tunda

The Tunda (Spanish: La Tunda) is a myth of the Pacific coastal region of Colombia and Ecuador, and particularly in the Afro-American community of the Chocó department, about a shapeshifting entity, resembling a human female, that lures people into the forests and keeps them there.
It is capable of changing its shape to appear in the form of a loved one, as in the likeness of a child's mother, to lure its victims into the forest and feed them with shrimps (camarones peneídos) to keep them docile. This is called entundamiento and a person in this state is entundado(a).Her shapeshifting abilities are said to be imperfect, as this doppelgänger of sorts would always have a wooden leg in the shape of a molinillo, or wooden kitchen utensil used to stir hot drinks such as chocolate or aguapanela. The monster, however, is very cunning when trying to hide this defect from its would-be victims. In other versions, it appears to male loggers or hunters working deep into the jungle as a beautiful woman that tries to lure a man away, so it can reveal its hideous nature and suck his blood or devour him as a wild animal.

View More On Wikipedia.org
  1. STAFELI (soursoup) Tunda linalopambana na KANSA

    STAFELI (SOURSOP) ni tunda lenye kupambana na kansa https://x.com/BarbaraOneillAU/status/1841569942144995516
  2. Fahamu tunda aina ya Durian.

    Miaka ya 90 Kijijini Sengerema tulikuwa na kawaida ya kwenda kuwasalimia na kuwapa hai wazee, tukifunga shule basi kesho yake asubuhi ni safari kwenda kijijini kusalimia, na kuishi kidogo na Babu na Bibi. Maisha ya kijiji yaikuwa mazuri sana kwa kiasi chake, hakuna umeme, na ikifika saa 2 kila...
  3. Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers)

    Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers). FAIDA ZA KULA FIBERS; Mosi , Fibers ni chakula cha chembe hai za utumbo mpana. Utumbo mpana huzibadili fibers kuwa mafuta yajulikanayo kama BUTYRIC ACID. Mafuta haya ndo chanzo cha nishati kwa chembe hai za utumbo mpana (...
  4. M

    Kupata tunda ni akili tu

    Nawapa salamu wanaJF, Leo nawapa story flani jinsi nilivopata tunda kwa kutumia akili ndogo tu with zero money cost. Kuna Binti mmoja anaitwa Angel ni binti anafanya kazi katika pharmacy. Huyu Binti nilipofika maeneo haya kitaani niliambiwa kuwa anapenda sana pesa yani yeye pesa mbele kama...
  5. Tunda na Ndaro hawaendani hata kidogo, Tunda hajui thamani yake

    Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro. Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo. Kwangu mimi, hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo Ila tusemeni tu ukweli, Tunda hajui thamani ya uzuri...
  6. Nachanganya ndizi tunda za kuiva na supu ya nyama ama pweza

    Mtu mmoja akanishangaa kwamba Kwa mchanganyiko huo wa ndizi mbivu na supu ya nyama ama ya pweza kwamba natafuta kitu gani tumboni yeye anachojua Kwamba ndizi ni tamu zina sukari huku supu inahitaji chumvi so haifai kuchanganya sukari na chumvi sijui sayansi yake ya wapi mbona me sijaliona tatizo...
  7. Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

    Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida. Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani...
  8. Ukizawadiwa tunda kirahisi usile kwa mapepe

    Hey guys wa JamiiForums, Kuna kasumba moja sasa hivi, mwanamke anakuwa na mwanaume wengi kutokana na tamaa binafsi walizonazo wanajikuta wanapata mimba za kushtukiza. Kama mimba ni ya jamaa asimjali huyo mwanamke ataangalia upande wa pili. Kama ulikuwa unamtongoza na anakukatalia utaona...
  9. Nikiuliza kwa nini hanipi tunda anasema amenipa likizo

    Mwenzenu naosha vyombo na nafokewa kama mtoto
  10. Binadamu alijipatia hekima ya uovu alipokula tunda

    BINADAMU ALIPOTEZA KILA KITU ALIPO ASI Binadamu alipoamua kuasi, alipoteza uwezo wote wa asili alio kuwanao, binadamu alikuwa mtawala wa kweli katika USO wa dunia, lakini alipoteza uweza wake kwa kuasi, ule Mti wa ujuzi wa mema na mabaya (kama unavyotajwa ujuzi) haukuwa mti wa kujipatia hekima...
  11. Tunda gani la asili umelikumbuka na halipatikani ulipo kwa sasa?

