tume huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Chereko chereko ujio Tume Huru ya Uchaguzi

    Zimesikika chereko chereko na mayowe ujio wa tume huru ya uchaguzi. Bila shaka katika wote kina Addo Shaibu pale mtaa wa Jukwani nao pia hawajabakia nyuma. Haiyumkiniki tume hii itaundwa kwa kuzingatia msingi uliopo katika katiba pendekezwa ili kupisha shari: Kwa kuzingatia msingi huo...
  2. Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

    "Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda Hii inatoka...
  3. P

    Pendekezo la kumaliza mvutano wa muundo wa tume huru ya uchaguzi-CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo zingatieni sana

    "Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu" Mithali 18:18 Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa, iwe Tanzania bara au Tanzania visiwani. Mara zote hizi lawama...
  4. P

    Nafasi ya muamuzi katika mashindano!

    "Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu" Mithali 18:18 Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa, iwe Tanzania bara au Tanzania visiwani. Mara zote hizi lawama...
  5. Haya ndio mabadiliko ya tume huru yanayo pendekezwa na wana CHADEMA. Je, unakubaliana nao?

    Wanabodi, Siku mbili zilizo pita, wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) walifanya kongamano jijini Dar Es Salaam katika shughuli zao za kudai tume huru ya uchaguzi. Katika kongamano hilo, wanawake hawa walipewa majukumu ya kudai tume huru huku wanaume wakipewa majukumu ya kudai katiba mpya na wazee...
  6. S

    Royal Tour inaweza kugeuka kashifa kwa Rais Samia itayotumiwa na wapinzani kwenye kampeni za 2025 panapo Tume Huru ya Uchunguzi

    Nia na dhamira inaweza ya kufanya hii tour inaweza kuwa ni nzuri, ila sidhani kama wamefanya utafiti wa kutosha kuhusu namna sahihi ya kuitengeneza/kuifanya ili kupata matokeo mazuri. Aina ya washiriki ndio wanaoweza kuifanya hii tour ilete matokeo chanya, na wanaoshiriki akiwemo Rais Samia...
  7. S

    Huu si wakati wa longolongo; Katiba Mpya, Tume Huru iwe ndiyo wimbo wa Taifa

    Naona kuna dalili za kuyahepesha madai ya katiba mpya na haswa tume huru ya uchaguzi, kuna harakati zimeibuka kutoka kusiko julikana na ni nyingi na zinakuwa kama moto wa nyasi kavu. Lengo likupinsha muelekeo ulioanza kubaleghe kwa maana uoga umeanza kuondoka juu ya kupiga makelele ya kudai...
  8. K

    Iundwe Tume Huru kuchunguza suala la Hamza kuua Polisi

    Ukifuatila kwa ukaribu suala la mauji alofanya Hamza kisha nae kuuwawa unabaki na maswali mengi kuliko majibu. Nmesoma gazeti la mwananchi tangu kutokea kwa tukio hili kuna vitu vingi ni ambiguous, kwa mfano majirani zake wote waliohojiwa wanasema jamaa alikua mstaraabu na mpole ukienda chunya...
  9. S

    Umuhimu wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya.

    haya ya Hamza ,Denmark na tozo na miamala ni katika harakati za CCM kutaka kutawala maisha nchi hii,hivyo nyumbu hawa CCM wanajaribu kupanga kila mipango ili wavuruge na kuzihamisha akili za watanzania wanaoanza kushika kasi katika kutaka uchaguzi wa nchi hizi mbili Tanganyika na Zanzibar...
  10. S

    Kati ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kipi kianze?

    Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa kipindi kirefu vimekuwa na madai mbalimbali yanayousiana na suala zima la chaguzi za kisiasa , madai haya yamekuwa yakibadilika badilika kulingana na serikali iliyopo madarakani. Hapo awali kulikuwa na vuguvugu kubwa la kudai tume huru ya uchaguzi...
  11. I

    Daniel Chongolo: Tume huru ya Uchaguzi haileti chakula

    Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani. Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata...
  12. S

    Watanganyika na Wazanzibar, muda wa kupata Katiba Mpya na Tume Huru ni sasa

    Mwaka huu na ujao 2022 katiba ni lazima ipatikane CCM wakitaka wasitake na kama hawataki wakae pembeni maana saa mbaya! Umma umeanza kuiva na uvumilivu juu ya genge la CCM lililojipenyeza kwenye vyombo vya dola sasa upo wazi na wanaofaidika na hayo si wengine ni wale walio juu ya mstari viongozi...
  13. M

    CHADEMA inafanya kosa la msingi kutenganisha madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    Nimewasikiliza viongozi wa CHADEMA, wamefungua battle mbili katika madai yao, Battle ya kwanza ni tume huru ya uchaguzi, na battle ya pili ni katiba mpya. Kisha wamegawana majukumu, Baraza la Wanawake wamewapa jukumu la kupigania Tume huru ya uchaguzi, Baraza la vijana wamewapa jukumu la...
  14. Tume Huru itairejesha Tanzania mikononi mwa wananchi

    Tume huru ndio kila kitu. Itajenga Tanzania imara na itakayo ogopeka na kila mtu. Tanzania itarudi mikononi mwa wananchi. Uchaguzi ufanywe tume huru ndio iwe inaamua, kura itakua adhabu kwa viongozi wanaofanya Tanzania ni mali yao. Wabunge wasio na sifa wote wataenguliwa kwenye sanduku.
  15. P

    Mama tuundie tume huru

    Mh Rais tuundie TUME HURU itakayochunguza uhalali wa nyaraka za baadhi ya wabunge. Kodi zetu zinawalipa wa bunge feki,kama vipi basi turudishe kodi ya kuku na mbwa ili kupanua wigo wa kodi zakuwalipa wa bunge feki.
  16. S

    Rais Samia awekeze kwenye utawala wa sheria, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

    La muhimu ni kwa Rais Samia kwa hii miaka minne, au mitatu, aipatie Tanzania katiba mpya. Asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025, hilo si lake. Awaachie wenyewe. Zaidi ajikite kwenye kuwekeza utawala wa sheria, Katiba mpya na tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, mambo matatu hayo yatamuweka...
  17. S

    Hasara za kutokuwa na uchaguzi Huru na Wazi (ukosefu wa Tume huru)

    Uchunguzi wa muda mfupi, tuseme uchunguzi binafsi umeonyesha wale viongozi wanaopita bila ya ridhaa za wananchi au wameshinda uchaguzi kwa njia za udanganyifu uliotokana na wao au tume ya Uchaguzi, viongozi hao hawana maadili mazuri na kazi zao na maendeleo yao binafsi huonekana muda mfupi tu...
  18. J

    Kwanini CHADEMA hawataki kudai Katiba mpya au hata kudai Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuanzia?

    Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi. Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote. Ndio nauliza...
  19. Tume huru ya uchaguzi ndiyo dawa Tanzania

    Tumefatilia suala la Ole Sabaya kwa undani. Alichaguliwa na mamlaka za teuzi zilizochaguliwa na wananchi. Tatizo lililopo Tanzania kwa sasa sio wakuu wa Mikoa au wilaya, tatizo ni kupata viongozi wanaostahili kuongoza nchi kwa mujibu wa uelewa wa Watanzania. Manake ni kwamba kabla hatujachagua...
  20. J

    CUF yaungana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi wowote hadi ipatikane Tume Huru

    Chama cha CUF kimesema hakitashiriki uchaguzi wowote utakaoitishwa kwa sababu bado wanapima hali ya kisiasa nchini ikiwemo uhalali wa tume ya uchaguzi. Mwenyekiti Prof Lipumba amesema maamuzi hayo yamefikiwa na kikao cha kamati kuu. Ikumbukwe kuwa CHADEMA ilishatoa msimamo ke huo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…