissu njoo uwaombe msamaha watanzania uongo wako umedhihirika leo

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,379
3,882
Ulikuwa unawatetea sana ACACIA ukakubali kulipwa ili uisaliti nchi yako ulikosea sana kaka LISU jinsi nilivyokujua nilitegemea meseji za faraja kwa mkuu wa nchi katika kipindi kigumu cha mapambano na Wazungu lakini kaka LISU ukaonyesha wazi chuki yako dhidi ya Serikali kwa Vipande thelathini ulikuwa unashirikiana kwa karibu sana na Mwanyika kuikashifu Serikali nilisikitika sana

Tundu Lissu wazungu wakiamua kumtumia mtu kutimiza masilahi yao huwa wanaangalia mtu tajiri angalia vibaraka halisi wa Wazungu wanaotegemewa na Taasisi zao za kijasusi ni Mabilionea kama akina Mo Dewji, Rostam Aziz hao ndio mawakalla wa Taasisi za kijasusi Dunia

Kaka Lissu ujasiri wako wa miaka ya 2006 umemezwa na tamaa ya Pesa

Kaka Lissu mbona ulikubali kupokea Pesa katika harakati za kushinikiza kuvunjika muungano mpaka ukadiriki kumtukana baba wa Taifa.mwalimu Nyerere alikukosea nini baba yetu amepumzika?

Kwa nini ulipokea hongo kumsafisha Lowassa?

Njoo nyumbani hakuna hata aliye na muda na wewe
 
"Mwanyika"?

Mawakala wa wa mashirika ya kijasusi, Mo na Rostam?

Mkuu hebu jazia jazia nyama inaonekana unajua mambo mengi ambayo sisi 'wanyonge' hatuyajui!
 
Ulikuwa unawatetea sana ACACIA ukakubali kulipwa ili uisaliti nchi yako ulikosea sana kaka LISU jinsi nilivyokujua nilitegemea meseji za faraja kwa mkuu wa nchi katika kipindi kigumu cha mapambano na Wazungu lakini kaka LISU ukaonyesha wazi chuki yako dhidi ya Serikali kwa Vipande thelathini ulikuwa unashirikiana kwa karibu sana na Mwanyika kuikashifu Serikali nilisikitika sana

Tundu Lissu wazungu wakiamua kumtumia mtu kutimiza masilahi yao huwa wanaangalia mtu tajiri angalia vibaraka halisi wa Wazungu wanaotegemewa na Taasisi zao za kijasusi ni Mabilionea kama akina Mo Dewji, Rostam Aziz hao ndio mawakalla wa Taasisi za kijasusi Dunia

Kaka Lissu ujasiri wako wa miaka ya 2006 umemezwa na tamaa ya Pesa

Kaka Lissu mbona ulikubali kupokea Pesa katika harakati za kushinikiza kuvunjika muungano mpaka ukadiriki kumtukana baba wa Taifa.mwalimu Nyerere alikukosea nini baba yetu amepumzika?

Kwa nini ulipokea hongo kumsafisha Lowassa?

Njoo nyumbani hakuna hata aliye na muda na wewe
Ajili hizi niliwahi zikuta Mombasa kwa wale vijana wa kiume wanaolelewa.
Sijui huku kwetu tunawaitaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Tanzania Wanasiasa wengi sana Wanafanya Siasa-Jasiliamali. Yaaani Siasa zenye mlengo wa Kujinufaisha, wengi wao kama sio wote walikwishapokea kitu kidogo ili wapitishe sheria dhaifu/yenye Upendeleo, Kuttetea, Kuichafua na Hata kuficha maovu. Kupokea kitu kidogo kumefanywa na Mashirika ya Umma, Makampuni Makubwa ya binafsi, Vyama vya Wafanyabiashara hasa Waaasia nk.
Fuatilia Lugola vs RTOs
Fuatilia Msigwa vs Greenmile
Fuatilia Zitto vs Giant Mining Co
Kwa Upande wa Tondo Lisso Afya yake inamponza siwez kumwanika not 100% mental fit tuwe wakweli tu, labda kama unajadili kwa mhemko.
Mifano ya Uvutaji iko miiiingi, kwa maaana hiyo unapata jibu kwamba tuna wanasiasa wachumia tumbo tu.
 
MLETA UZI PELEKA UONGO WAKO,UMBEYA NA UZANDIKI HUKO KWA MACCM WENZAKO
Mkuu acha kukimbia hoja Bali tulia ujibu kwa hoja. Umeulizwa;

Kwanini TL alikuwa anawatetea Accasia na kuibeza serikali wakat wa mapambano?

Kwanini alitaka muungano uvunjike?

Kwanini alipokea hongo kwa Edward L akamusafisha kuwa siyo fisadi?

Jikite kwenye hoja mkuu kuandika kwa herufi kubwa siyo njia sahihi ya kumaliza hasira zako.
 
TULETEE EVIDENCE KWA MAANDIKO UNAYOMSEMA M.H LISSU THEN WE CAN GO FROM THERE!
 
Ulikuwa unawatetea sana ACACIA ukakubali kulipwa ili uisaliti nchi yako ulikosea sana kaka LISU jinsi nilivyokujua nilitegemea meseji za faraja kwa mkuu wa nchi katika kipindi kigumu cha mapambano na Wazungu lakini kaka LISU ukaonyesha wazi chuki yako dhidi ya Serikali kwa Vipande thelathini ulikuwa unashirikiana kwa karibu sana na Mwanyika kuikashifu Serikali nilisikitika sana

Tundu Lissu wazungu wakiamua kumtumia mtu kutimiza masilahi yao huwa wanaangalia mtu tajiri angalia vibaraka halisi wa Wazungu wanaotegemewa na Taasisi zao za kijasusi ni Mabilionea kama akina Mo Dewji, Rostam Aziz hao ndio mawakalla wa Taasisi za kijasusi Dunia

Kaka Lissu ujasiri wako wa miaka ya 2006 umemezwa na tamaa ya Pesa

Kaka Lissu mbona ulikubali kupokea Pesa katika harakati za kushinikiza kuvunjika muungano mpaka ukadiriki kumtukana baba wa Taifa.mwalimu Nyerere alikukosea nini baba yetu amepumzika?

Kwa nini ulipokea hongo kumsafisha Lowassa?

Njoo nyumbani hakuna hata aliye na muda na wewe
Mkuu

Kwahiyo Noah zetu tutazipata?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu ameandika historia Mbaya kwenye nchi hii kamwe hawezi kuaminika. Uongo unakufariji Leo tu huwa hauna future nzuri, na kadiri unavyozidi kudanganya ndivyo unavyozidi kuhatarisha kesho yako
TUNATAKA NOAH PERIOD! PIA YALE MAKINIKIA YALIISHIA WAPI? AWAMU YA 5 NI AWAMU YA MAJIZI MAKUU AMNAYO HAYAJAWAHI KUTOKEA TANGU TUPATE UHURU
 
Hivi kuna viongozi wa CCM ni wajinga kiasi hiki. Wanawezaje kuwaajiri vijana vilaza kama mleta mada. Mleta mada umeongea pumba hata huna uwezo wa kumchafua mtu. Uwezo wako wa kujenga hoja mdogo.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom