Kuna mchezo siku hizi unachezwa nafikiri ni makusudi na wafanyakqzi wa TRC ili kutengeneza mianya ya rushwa.
Sasa hivi TRC wameweka utaratibu mzuri sana wa kukata ticket kwa njia ya mtandao, ki ukweli ni utaratibu mzuri sana na unatupunguzia adha ya kukaa foleni muda mrefu. Lakini kuna mchezo...