treni

"I treni di Tozeur" ("The trains of Tozeur") is an Italian song, written by Franco Battiato, Saro Cosentino and Giusto Pio. It was the Italian entry in the Eurovision Song Contest 1984, performed in Italian (with some lyrics in German) by Alice and Franco Battiato.
In a studio version sung only by Battiato, the song was later to be included on his album Mondi Lontanissimi (1985) and was subsequently also recorded in English and Spanish language versions as "The trains of Tozeur" and "Los trenes de Tozeur" and featured on albums Echoes of Sufi Dances and Ecos de Danzas Sufi respectively. In 1994 Battiato recorded an interpretation of the song with a symphony orchestra for his live album Unprotected.
Alice has also recorded solo versions of the song, included on albums Elisir (1987) and Personal Jukebox (1999), the latter featuring strings by the London Session Orchestra, arranged and conducted by Gavyn Wright. The original 1984 duet version of the song features on the 2005 career retrospective Studio Collection, in effect making its debut on an Alice album twenty-one years after its recording.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania TANROADS na TRC wekeni matuta kwenye makutano ya barabara na njia za treni; Alama na ishara hazitoshi maeneo hayo

    Ile kanuni ya treni kwamba huwa haigongi bali hugongwa haikuwa na maana hii kama inavyoelezwa na wengi! Kama ni sheria au kanuni Basi waliopitisha hawakufikilia vizuri! Treni haigongi porini lakini linapokuja suala la muingiliano wa njia za treni na barabara treni inaweza kugonga! Kwasababu...
  2. Jackal

    JamiiForums Tanzania Treni Iliyobeba Wanajeshi wa Urusi yalipuliwa kwa bomu la kutegwa na kuua Wanajeshi

    Putin's forces were once again scrambling as Ukrainians maintain a strong resistance in the occupied city in southern Ukraine. On Wednesday, May 18, what was described as a “powerful explosion” that “thundered the city” destroyed a train carrying Russian military personnel and ammunition. Local...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Angalia picha: Mabehewa ya treni za SGR yanatengenezwa, barabara zinajengwa, meli, madaraja, na mishahara inaongezwa

    Balozi akikagua Mabehewa ya SGR, miradi inaendelea, na watumishi wanaangaliwa maslahi. Awamu Ile ilikwama wapi!? Au korosho ziliwajaa rohoni? Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waafrika wazuiwa kuingia katika treni inayo elekea Poland

    Waafrika waishio Ukraine wamekataliwa kuingia katika treni inayoelekea Poland ambayo inabeba raia wanaokimbia vita.
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Kichwa cha Treni Kitabadilika kuwa hivi?

    Kueni watulivu jamani pengine ni uchovu wa safari kikipumzika kitakua kama hivi
  6. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

    Kichwa cha treni cha reli ya kisasa - SGR chàwasili Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, treni ya Gwajima inaenda mikoa ipi, na inapita njia gani?

    Kwenye usiku wa kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, mtumishi wa Mungu, Askofu Gwajima kupitia madhabahu ya kanisa lake la Uzima na Ufufuo aliitangazia dunia kuwa kanunua treni yake, tena kanunua kwa pesa taslimu. Ndugu Watanzania wenzangu, naomba kujulishwa hiyo treni wanapandia wapi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeshalipia treni 19 za Umeme na mabehewa 89, Seti 10 za treni na mabehewa 80 kwaajili ya mizigo

    === Serikali ya Tanzania imesema imeingia mkataba wa ununuzi wa mabehewa ya abiria 89, vichwa vya treni ya umeme 19, seti za treni za kisasa 10 zenye behewa 80 vikiwa na gharama ya US$381,428,465 karibu TZS 880BL, Hayo yamebainishwa leo siku ya Jumanne Desemba 28, 2021 na Rais wa Tanzania...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Treni Nairobi-Kisumu yafufuliwa baada ya miaka 15, abiria wakata tiketi kwa mpigo na kufikisha asilimia 90%

    After a 15-year break, the Nairobi-Kisumu passenger train service resumed Friday on a high, with over 90 percent of seats booked by Thursday. Queues were still long at the Nairobi Railways Central Station Thursday evening as families heading to the village for festivities booked tickets. “The...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Danadana majaribio treni ya SGR Dar - Moro

    Summary Danadana zimeendelea kutawala juu ya kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Dar – Morogoro, baada ya kuahirishwa mara kadhaa kwa majaribio yaliyopangwa kufanyika mwaka huu. Danadana zimeendelea kutawala juu ya kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hivi treni ya kuelekea Moshi bado ipo? Mwisho wa mwaka tunaanza kupanga safari

    Nauliza kwa wale abiria wenzangu wa Tanga Moshi Arusha ile treni yetu iliyozinduliwa na Mh Polepole (MB) bado ipo? Naomba majibu Tafadhali huu ni wakati wa kujipanga December imekaribia. Sabato njema!
  12. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Safiri na treni ya Deluxe msimu huu wa sikukuu

  13. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Kusafiri na Treni ni zaidi ya safari

  14. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC yatarajia kupokea vichwa vipya vitatu vya treni kupitia mradi wa TIRP

  15. aka2030

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi treni ya SGR haitakuwa inabeba mizigo?

    Ukitazama picha hata mwanzo wa reli yake imeanzia station ya zamani hamna reli iliyoelekea bandarini Pia hapo station reli yenyewe ipo juu sana naomba ufafanuzi nijue kuwa itakuwa ya kubeba watu tu ama na mizigo?
  16. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni kwa mara ya kwanza

    North Korea kwa mara ya kwanza imefanikiwa kurusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni. Makombora hayo yalishambulia tageti iliyokuwa baharini umbali wa kilomita 800 toka sehemu iliyorushiwa. Wachambuzi wa mambo wanasema jaribio hilo laonesha kuwa Kim Jong Un anaendelea kuboresha...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Dereva wa treni ya abiria hupataje taarifa kama kuna dharura au hatari ili aweze kusimama

    Kwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje huku treni iko kwenye mwendokasi lakini bahati nzuri treni ikasimama katikati ya pori na hiyo...
  18. Mr. MTUI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ombaomba wenye magari

    Nakumbuka mwanzoni kwa mwaka huu nilikua kituo Cha mafuta fulani nikijaza mafuta...wakati natoka akatokea kijana mtanashati akanisimamisha akanambia. 'Bro samahani kwa kukusumbua mmepata breakdown kidogo gari yangu imeisha mafuta na Sina Ela maana nilikua nmepaki Kariakoo wezi wamevunja gari...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Treni za kizamani zina umuhimu sana bado kwenye uchumi

    Nilienda likizo TZ kutoka hapa Dallas, Texas ninapoishi na kufanya kazi. Watu wengi walikuwa wananiambia tuna reli kama huko kwenu inakuja. Kitu ambacho hawajui Reli nyingi hapa sio za abiria ni za kiuchumi na zinabeba mizigo na mafuta kutoka sehemu mbalimbali kuja Texas kwa usafishaji wa...
Back
Top Bottom