Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
Licha ya kwamba inafahamika wazi kwamba, tayari kipo chombo mahususi cha kisheria kilichoundwa na mtukufu rais ili kuondoa utata na sintofahamu juu ya jambo hilo, na kuipa tume hiyo jukumu la kutafiti, kuchunguza na hatimae kubainisha ukweli au uzushi kuhusu kilichodaiwa kutokea baada ya...
Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana.
Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama.
Soka na wenzake uchunguzi...
Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii.
Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm itapata kura ya wanu na abdul tu. Chadema watachukua kombe kabla ya saa nne asubuhi.
Hakuna...
Mambo vipi wana JF.,.
Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS.
Sasa...
"Tume Huru ya uchaguzi imemaliza kazi yake siku chache tu zilizopita na matokeo yake tumeyaona.
Sasa kumeundwa "Tume Huru" nyingine ya kuchunguza mambo ambayo kila mtu mwenye akili timamu anajuwa sababu zake na matukio yaliyo ambatana na sababu hizo.
Kwa nini pawepo na matarajio tofauti na...
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo.
Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
Tutaenda pale bandarini kwa DP world wengine bungeni, wengine nendeni ikulu nendeni, wengine nendeni kwenye tume huru kudai mabadiliko wanajifanya hawasikii.
Sasa tuone watalinda wapi.
CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
Tume huru ya uchaguzi wametoa chapisho ambalo lina makosa ya kiuandishi jambo ambalo sio la kawaida kwa taasisi..
kwanza kabisa mwanzoni linasomeka hivi....
Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025...
Watendaji wa Uchaguzi Mkuu wametakiwa kuitumia ipasavyo elimu waliyoipata katika mafunzo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi ikiwalenga waratibu wa uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchagyuzi ngazi ya jimbo. Rai hiyo imetolewa na mratibu wa...
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Magdalena Rwebangira, ametoa wito kwa Watendaji wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuata kwa umakini Katiba, sheria, kanuni na miongozo yote inayosimamia mchakato wa uchaguzi nchini
Akizungumza akiwa Tabora wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Watendaji wa...
Katika taifa ambalo mgombea kama Boniface Mwabukusi — sasa ni Rais wa TLS — anasimulia jinsi kura zake zilivyokusanywa, kupuuzwa, na mwisho kuchomwa moto huku akiambiwa “nenda ukalalamike popote,” mtu yeyote anayesema atalinda kura 2025 bila kutanguliza mabadiliko ya sheria na mfumo, ama...
Kwenye nchi ni lazima kuwe na watu ambao hata sisi tukipotoka wote bado wao watabaki kuwa tumaini letu kwa mawazo, ushauri, miongozo na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya taifa siku zote hushinda maslahi binafsi hivyo hivyo tunatambua kipi ni sahihi kwa kufanyika kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.