tubaki

Keisuke Tubaki was a Japanese mycologist.

View More On Wikipedia.org
  1. Ahmed Ally: Ninachotamani wote watolewe, tubaki peke yetu

    Mwamba kabisa Semaji la Simba linatamani timu zote zitolewe isipokuwa Simba kwenye michuano ya kimataifa halafu wabaki Simba Peke yao, Timu anazotamani zitolewe ni Yanga, Azam na Singida Black Stars. Neno moja Kwa semaji.
  2. GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

    Wakuu Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii: "Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"
  3. K

    Tubaki kwenye ukweli

    Tuhimize watu Wakubali turudi kwenye Maandiko ya Mwenyezi Mungu kila Mtu kwa imani yake . Aliye Mnafiki aambiwe ni Mnafiki Aliye na Ukafiri wa kukiuka viapo aambiwe wewe ni Kafir 😳😳 Kwa sababu Kimsingi Tukisoma katiba yaJamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 26(1)(2) ibara 09...
  4. Kwa hali ilivyo ikitoka amri kuingia 2025 uwe na tsh 500,000 wengi tubaki

    Sijui uko wenzwetu uku kwetu mambo yamekuwa magumu balaaa sijui ndio ukiona ugumu kuna neema mbele inakuja.maana hapa ata wakisema kuingia 2025 uwe na laki 2 naona bado kuna kubaki 2924
  5. Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

    Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine. Eeeehh mara hivi mara vile. Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani. Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana. Ni biashara ya upande mmoja.
  6. Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  7. U

    Nadhani Mdundo wa amelowa na Yataniua tubaki hapa tutafika

    Production zetu bongo c nzuri na Biti zetu nyingi ni legevu na zisizoweza kushindana na Nigeria. Nimekuwa naenda Club nyingi za usiku, ila Kila zinapopigwa nyimbo hizi mbili yaani Amelowa ya harmonize na Yataniua ya diamond naona kabisa ni Biti za tofauti na ni Kali sana kiasi kwamba nahisi...
  8. Zitto: Vikao na Wanachama wataamua tubaki au tutoke SUK

    Kauli ya Zitto imetokana Rais Mwinyi kumteua Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ambapo chama hicho kinapinga kwa madai alihsika kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Kiongozi huyo wa ACT Wazalendo, amesema kabla ya kuingia Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) walienda kwa wanachama na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…