Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
(i) Bw. Nolasco Jacob Kipanda ameteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya...
Habarini,
Nimekuwa nikifuatilia na kuhakiki mawasiliano mbalimbali ya taasisi muhimu za serikali ikiwemo Tume ya Utumishi wa Umma na kukuta hazifanyi kazi kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho wala uhakiki.
Inakuwaje Taasisi nyeti kama hii inashindwa kuhakiki njia za mawasiliano yake...
Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari.
Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu tulishindwa kupata TSC no, hivyo tukashindwa kupata mikataba full ya ajira baadhi tukiambiwa tukasome...
Anonymous (c723)
Thread
business
sekondari
shule
shule za sekondari
somo
studies
tumetumeyautumishiutumishi
walimu
The Judiciary Service Commission is a body established under Article 112(1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977. Furthermore, Article 113 of the Constitution and the Judiciary Administration Act Cap. 237 give the Commission various responsibilities, including the...
Walimu wametakiwa kuzingatia sheria na taratibu za utumishi wa umma na kuacha kujihusisha na masuala ya siasa kinyume cha miongozo, vinginevyo hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.
Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dodoma na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Paulina Nkwama, wakati...
Wakuu habari za jioni.
Naomba kuliza mfano mtu una level ya degree ila ulitumia cheti cha form 4 kupata kazi ya Msaidizi wa OFISI Tume ya utumishi wa mahakama.
Je inawezekana kuhama kwenda tasisi nyingine Kwa kuweka wazi Elimu yako ya degree ?
Habari ndugu wanajukwaa,
Tumeona orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili wa kwanza wa Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) imetoka rasmi. Wengi wa ndugu zetu na marafiki wamebahatika kuchaguliwa.
Kwa wale mliowahi kufanya usaili huu mwaka 2024 — tunaomba mtushirikishe uzoefu wenu:
🔹 Maswali...
Ajira portal wanaendesha usaili ambao haujakidhi vigezo kuchuja wanaogombania nafasi.
Kuna usaili ambao umefanyika jumamosi ya tar. 31/06 ambapo moja ya mwajiri ni makumbusho ya Taifa.
Kwenya nafasi ya wahifadhi daraja la pili kulingana na tangazo mwombaji alitakiwa kuwa na shahada ya biolojia...
Habarini,
Imekuwa ni shida kuwasiliana na nyie kwani hamjibu baruapepe,simu na sms.
Na hata hao watumishi wenu ambao wameweza kupata namba zao hawapokei simu zao.
Huu ni utendaji mbaya na unakela sana kwani wananchi wenye shida wanahangaika sana kwa huduma zenu mbovu.
Nashauri serikali...
Hata uwe na vigezo kiasi gani, kama huna connection Zanzibar hutoboi. Mfano mdogo ni ajira za hivi karibuni kuna jamaa alikuwa na G.P.A zaidi ya 3.8, vyeti vya ziada ikiwemo computer na interview zote mbili kafanya vizuri ila katemwa.
Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi.
Lakini tarehe 20 Septemba 2024 Jaji Mkuu wa Tanzania, aliwaapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya Utumishi wa Mahakama imekuwa ikitangaza rasmi ajira za Mahakimu na kuwachagua wale waliofuzu na kukidhi vigezo stahiki kwa tangazo maalumu na kwa uwazi.
Lakini hivi majuzi mnamo tarehe 20 Septemba 2024, Jaji mkuu ameapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
Vijana wameenda kwenye Mahakama za Kanda wamefanya usaili, wengine wamesafiri kwa kutoa nauli zaidi ya shilingi elfu 30 kwenda tu. Kuna wengine walifikia lodge na wengine kwa ndugu. Baada ya usaili wamesubiri mtoe matokeo wajijue wanaoendelea na usaili na wale wasioendelea wajijue warudi makwao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Tume ya Utumishi wa Umma na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA).
Katika uteuzi huo, Rais amemteua Mhe. DKT. STEPHEN JAMES BWANA, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, kuwa Mwenyekiti wa Tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.