tunafeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    DOKEZO Responded Ayra Starr amesainiwa Roc Nation. Tanzania tunafeli wapi wasanii wetu kusainiwa na lebo za kimataifa?

    Wakuu, Huko Nigeria sasa hivi ni shangwe na vigelegele tu maana kuna msanii wao wa kuitwa Ayra Starr amemwaga wino kwenye kampuni iliyoanzishwa na JAY Z ya kuitwa Roc Nation. Nilichopenda ni kuwa pamoja na kusainiwa Roc Nation, lakini Ayra ataendelea kuwa chini ya Mavin. Yaani Roc Nation ni...
  2. A

    Mliokuwa mnafaulu sekondari hasa masomo ya hesabu mlikuwa mnatuchukuliaje sisi tuliokuwa tunafeli?

    Aisee nimiaka kama tisa hivi toka nifeli form kidato nimepambana sana hapo katikati sasahivi mambo mazuri Nimeenda kijijini nikakutana nawale manguli wa sayansi wamekua walimu wa sekondari hiohio tuliosomea wanajitolea sio ajira rasmi Nilikuwa kwenye mnyama ford ranger aisee wamepagawa kuona...
  3. ufalmedigital

    Waafrika tunafeli wapi tunayajua haya yote na kuyasoma lakini hatubadiliki

    KITABU: UNAWEZA KUNISIKIA HUMU NDANI --- SURA YA KWANZA: MLIO USIOSIKIKA Nilianza kusikia sauti kabla sijazaliwa. Ililia kama upepo unaopita katikati ya milima isiyo na majina. Ilikuwa ni sauti ya kitu kilichokatwa — si mti, bali historia. Sauti ya mwangwi wa jina lililofutwa kwenye ramani...
  4. R

    Panapo uzima nitasomesha watoto wangu ulaya au Marekani waende kupata exposure, Watanzania wengi hatuna exposure ndio maana tunafeli maisha

    Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
  5. majam19

    Hivi wanaume wa kikazi Cha Sasa tunafeli wapi(...)??

    Habar za majukumu ndug zangu, Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake. Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba Halafu asilimia 98% ya maneno...
  6. majam19

    Hivi wanaume wa kikazi Cha Sasa tunafeli wapi(...)??

    Habar za majukumu ndug zangu, Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake. Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba Halafu asilimia 98% ya maneno...
  7. Last_Born

    Kwani sisi Watanzania tunafeli wapi au ni kukurupuka?

    Nimekua mfuatiliaji mkubwa sana wa masuala ya teknolojia hasa huu upande wa website na apps, pia nimejaribu kufanya utafiti mdogo wa Apps zilizopo Google play store Kutoka Tanzania aisee ni aibu tupu download rates ni ndogo mno nashindwa kuelewa tatizo nini apps hazieleweki au hazitoi suluhisho...
  8. Mhafidhina07

    Vijana tunafeli wapi?Kwani lazima kubet?

    Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno. Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa...
  9. USSR

    Hawa wakulima wa Dar ndio wanalima wapi, mjini hakuna shamba CCM tunafeli wapi?

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es salaam Ndugu Elihuruma Mabelya amekabidhi pikipiki 25 kwa Maafisa ugani wa Kilimo Jijini Dar Es salaam, akihimiza kutumia pikipiki hizo katika kuleta tija kwenye sekta hiyo muhimu kwa uchumi wa Tanzania. Leo Ijumaa Disemba 06, 2024 wakati...
  10. M

    Tanzania Programmers ni kweli tunafeli ni kweli hatuna uwezo wapi tunapokwama, nini kifanyike?

    Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo. 1.Ufahamu wa Technology (Elimu) yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya...
  11. Vincenzo Jr

    Wananchi tunafeli wapi kununua tiketi?

    Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
  12. K

    Tunafeli hapa

    Sisi watu Wasio waadilifu Wasiosoma Mapato na Matumizi Hao tunawapigia chapuo wawe Viongozi wa kumuongoza fukara na kumuinua kiuchumi. Watu wenye uwezo tunawawekea zengwe na kuwapachika sifa za hovyo wasizo kuwa nazo . Kisha matatizo yakitokea tunajitokeza hadharani bila aibu Wala haya...
  13. Expensive life

    Shule nyingi za private zinaajiri waalimu kutoka kenya kama taifa tunafeli wapi.

    Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu. Mzazi ukienda kutafuta shule kwa ajili ya mwanao basi sifa utakazopewa kuhusu shule husika basi utaambiwa...
  14. Shanily

    Muendano wa kimawazo katika ndoa.

    Ndoa nyingi za sasa zinavunjika kwakua watu wanaoa au kuolewa na watu ambao hawaendani nao. Mnaweza nyote mkawa na dini, tabia nzuri lakini ndoa ikafa kwakukosa muendano wa kimawazo. Kuna wanaume wao ndo wanataka wawe dominate kwa 100% yaani huna Cha kumwambia, neno lake ndo katiba huyu...
  15. Infiniteposibilities

    WANAUME TUNAFELI HAPA

    Njooni mbishe kama ni uongo.Mwanaume ni kiumbe wa ajabu sana.Anapoona jinsia ya kike iwe ni picha au mwanamke halisi ambaye ni mrembo ataishia kumsifia na kumtamani bila hata kijiuliza background ya huyo mwanamke. Mfano mwanaume kaona mdada mzuri barabarani awe mwanachuo...
  16. Mhafidhina07

    waafrika tunafeli wapi?

    vita ya kikanda ya inayopiganwa ulaya iliitwa vita ya dunia vita ya pili nayo inajumuishwa kuwa ni ya kidunia mikataba wanayotunga wao inajulikana kama mikataba ya kimataifa huku kwetu tukipigana kidogo wanaingilia kati ila kwao wanatafuta upande wa kujiweka huku wanasapoti vita. tunachofeli...
  17. ELI COHEN

    Kuna wanaume wanafeli sana, hawala anakula vyakula vya nyota 5 nyumbani wanaishia kuviangalia kwenye TV

    Sikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu basic ya Mtanzania wa kawaida: Ugali dagaa tembelee, Chai na vitumbua vya mama salma mtaani, Wali...
  18. biabia

    Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

    Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana...
  19. bongo dili

    Wanaume tunafeli wapi juu ya watoto tuliowazaa

    Naongea hili baada ya kuachana na dogo wa miaka 22 kanifata nimpe ramani ya maisha kumdadisi kaniambia Baba na mama yake hawaishi pamoja kitambo. Baba Hana sauti kwa mama wa kambo akiomba msaada wowote wa kuendelezwa baba anamsikiliza mama wa kambo.Baba anasema Hana hela wakati watoto wa mama...
  20. kwisha

    Hivi sisi Waafrika tunafeli wapi kabisa?

    Waafrika ivi tulivyo sisi ni mipango ya Mungu au ni upumbavu wetu tu. Unajua Mara nyingi najiulizaga. Hivi Hawa wenzetu weupe walimpa Mungu nini mpaka awabariki ivi. Au kuna Siri gani ambayo wanajua kuhusu ulimwengu huu lakini wanatuficha sisi watu weusi. Kila kukicha wao ndo wakuvumbuwa vitu...
Back
Top Bottom