trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Trump hajakubali matokeo

    Dobald Trump hajakubali kushindwa katika Uchaguzi uliomfanya Joe Biden kuwa mshindi Trump amelalamikia udhaifu mwingi uliojitokeza katika uchaguzi na udanganyifu kadhaa uliopora ushindi wake Trump atafikisha malalamiko yake Mahakamani, lakini atapata changamoto ya kuthibitisha madai yake pia...
  2. Trump aliwalea madikteta wa Afrika, kung'oka kwake ni pigo kwao. Sasa wataanza kushughulikiwa bila huruma

    Rais wa Marekani aliyeng'olewa madarakani Donald Trump alisaidia Madikteta wa kiafrica kung'ara na udikteta wao kwa vile aliidharau Afrika aliyoiita Shit hole na kuachana nayo, huku akijua wazi kwamba Punda hawezi kwenda bila mijeledi , jambo hili la USA kuipuuza Afrika na watu wake lilipelekea...
  3. Tujikumbushe vituko vya Donald Trump

    Watu waliandamana, nisikiavyo Trump alikua ndani ya nyumba yake akichungulia dirishani. Baada ya kumuonyesha shit holes zao waliondoka. Ni baada ya kusema developing countries are shit hole countries.
  4. Kwa 'Upuuzi' wa 'Kisiasa' na 'Kiutawala' wa Donald Trump ningewadharau kuliko 'Wamarekani' kama 'wangemrudisha' tena Ikulu ( WH )

    Kama ndani ya miaka yake minne ( 4 ) tu kafanya 'Mapungufu' makubwa yafuatayo ya 'Kiutendaji' akiwa Ikulu ( WH ) kwanini arudishwe? 1. Kaharibu Sera ya Nje ya Marekani na Mataifa makubwa 2. Aliifanya Ikulu ( WH ) kama ni Ofisi yake binafsi na Wanafamilia wake 3. Aliionyesha wazi wazi Chuki yake...
  5. Trump alikuwa akicheza gofu wakati Biden alipotangazwa mshindi!

    Kama kawaida yake, Trump huwa hajali! Hata wakati Marekani inahangaika kukimbizana na Corona, mwamba alikuwa bize na gofu! Na leo tena, Biden anatangazwa mshindi, yeye yupo bize na gofu. Nadhani ataendelea kucheza zaidi maana amepumzishwa majukumu ya White House. (Picha na AP)
  6. Trump ame-'tweet' kuwa alishinda kwa kura nyingi, twitter wakanusha

    Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani yamemtangaza Joe Bidden kuwa Rais wa Marekani baada ya kumshinda Donald Trump. Trump ameonekana kutoridhika na hali hiyo ametweet kuwa alishinda kwa kiasi kikubwa. Mtandao wa twitter umeongezea link kwenye tweet ya Trump kuonyesha matokeo halisi yaliyotangazwa.
  7. Uchaguzi Urais, USA - 2020: Anavyopigwa Donald Trump (R) katika Ballot Box, ndivyo ambavyo alikuwa anapigwa John P. Magufuli (CCM)..

    Mfanano wa chaguzi hizi mbili: 1. Wote, Donald Trump (Republican) na John Magufuli (CCM) ni incumbent presidents waliokuwa wanatetea nafasi zao.. 2. Wote ni maRais wasema ovyo na wasiopenda kulaumiwa kwa makosa yao.. 3. Wote ni wapenda sifa na wakati mwingine kutaka sana kupenda...
  8. Trump, Biden and a Pilot

    Trump and Biden are in a plane Trump: What if I drop 1 hundred dollar bill and make one person happy? Biden: What if I drop 10 ten dollar bills and make ten people happy? The pilot: What if I drop you both and make 330 million people happy?
  9. B

    Trump angekuwa Afrika angesha shinda kwa kishindo!

