The AN/TRC-97 Radio Set, or TRC-97, is a radio set that has 12 multiplex channels and 16 telegraph channels connected to an analog radio. The radio set is a mobile terminal that can transmit up to 40 miles (64 km) straight line-of-sight at up to 1 watt, using a traveling wave tube amplifier, or 96 miles (154 km) in tropospheric scatter at up to 1 kilowatt, using a tunable klystron amplifier, at a frequency range of 4.4 to 5 gigahertz and 1.2 to 2.2 gigahertz. The set has been manufactured by RCA, Camden, N.J.
Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka.
Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi.
Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu mnakifumbia macho ila sio ustaarabu na inaondoa starehe ya kupanda treni kwa watu wanaopenda utulivu na...
Shirika la Reli Tanzania @tzrailways limewataka wananchi kutupilia mbali upotoshaji wa makusud i unaofanywa na baadhi ya watu kuwa mradi wa SGR umesimama na kwamba tayari Shirika limeshapata mkandarasi wa ujenzi wa ujenzi wa vipande mpaka Mwanza na pia Tabora mpaka Kigoma kwa maana ya Uvinza...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Salim Ramadhani Msangi akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa Shirika la Reli Tanzania alipotembelea banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara (Sabasaba) katika viwanja vya Mwl. J.K...
Kwa muda mrefu sasa, wafanyakazi wa kigeni waliokuwa wakifanya kazi katika mradi wa reli wa Yapi Merkezi hapa Tanzania hawajalipwa mishahara na mafao yao. Sababu kubwa ni kwamba Shirika la Reli Tanzania (TRC) halijalipa kampuni ya Yapi Merkezi kwa muda mrefu, hali ambayo imewafanya wafanyakazi...
Nakumbuka Mkuu wa mkoa na waziri Mchengerwa alishawahi kulalamika uzembe wa kupangilia abiria sehemu ya kusubiri kuingia kwenye treni ya SGR
Inaonekana meneja wa SGR dodoma ana kiburi au uwezo mdogo
Treni imeshakaa.mkao wa.kuondoka, bado abiria wanazuiwa kuingia mpaka zinabaki dk 10 ndio...
SGR inaonesha kufanya vizuri na ikisimamiwa vizuri itafanya vizuri zaidi.
TRC ni dude kubwa sana na hawajawahi kuendesha kwa faida.
Serikali iiondoe SGR kutoka shirika la reli hili iwe rahisi kufuatilia uendeshaji wake la sivyo pesa inayopatika SGR itaenda kutengeneza miundombinu...
Ili kuwa mwandishi mzuri wa habari, ni lazima uwepo eneo la tukio. (To be a good journalist, you have to be there.) Ryszard Kapuściński
Ni ngumu sana kulizungumzia jambo kiundani kama aukuwepo eneo la tukio. Mazingira yanaweza kuzungumza na kukupa picha kubwa au ndogo ya jambo umelisikia au...
Je kuna uhalali wowote kuhusu link inayosambaa whatapp ambayo inamfanano na site ya TRC,Ikijumuisha nafasi mbalimbali za kazi katika shirika la TRC ususani SGR.
Wanabodi
Mazoea yana taabu,kwanza utaratibu wangu wa safari za kikazi,kama kuna pipa,hiyo ndio my choice No 1,ndipo nije
nije nyingine, tugemeana na umbali, hali ya barabara na hali
ya mfuko. Kwa safari za Dar Dodoma, huwa ni kwea tuu, na ikibidi, nina vuta mashine!.
Tangu ujio wa Treni ya...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kutokana na tatizo la upatikanaji wa tiketi kwa njia ya mtandao (online) kuanzia usiku wa manane kuamkia leo Machi 19, 2025.
Hata hivyo licha ya changamoto hiyo ya upatikanaji wa tiketi za SGR kwa njia ya mtandao, tiketi ziliendelea kutolewa kwenye...
Wakuu,
Nataka nikaionje SGR lakini naona TRC Railway wanataka kunihujumu. Website yao inafunguka vizuri tu lakini ukifika sehemu ya kukata tiketi za SGR inakwama. Kuna nini? Au wametoa taarifa huko kuwa sight yao kwenye kipengele hiko ipo down?
Ujumbe uwafikie waheshimiwa TRC, fanyeni mambo...
Habari wadau
Huu ni ukweli mchungu
1. Magufuli kaikuta Air Tanzania ikiwa haina ndege hata 1. Ila kaifufua na kainunulia ndege za kutosha
2. Magufuli kakuta shirika la reli TRC linaelekea kujifia.. kalifufua kwa kuliwekezea ma trilioni ya hela na kafosi kujenga reli ya SGR na kawanunulia...
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameututaka uongozi wa TRC Dodoma kuongeza mashine za ukaguzi wa risiti za malipo kwa abiria na kutatua kero ya msongamano wa abiria pindi wanapotoka stesheni.
Senyamule ameyasema hayo alipotembelea stesheni kuu ya Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) na...
TAARIFA KWA UMMA
RATIBA ZA TRENI KUFUATIA MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 27-28, 2025
Dar es Salaam, Januari 26, 2025.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuuarifu umma kuwa ratiba ya safari za treni kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma...
Wakuu poleni na majukumu ya kujitafutia kipato,mimi swali langu ni kwa wahusika wa TRC (SGR)hivi ni kwa nini mtu akitaka kukata tiketi kwa ajili ya train ya sgr mnamtaka lazima awe na kitambulisho tena cha Nida naomba kufahamishwa,na je ingetokea nini kama tungekuwa tunakatiwa ticket bila hiyo...
Sitaki kusema natabiri ila napenda kuwatadharisha shirika la reli wawe makini na SGR, hayo makosa madogo madogo ya hii train kusimama simama bila kuelewa sababu za msingi, mara wakati mwingine utasikia umeme umekatika, kuweni makini ipo siku hii train itakataa kusimama, sijui kitakachotokea hapo...
Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kutoa pole kwa abiria waliokuwa wakisafiri kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma Januari 8, 2025 kufuatia usumbufu uliojitokeza kutokana na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika kituo cha Ihumwa Dodoma majira ya saa 5:38 usiku.
Tunajua kuwa safari...
Wakuu Kwema
Hii nchi tunakoelekea Sasa hivi hali sio nzuri kwa watumishi wetu wa uma. Kila mtu Kwenye nafasi yake anafanya anachojisikia. Bora nchi iuzwe tugawane
Nimefika kituo Cha Treni, kukata ticket kwenda Moshi safari ya ijumaa, ticket zimeanza kukatwa saa2 Cha Ajabu saa2 hiyo hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.