Dawa ni ya asili imezalisha india kwa ajili ya kutibu uvimbe kenye kizazi na kenye mfuko wa mayai. Pia dawa inasaidia kurekebisha homoni na hedhi. Dozi moja ya Zandu kanchnar guggul ina vidonge 80, unameza 2x2 asbhi na jioni kwa siku 40. Tunashauri utumie dozi mbili kupata matokeo ya uhakika...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya kugundua kuwa Mke wake alikuwa anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kwa siri...
Hili tukio lilitokea miaka ya nyuma nikiwa chalii mdg enzi za Msoga regime first term.
Jioni moja hivi nilitumwa mafuta ya taa dukani. Sasa katika kucheza na ile hela nikaiweka mdomoni huku na gari langu( nadhani nilikuwa naendesha tairi la baiskeli au mfuniko wa ndoo🤣).
Mara Kaab 🥶mate...
Habari za kazi wapendwa!
Bila kupoteza muda, naomba msaada wa kujulishwa visababishi vya tatizo la gas tumboni kwa mama mjamzito. (Mimba bado changa - chini ya mwezi mmoja).
Je, tatizo hili linaweza kutatuliwaje?
Natanguliza shukrani!
Hii inaweza kuwa ishara ya moja kati ya changamoto kubwa mbili za afya ya uzazi: Ovarian Cyst (uvimbe kwenye mfuko wa mayai) au Fibroids (uvimbe kwenye mji wa mimba).
🔍 Ovarian Cyst ni Nini?
Ni uvimbe uliojaa maji unaotokea kwenye moja au ovari zote (mayai ya uzazi). Mara nyingi ni wa kawaida...
Habari wakuu
Nimetafuta japo uzi wenye kuelezea dawa kwa aliyekwishanza kuathirika na gastric. Naombeni msaada naishu kwa kutafuna tangawizi usiku kucha
Kuna uhusiano gani kati ya fungusi mdomoni na koo na asidi reflux, maana baadhi ya watu wenye tatizo la asidi pia ukutwa na fangasi hata mimi nina tatizo hilo nina fungus wasioisha mdomoni maana nilipimwa endoscopy dr aliniambiwa wapo pia kwenye koo
NB: nimeanza kupata hili tatizo baada ya...
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️
1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya...
Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi
Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya tendo imepungua anayejua dawa ya kienyeji msaada
Wakuu habari za muda.
Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea.
Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina.
Nimepima ultrasound bali sina shida.
Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa.
Nipeni maelezo na dawa tiba.
Habari, nasumbuliwa sana na mingurumo kwenye tumbo na tumbo linaniuma sana, nimetumia dawa nyingi hospital lkn bado, naombeni ushauri ni dawa gani mzr itanisaidiaa ndg zangu
Habari za asubuhi wana JF,
Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya kabisa katika mazingira yetu ya nyumbani.
Sitojikita kuelezea magonjwa kwa ajili ya kutorefusha...
Kwa siku mwili wa binadamu unatengeneza kiasi cha asidi kati ya lita 1 hadi 1.5. Yaani ile asidi ya kujaa kopo kubwa la maji la lita 1.5! Asidi hiyo ni nyingi na kali sana. Ukali wake unafika PH ya 1.5. Manyama, matobolwa, samaki, minyofoo, pweza, vyakula vyote vigumu na laini husagwa na asidi...
Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.
Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9
Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha...
Wadau hamjamboni nyote?
Swali Kwa Ndugu zangu Je Yesu Kristo au Issa Bin Mariamu alikaa tumboni kwa Mamake Bi Mariamu kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa?
Je ni miezi 9 au 6 au 3 au 1 au siku 1?
Naombeni majibu kwa mujibu wa maandiko rasmi na sio vinginevyo
Lugha zisizo na staha...
TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD) NI NINI.?
Gastroesophageal reflux disease (GERD);
⚫ Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.