tuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushindi wa makandokando kubebwa kulazimisha na ulaghai wala haunogi, Ninashauri Simba tuache janja janja tujenge timu

    Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili! Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia...
  2. Z

    Hizi chokochoko za KIDINI zinazo endelea zinachochewa zaidi na matamko ya TEC, kwa maslahi ya Amani ya Taifa letu naomba tuache.

    Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko. Nchi ikichafuka...
  3. Watanzania Tuache Kukurupuka Ovyo

    Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina...
  4. K

    Tuache porojo tuje kwenye matendo

    Tuache porojo tuje kwenye matendo hatua zinazochukuliwa kwa mafukara na watumishi wa umma hatua hizo zichukuliwe ndani ya ccm ili kuondoa mionekano ya kiubaguzi na kiupendeleo Nakumbuka Tarehe 25/04/2025 akilihutubia Taifa kuelekea kwenye maadhimisho ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Rais...
  5. Tupunguze Siri Wakuu

    Habari wana JF. Tuache Siri kwenye vitu muhimu wakuu hasa kwenye family issues. Kuna partner wangu mmoja hapa kariakoo wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunazungumzia kuhusu usiri wa pesa tunazo weka Bank . Jamaa akanambia kahifadhi milioni 28 bank na mke wake hajamwambia hivyo katika familia...
  6. K

    Tukiwa Hai,tutende mema na kwa Haki ili Tuache Alama NJEMA!

    Habari Wana JF,Nimekaa na kutafakari sana juu ya uhai na hatima yetu kama Binadamu,uwe muumini wa Dini au huna Imani! Mimi ni muumini wa uwepo wa Mungu na nitanukuu maandiko kama ninavyoamini. Nimevipiga vita vilivyo vizuri,mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda,8baada ya Hayonimwekewa taji ya...
  7. Kilichohamasishwa na upinzani ni uchaguzi huru na wa haki sio vurug, tuache kugeuza mambo

    Kilichohamasishwa na watanzania ni uwepo wa uchaguzi huru na wa haki sio vurugu, sio kumteka mtu, sio kumpiga mtu haya madai ya Dkt. Mpango kuwa ni vurugu yanatoka wapi na nani aliyeyasema? Nilimsikia dkt. Mpango akihamasisha wazazi wasiwahusishe watoto kwenye vurugu, sasa uchaguzi huru na wa...
  8. Tuache kuiga vya watu ,tutengeneze mifumo yetu kwa kanuni zetu

    Afrika mambo mengi tunapenda kuiga,tufanya mambo mengi kwa sababu nchi fulani iliyofanikiwa inafanya. Akitokea mtu akapinga,wengine watakuja na hoja mbona nchi flani inafanya hivi ama ipo hivi,yaani uhuru wetu wa kufanya mambo yetu kivyetu vyetu haupo mpaka tuchungulie Canada,UK nk...
  9. Waafrika tuache visingizio hoja zetu hazina mantiki , hao influencers wengi ni wapiga domo na hawana hata akili ya kuvukia barabara

    Habari wajameni Nimekuwa nikifuatilia mambo mengi haswa hawa pan Africans , kiukweli hakuna mwenye akili hata moja angalau Mwalimu nyerere alikuwa anaweza kujenga hoja na ikaeleweka .. Tuje sasa kuna kundi limeibuka huko ,wanapinga dini . Bila shaka sio kosa maana wako huru ila ukija kwenye...
  10. R

    Tuwe wakweli tuache unafki, Kuna wanawake ambao beki zinakaba ukiwakazia ?

    Nimekuwa nikipinga kuna dhana ya kwamba kuna wanawake ni wagumu a.k.a beki zinakaba Naamini shida huwa ipo kwa mwanaume mfano hana pesa, anawahi kukata tamaa, sio mcheshi, n.k.
  11. Tanzania haina Arena, tuache ushamba!

    Arena ni kiwanja kikubwa kilicho katika mithili ya ukumbi ambacho shughuli za michezo, muziki, mikutano na sanaa mbalimbali zinaweza kufanyika ndani yake. Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia...
  12. M

    Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

    CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana. Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream. Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa. Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za...
  13. Sema hii ngoma Harmonize aliandika tuache masihara

    Tupia nawewe yako ngoma kali unayoikubali ya mmakonde
  14. B

    Wanawake wengi wa sasa kwenye mahusiano wako kibiashara (wana selfish motives), wanaume tuache ku-fantasize romantic cinderella stories

    Habarini Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi mwingi , me, me me, me, & me ananifanyia hiki. Wadada wachache walisifu "utu wema k.v loyalty...
  15. Tuache unafiki , angekuwa hapa kwetu Tanzania mngempa hiyo nafasi?

    Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash...
  16. N

    Wana simba tuache lawama...

    Tuache lawama wana lunyasi... Kilichotokea jana ni tafsiri halisi ya ligi yenye ushindani... Si hivyo tu, matokeo ya jana yanaondoa uvumi kuwa Azam hucheza kwa low intensity ili kuifaidisha Simba... Binafsi najua hata Uto anaenda kukutana na moto wa Azam na ataangusha alama.
  17. Kama kweli tunataka ligi isiwe na mapinde kama haya basi tuache unafki kwanza na double standards kemea kote

    Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm kuzamini timu zaidi ya mbili Tukubaliane kwamba malalamiko yao ni ya kweli lakin je walishawahi...
  18. L

    Wanasimba Tuache kuwakatisha tamaa wachezaji wetu,tuwe na subira,mmemuona Kibu?

    Leo hii KIBU D kawa mchezaji Bora kabisa katika Klabu yetu.kawa muokozi,mleta faraja,mkombozi na mfunga magoli muhimu. Lakini Kibu huyuhuyu miaka miwili iliyopita hakuna tusi aliacha kutukanwa. Kibu alilaumiwa na analaumiwa kwa kufunga goli moja TU msimu mzima na kutofungq kabisa katika...
  19. Single mothers waheshimiwe: Tuache mara moja kuwabeza

    Nikiwa nimejawa na jazba nawakemea watoto wa kiume na wavulana wote wanaodhihaki na kuwa kebehi single mothers. Ieleweke kwamba, single mother ni mama yake mtu, ni kama alivyo mama yako. Aidha, wanawake hawa ni majasiri, wameamua kutunza uhai , kinyume chake wangetoa mimba na kuwa kama hayo...
  20. Tuache kutangaza dosari za wanawake zetu

    Nawashauri wanaume,tusitangaze dosari za wanawake zetu,iwe ni mkeo au mchepuko,badala yake tuwasaidie kuziondoa hizo dosari.Kumbukeni mwanamke ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi wanaume,watusaidia mambo mengi sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…