Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
Hamjambo wote!
1. Turudi kwenye majukwaa, vilinge na vijiwe vyetu.
2. Matusi tupunguze maana kuacha kabisa kuna watu najua hawataweza.
3. Uzushi, bullying, kejeli, kuvuana nguo tuache.
4. Ukosoaji uendelee sambamba na suluhu kwa Kila ukosoaji.
Haina maana kukosoa bila kutoa suluhu kwa kile...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Dunia kwa sasa si mahala salama kwa kuishi wakristo hili kila mtu anajuwa , basi tuwaombee sana wakristo wote hasa wa Nigeria, Lebanon, iran, mali, bukinafaso, na kwingine kote wanakowindwa na magaid ya kiislamu
Lakini pia tuwaombee watu...
Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa.
Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
....wala siasa safi. Tunahitaji uongozi bora pekee.
Fikra za kwamba ili tuendelee tunahitaji watu, ardhi, siasa safi.... hazina mashiko hivi sasa. Kama kitu chochote katika dunia hii, huchakaa na kufa. Tatizo watu kwa hulka yao hupenda kung'ang'ania.
WATU: Hapa hayati Nyerere alikusudia nchi...
Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji
Utawasikia wapumbavu
"Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake.
Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"
Sasa...
Leo Disemba 12, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa baada ya saa 24 kupita toka tulipotoa taarifa ya mwisho asubuhi ya tarehe 11.12.2025 juu ya hali ya usalama nchini.
Akitoa taarifa hiyo Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime amesema "Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa ushirikiano wa...
Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/
Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
ccm
hii
icc
katika
kimataifa
kutuma
mahakama
mahakama ya icc
mauwaji
naomba
serikali
serikali ya ccm
tuendelee
tumia
ushahidi
wahuni
watanganyika
watanzania
wazalendo
wote
Mwalimu Nyerere alipokuwa analeta Ujamaa kwa watanzania, aliponda sana masuala ya kuchukua fedha za nje, na moja ye hotuba yake aliwaponda sana wanaotaka mishahara mikubwa kwamba hela tunapata wapi.
Na hapa sisemi kwamba nakubaliana na falsafa ya Ujamaa, najaribu kuzungumzia masuala ya fedha...
Tusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole.
Kwa ni maendeleo wakiyaona wananchi ndio wanaipigia kura CCM.
Nchi Iko katika mikono salama. Serikali inawajali wananchi.
Tuache kuzungumza maneno yanayoleta taharuki.
Hii ni New World Order. Uhuru wa raia...
Uchaguzi mwaka huu umekuwa na nkamvuto' hakuna upinzani wa Moja kwa Moja lakini Kuna fukuto la mabadiliko..ndani ya CCM na nje ya CCM.
Huko.ndani yaelekea Kuna discontent kubwa sana! Nje ndio hakufai!
Kulikuwa na utqbiri kuwa Kuna jambo litatokea julai au Agosti.
Kuna watu walioanisha...
Kuwa sijui....
1. Ukiona Paka jike na dume wanatiana jua ni Uchuro ama utakufa au utapokea Msiba
2. Bundi akitua katika Paa la Nyumba yako jiandae Kufa au Kufiwa
3. Mbwa akibweka sana Usiku Kwako jua Wachawi wanapigana Angani Kwako hivyo utaamka Asubuhi ukiwa Mchovu kama umetoka Kulimishwa...
Katika taifa linalodai kuwa na uhuru na amani, hali ya usalama wa raia imegeuka kuwa ndoto mbaya kwa Watanzania wengi. Matukio ya utekaji, vipigo kwa raia wasio na hatia, kufungwa kwa makanisa, na vitisho dhidi ya wapinzani wa kisiasa yameendelea kushika kasi — huku CCM, chama tawala...
Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
Sijui hizo suffixes "nized" ziko sawa gramatically au la!! Mliosoma HGL na "L" zingine mtanisahihisha kama nitakuwa nimechemka.
Naungana na wanaCCM wanaolaani press ya Gwajima. Lakini pia natofautiana nao kwenye mantiki ya hoja zake.
Kimsingi sina uhakika kama Askofu Gwajima hajawahi kusoma...
Ni vyema sana Jumuiya ya Africa Mashariki ikashirikiana kutambua kigenge cha wahaini wanaopokea fedha kutoka ughaibuni kwa nia ya kuleta machafuko na kurudisha nyuma uchumi wa EAC.
Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sababu yenyewe ni kutokubali kukosolewa. kukosolewa ni kuoneshwa makosa unayoyafanya yaani kuoneshwa mapungufu yako.
Watu wengi hawapendi kuoneshwa mapungufu yao ila ni rahisi sana wao kutambua mapungufu ya wengine lakini ya kwao...
Moja kwa moja.
Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi
https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/
Mwingine...
Naomba radhi kwa Maneno kadhaa Makali yaliyomo, ila Kikubwa tu naomba tuyasikie yale ya maana / muhimu ambayo kayasema ambayo kwa 100% yamesababisha Wanaume wengi kuwa na Nuksi nyingi na kila Siku tu Maisha yetu kuwa Magumu huku tukimsingizia Shetani kuwa Msababishi wakati kumbe Kiuhalisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.