    Mabibi na mabwana huu ndiyo ukweli wenyewe: Donald Trump mgombea aliye madarakani huko Marekani kama angekuwa hapa Afrika (hasa Afrika mashariki), tayari angesha tangazwa kuwa ni ushindi, tena labda wa kishindo (80%+). Kama Marekani ingekuwa ni Tanzania, NEC ya Kaijage na Mahera ingeshamaliza...
  10. GE2020 Zitto Kabwe kuzungumza na Vyombo vya Habari kesho Novemba 7, 2020

    Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Ndugu Zitto Zubeir Kabwe kesho Novemba 7, 2020 anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kuhusiana na masuala mbalimbali yaliyojili kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Pia Kiongozi wa Chama atazungumzia mambo mbalimbali ikiwamo ukiukwaji wa...
  11. Trump 2024

    Yes, it is not that far-fetched people. Trump may run again, as a Republican, in 2024. Of course, he will have to go through the rigmarole of the caucuses and primaries and win those contests, but I’m not ruling it out. A nightmare scenario for the GOP, would be if he decides to run as a...
  12. Waangalizi wa Uchaguzi wa Marekani wasema madai ya Trump kuibiwa kura hayana mashiko

    Mkuu wa ujumbe wa waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa Marekani 'Michael Georg Link' amesema kwamba madai ya Rais Donald Trump hayana msingi, yanayosema kwamba kumefanyika udanganyifu katika uchaguzi huo. Michael Georg Link anayeongoza ujumbe wa Shirika la Usalama na Ushirikiano barani...
  13. Marekani: Jaji atupilia mbali madai ya wapambe wa Trump

    Wanaofanyia Kampeni Mgombea Urais wa Marekani, Donald Trump walifungua kesi kupinga matokea kwa jimbo la Georgia. Wafuasi hao wa Republican walidai kuwa maboksi 53 ya kura yaliingizwa kwa kuchelewa hali iliyowafanya waone udanganyifu katika kituo cha kupigia kura. Kesi hiyo ilifunguliwa katika...
  14. M

    Tweet ya Trump uchaguzi 2012 akihimiza kura zisihesabiwe tena imemuandama

    Uchaguzi wa Marekani 2012 kati ya Obama na Mtt Romney Trump aliwahimiza wamarekani kwa wingi wajitokeze kumpigia kura mgombea wa Republicans Mitt Romney na kutweet kwenye tweeter kura zikishapigwa zisirudiwe tena kwasababu Obama ataiba. Wakati huo alivyo kuwa anaandika hivyo Republicans walikuwa...
  15. Uchaguzi Marekani: Trump amshutumu Biden kuiba kura, Twitter yatoa tahadhari kuhusu chapisho la Trump 'linalopotosha'

    Wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia Uchaguzi Mkuu nchini Marekani, mtandao wa Twitter umetoa tahadhari kuhusu chapisho la Rais wa Marekani, Donald Trump alilochapisha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter akiwashutumu wapinzani wake (Joe Biden) kuiba kura. Trump aliandika...
  16. Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

    Trump, rais wa 45 wa Marekani anajivunia rikodi ya kuimarisha uchumi na kupunguza kwa kiwango kikubwa ukosefu wa ajira lakini anakosolewa kwa jinsi alivyoshughulikia janga la virusi vya corona. Biden, mwanasiasa anayegemea sera za wastani za mrengo wa shoto ameahidi kulinda haki ya wamarekani...
  17. Eti gauni alilovaa leo Melenia Trump akienda kupiga kura ni shilingi millioni 15

    Mzuka wanaJF! Yani gauni tu gharama yake ni zaidi ya kiwanja, zaidi ya IST ada za shule za watoto kadhaa. Wote tu tutarudi mavumbini. It's fundamentally wrong and totally unacceptable to spend 5000 sterling pound on just a dress.
  18. Mwenyezi Mungu msaidie Trump ashinde uchaguzi kesho

    Mzuka wanaJF! Baba Muumba wa mbingu na nchi na mkambidhi President Donald Trump achaguliwe tena muhula wake wa pili. Silaha aliyoishika ni hatarii na ndio itamrudisha tena White House. Die hard Trump supporter!
  19. Kuelekea Trump kushinda, Tazama video za nyomi la wapiga kura wa Trump. Media hawataki uzione

    Ni juzi tu Rais Trump kapata nyomi la watu elfu 57 lakini hutakuja kusikia CNN wala MSMBC, n.K wakiripoti hivi vitu. Kwa ukweli ni kwamba Wamarekani wenggi wameacha kufatilia main stream media, watu wengi wanaofatilia hizi media ni raia wa nje ya marekani wakiwemo Watanzania wa humu Jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…