    Kuna matunda ya asili mengine yanapatikana kwenye maeneo fulani tu, unakuta umekua ukiyala na baada ya kuondoka hapo kwenda sehemu nyingine huyaoni tena. Leo nimekaa nimeyakumbuka matunda ya kwetu yanaitwa ndati, sema siwezi yapata hadi nirudi kwetu, ila ili kupoza moyo nitaenda sokoni kutafuta...
  12. kuahirisha shughuli muhimu ili kula tunda, kama iliwahi kukutokea weka hapa mkasa wako, naanza mimi

    Yalinikuta !, Niliahirisha kwenda interview niliyoisaka kea muda ili nile tunda Nakumbuka kuna kipindi wakati natafuta kazi kuna sehemu nilii apply na kweli nikapigiwa simu kwamba siku ya jumatatu niende, nikatumiwa pdf ikaonesha nafasi niliyoomba inabidi nifike saa nane mchana Siku ya ijumaa...
  13. Nimeghairi kula tunda baada tu ya kuniambia ameishi njombe zaidi ya mwaka

    Kuna demu nimemtongoza akaeleweka lakini aliponiambia tu amewahi kuishi njombe zaidi ya mwaka mmoja, stimu zimekata kabisaa, hii ni kutokana na story ninazozisomaga humu jf kuhusu njombe Asanteni
  14. Je, ulishindwa kula tunda kimasihara?

    Hii ni opposite thread ya ile ya kula tunda kimasihara. Kuna wakati tumewahi kuwa kwenye mazingira yenye opportunity ya kula/kuliwa tunda kimasihara ila tukashindwa/kuponyoka. Binafsi nilishapata opportunity hiyo kwa dem na nikashindwa. Opportunity ya dem niliipata nikiwa field 7 years ago...
  15. Nilivyokula tunda kwa mara ya kwanza

    Wana JF shusheni visa vyenu kuhusu jinsi ulivyokula tunda kwa mara ya kwanza na ulifanyaje
  16. Ubunifu wakati wa kula tunda la mti wa Eden unasaidia kujenga legacy yako kwenye anga za mahusiano

    Habarini nyote Bazzukulu, Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali ya juu sana. Hii itasaidia kuacha legacy yako nzuri kwa washirika wako. Nisiwachoshe ni hayo tu...
  17. Movie zenye Maudhui ya Kula/Kuliwa Tunda Kimasihara

    Kama kichwa cha Uzi hapo juu na wale waliowahi kupitia Uzi wa kula Tunda Kimasihara wa rikiboy watakuwa wanaelewa ninachomaanisha. Hizi ni movie ambazo Maudhui yake yamehusisha washiriki wake kufanya ngono au kuwa wapenzi bila kutarajia kwa sababu mbali mbali,nitazitaja hapa na maelezo kidogo...
  18. Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

    Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema yeye huyo mzungu hataki mambo mengi sana japo ni mfanyakazi mmoja wa shirika moja la kimataifa na...
  19. Unapendelea juisi ya tunda gani?

    Nawasalimu wote, Mimi napenda sana kunywa jusi ya nanasi na parachichi natupia na pasheni inanukia na inakuwa tamu sana. Juisi hii huwa siweki sukari hata kidogo kutokana na utamu wa nanasi nasaga matunda hadi yanalainika sana, nachuja naweka kwa kipozeo tayari kwa kunywa taratibu. Wewe...
  20. Apple (tunda) za kutoka Afrika Kusini kwanini haziendelei kuiva au kuharibika

    Nimenunu tunda la apple la rangi ya nyekundu, ni siku ya tano sasa haliendelei kuiva wala kuharibika. Ni teknologia gani inatumika kufanya haya matunda kutoka kwa mzee madiba kuacha kuharibika licha ya kukaa muda mrefu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…