Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 251
- 595
Sio kama Massa 18 ndio kutoka Dom - Kigoma?Masaa 18 DSM - Kigoma kwa mfano umekaa ndani ya trein its wastage ya resources zako binafsi, unless kama ni likizo ya kifamilia na unatumia usafiri huo kama utalii wa ndani hapo nitakuelewa lakini kwa masuala ya usafiri wa kikazi, kibiashara ni hasara kwa mtumiaji - too much time spent sitting doing nothing.
Umevuta ya Geita au Njombe?
Umeona ee, msingi unabakia palepale kwamba its wastage of resources kama mtu ataamua kutumia usafiri huu - usafiri huu ni wa karne ya 18. tutaisubiri hiyo ya speed masaa 7 DSM -MZA haitakuwa mbaya sana.Sio kama Massa 18 ndio kutoka Dom - Kigoma?
Au caption ipo tofauti na maelezo(sijafungua clip)
Anaposema ni zaidi ya safari anamaanisha pamoja na kusafiri kuna mambo ya ziada utayaona na kuyapata. Ukiwa unataka kupumzisha akili yako safiri kwa treni, chukua daraja la kwanza au la pili na safari iwe ya mchana uimalizie asubuhi, hata mke utaoa safarini pamoja na kupata marafiki wapya hasa kama wewe ni mtu mwenyekupenda kujumuika na watu, ila kamahaupendi kujumuika na watu basi usisafiri na treni, utajuta.Zaid ya safari ni nini!! Enewei zaidi ya safari ni Konyagi..
KichWa bOX
Usafiri wa treni unafaa kwa ambaye hana haraka, kwa wenye haraka na wafanyabiashara, hapanaUmeona ee, msingi unabakia palepale kwamba its wastage of resources kama mtu ataamua kutumia usafiri huu - usafiri huu ni wa karne ya 18. tutaisubiri hiyo ya speed masaa 7 DSM -MZA haitakuwa mbaya sana.
Hapo hata mke utaoa safarini hapo!! Utaoa au kupata wa kunyandua ukifika! Enewei acha tujionee this December...Anaposema ni zaidi ya safari anamaanisha pamoja na kusafiri kuna mambo ya ziada utayaona na kuyapata. Ukiwa unataka kupumzisha akili yako safiri kwa treni, chukua daraja la kwanza au la pili na safari iwe ya mchana uimalizie asubuhi, hata mke utaoa safarini pamoja na kupata marafiki wapya hasa kama wewe ni mtu mwenyekupenda kujumuika na watu, ila kamahaupendi kujumuika na watu basi usisafiri na treni, utajuta.
Kumbe mpo humu, bila Shaka uzi wangu mume usoma ufanyieni kazi.
Usafiri wa basi unachukuwa masaa mangapi?Masaa 18 DSM - Kigoma kwa mfano umekaa ndani ya trein its wastage ya resources zako binafsi, unless kama ni likizo ya kifamilia na unatumia usafiri huo kama utalii wa ndani hapo nitakuelewa lakini kwa masuala ya usafiri wa kikazi, kibiashara ni hasara kwa mtumiaji - too much time spent sitting doing nothing.