Heshima kwanza,
Wakuu, nina shamba eneo la Makaa Yamu, Kirua Vunjo, wilaya ya Moshi vijijini lenye ukubwa wa ekari kumi na sita 16 (limepimwa na hati miliki)
Shamba lipo kilometer nne kutoka barabara kuu iendayo Dar es salaam na Mombasa.Shamba hili lipo eneo la ukanda wa tambarare Kusini...