Inafahamika kwamba Mwl Nyerere alipigania Uhuru wa Tanganyika, wakati ule alipambana na Wakoloni weupe, japo hawakuwahi kummiminia Risasi 40
Lakini sasa tunaye Shujaa Tundu Lissu (Mwanasiasa Maarufu zaidi Duniani kwa sasa), Mtu pekee Duniani aliyeponyoka baada ya kumiminiwa risasi za AK 47...