tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

    Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017. Akihutubia umati wa wananchi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, Afande Sirro ana chuki binafsi na Tundu Lissu? Kwanini atoe kauli kama hizi dhidi yake?

    Katika Mkutano wa Tume ya Uchaguzi, Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini, na Jeshi la Polisi, IGP ametumia muda mrefu kumshambulia Tundu Lissu na CHADEMA. Hali hiyo ilisababisha mpaka Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Benson Kigaila, kuingilia kati ya kumtaka Mwenyekiti wa Tume, Jaji Kaijage, umuelekeze...
  3. JamiiForums Tanzania Miujiza ya Mungu kwa Tundu Lissu, COVID-19 na Siasa za Tanzania yetu

    Wanajamvi, Kwanza kabisa, niseme kama COVID-19 ingekuwa mbaya Tanzania, Lissu asingepata huu umati wa ajabu wenye Watanzania wenye hamasa ambayo sidhani kama nimeshawahi kuiona kwenye siasa za Tanzania. Hili ni la kumshukuru Mungu! Amejibu maombi kwa namna ya ajabu kabisa! Amejibu maombi kwa...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA na hasa timu ya Kampeni ya Tundu Lissu, pokeeni huu ushauri wangu kwenu kama mtaona unawafaa

    Niliamua Kiumakini kabisa kutenga muda wangu na kumuangalia kwa Jicho langu la Tatu Mgombea wenu wa Urais Mtani wangu kutoka Singida Mheshimiwa Tundu Antipasi Lissu na hatimaye nikajikuta 'nagundua' mambo kadhaa ambayo kwa nia njema tu kama Watani na Marafiki zangu nitawaomba muyasome...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndani ya Songwe leo ni fungakazi. Wananchi wampokea kwa mapokezi mazito

    Hakika upinzani upo miyoni mwa wananchi. Muache Magufuli aminye demokrasia, afungie vyombo vya habari, lakini mbegu iliyopandwa na wataka demokrasia nchini kuanzia enzi za akina james mapalala, Komu, Mzee Fundikira, James Mbatia, Maalim seif,Mwalimu Nyerere na wote waliopambana hadi kurudisha...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

  7. J

    JamiiForums Tanzania Nadhani Tundu Lissu anamsaidia Rais Magufuli. Anasema ukweli ambao wana-CCM, wasaidizi, na washauri, wanaogopa kumwambia Magufuli

    Vitisho anavyopokea Tundu Lissu vinatoka kwa wasaidizi wa Rais Magufuli ambao wameshindwa kumwambia bosi wao ukweli. Wanamdanganya Rais Magufuli kuwa anatukanwa, lakini ukweli ni kwamba Tundu Lissu anasema mambo ambayo yalitakiwa yasemwe na washauri na wasaidizi wa Rais Magufuli. Rais Magufuli...
  8. JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu ni balaa, anajua kuwasilisha ujumbe kwa hadhira, anajua kukera kwa kukupiga na ukweli

    Sijui Polepole wa CCM na wafuasi wake LB7 wa mitandaoni wanaweza kuja na majibu gani katika hoja hizi hapa. Watu sasa ndiyo wanaanza kupata na kuona ukweli wa upande wa pili wa shilingi wa CCM na Magufuli wao. Hiki ndicho kilichokuwa kinazuiwa na kufichwa na watawala ili wananchi wasielewe...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mapenzi ya wananchi kwa Tundu Lissu, wamechapisha T-shirt hii

  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli mbiu ya Uhuru na Kazi yampaisha Tundu Lissu

    Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena. Tangu ateuliwe na chama chake CHADEMA na kisha kuchukua fomu za kuteuliwa kutoka tume ya uchaguzi NEC Lissu amekuwa gumzo kila kona huku akijadiliwa zaidi kupitia...
  11. JamiiForums Tanzania Umati wajitokeza nje ya jiji la Mbeya kumlaki Tundu Lissu akiwa bado Iringa, ataingia Mbeya usiku ila wamekusanyika ili wamlaki

    Aisee huu mwaka mambo yamebadilika kabisa. Hapa ni Mlima Nyoka watu wamekusanyika kupokea ujio wa Lissu ambaye anakadiriwa kuwa umbali wa kilomita zaidi ya 150 kufika hapo walipo. Ikumbukwe kutokana na msafara wake jana kusimamishwa mara kwa mara alishindwa kuhutubia mwembe togwa Iringa na...
  12. JamiiForums Tanzania Namfananisha gentamycine na Tundu Lissu

    Namfananisha ndugu yangu GENTAMYCINE Na Tundu Antipas Mughway Lissu. Hii ni kwasababu sifa zote za GENTAMYCINE alizonazo au anazojinasibisha nazo ni za Tundu Lissu. Mfano Charismatic fella Pure talented Entertainer Game changer Hizi sifa zote ni za Lissu. Hivyo sikosei kusema GENTAMYCINE ni...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

    Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020. UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka. Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli. Lissu CHUMA...
  14. JamiiForums Tanzania Mbeya: Magari yote ya Matangazo yatakiwa kusajiliwa upya kwanza kabla ya kutangaza chochote

    Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kwenye mikutano yako ongelea suala la kurudisha Bunge Live, kurekebisha Makato ya Bodi ya Mikopo na suala zima la Mafao ya Wastaafu

    Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro. Awamu hii ya tano...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi mzuri wa Taifa?

    1. Anaijua sheria ataongoza taifa kwa misingi ya haki 2. Hana tamaa ya mali, hatokimbilia kujenga mahekalu kwa na kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini kwao Mahambe, hawezi, hawezi hubadili msitu wa Mahambe kua hifadhi ya wanyama. 3. Ni muelewa mzuri wa masuala ya kimataifa, atasaidia...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Maelfu ya watu wajitokeza Mikumi kumpungia mkono Tundu Lissu akielekea Iringa, msafara ulichelewa kufika Iringa kutokana na kusimamishwa njiani

    Lissu ni kipenzi cha kweli cha watanzania. Usisingizie kuwa umejenga miundombinu huku unakandamiza uhuru! Ni kosa kubwa mno!
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

    Wape salaaam. Baba yupo Iringa anaipigania haki ya kweli. Upendo wa kweli kutoka moyoni, hawakuchoka kumsubiri
  19. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu, mjini Morogoro leo

    Mikumi kata ya Ruaha
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama juma moja tu la Tundu Lissu kusimama jukwaani akitafuta wadhamini limewafanya CCM watafutane kwa kurunzi, siku 60 za kampeni itakuwaje?

    Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli, mwenezi Polepole na makada wengine ni kama vile wamepigwa ganzi! Maendeleo waliyohubiri kuyafanya kwa miaka mitano yameyeyuka mithili ya theluji kwenye joto la jua! Stigler's, flyover, ndege na SGR zimewekwa kwenye mizani ya uhalisia wa maendeleo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…