Mtaalamu wa Masuala ya Katiba na Sera Wakili Edson Kilatu ameeleza wasiwasi wake, na kutilia shaka kuhusu utendaji wa 'Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)' Nchini akidai kwamba akidai kwamba uhuru iliyopewa Tume hiyo kwa mujibu wa Katiba na Sheria hautumiki ipasavyo
Akihojiwa na...
Geneva, Uswisi. Tanzania imeangazia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha uwajibikaji, maridhiano na kuendelea kuzijenga taasisi za umma kupitia kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu vurugu zilizohusishwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Hayo yaliwasilishwa katika tukio...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa majibu makali mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikiyashutumu mataifa ya Magharibi na asasi za kimataifa kwa kutoa kauli za upendeleo na "kuchagua matukio" kuhusu hali ya usalama nchini kufuatia uchaguzi wa Oktoba...
Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume cha sheria na...
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imekutana na kufanya mahojiano na aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Februari 24, 2026.
Kikao hicho kilichofanyika katika ofisi za Tume zilizopo ndani ya jengo la...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA TUME YA UCHUNGUZI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, katika mkutano...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo
Leo naanza na asante na Pongezi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kitendo cha yeye ambale ni Makamu wa Rais wa JMT, kukuikubali na kuiunga mkono kwa asilimia 100%...
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya vikao vyake kwa faragha, na kuzuia waandishi wa habari kuingia kwenye ukumbi ambapo waathirika wanatoa ushahidi wao.
Rais Samia Suluhu Hassan aliunda tume hiyo kufuatia maandamano...
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Januari 19, 2026, imekutana na Wananchi wa Wilaya ya Temeke kwa lengo la kusikiliza na kupokea maoni na ushauri. Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Iddy Nyundo, Dar es Salaam...
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini.
-
Mkutano huo wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa nchini umefanyika katika Ukumbi wa Tanganyika...
Hii ndio dawa yao kwa hawa machawa wa CCM lazima wanyooshwe na ujinga wao
=============
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tarime, Hamza Kyeibanja, amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya kuzomewa na wananchi ukumbini wakati akitoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA...
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana kwa ajili ya kuzungumza na makundi mbalimbali ambapo leo wameanza kuzungumza na viongozi wa Mkoa wa...
Kiongozi mstaafu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), ambaye pia ni mtoto wa marehemu Amina Chifupa, amewataka Watanzania kuweka pembeni ubinafsi na kuiamini Tume ya Uchunguzi wa matukio ya kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ili kubaini chanzo na...
Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena?
Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI, akiwapa jibu na mkajiridhisha siyo AI ndipo mje kuomba ushahidi kwa wananchi!
Acheni kutujazia simu buree!
Rais kwa utu ameunda tume ya uchuguzi juu ya vurugu za oktoba 29.
Watu walipoteza maisha ila mpaka sasa ilianzia idadi ya 1000 ikaja 2000 - kwa sasa 10,000. Je, lengo la kupandisha data hizi ni nini? au kuendelea kukuza hasira na chuki ili mshinde kisiasa.?
*Mlisema watu walipigwa riasi wakiwa...
Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29
Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda
Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka...
Wakuu,
Mwaka 1974, Rais Idi Amin kupitia Tangazo la Kisheria Na. 2 la mwaka 1974 alianzisha Tume ya Uchunguzi kuhusu Watu Waliopotea nchini Uganda, ikiwa ni jitihada ya kuchunguza matukio ya watu kutoweka yaliyoripotiwa tangu alipochukua madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi mwaka 1971. Tume...
Wakili Jebra Kambole anasema:
Mahakama imepanga kusikiliza kesi ya Kupinga Uteuzi wa tume tarehe 10/02/2026 baada ya muda wa Tume kuisha. Bila kujali maslahi mapana ya kesi na kuzingatia hati ya dharula, wakati wa likizo kuna Jaji huwa anabaki kwa kesi za dharula kama hizi.
Baadae kikiwaka...
Tume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume.
Wito huo umetolewa Desemba 26 kupitia taarifa ya tume kwa umma iliyobainisha kuwepo kwa watu au makundi ya watu yanayotekeleza...
Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko?
Kwanza niwambie siji.
Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS.
TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.