trafiki

  1. A

    KERO Trafiki wamekuwa wengi sana barabarani kupiga faini hadi kero, kwani nini kinaendelea Dar?

    Kwa sasa kuna usumbufu mkubwa sana wa trafiki barabarani ususani maeneo ya mijini, mfano Dar es Salaam. Sinza Makaburini kuna trafiki wanasimamisha daladala wanaweza kukusimamisha zaidi ya dakika 40 hawaangalii muda wa abiria wanaowahi kazini na kwenye shughuli nyingine. Ukienda mbele kwenye...
  2. mcTobby

    Wezi waliojifanya maafisa wa polisi, wamepora pesa kwenye gari la kubeba Pesa huko Italia

    Tukio hili limetokea mchana kwenye barabara moja huko Italia baada ya wezi kuisimamisha gari ya pesa na kuipora.. wawili wamekamatwa... Tukio hili limenikumbusha filamu moja ya Money heist inayoitwa HEAT ============== Genge lenye silaha limefanya shambulio la mchana kwenye gari la...
  3. Area 56

    Kutoka KIA mpaka Arusha mjini hakuna Trafiki, kulikoni?

    Nimepita Arusha kuelekea kanda ya ziwa, kuanzia pale KIA (Kilimanjaro International Airport) mpaka nimefika Arusha town hakuna trafiki barabarani. Zaidi ya kukutana na barrier za Wanajeshi pale Kikatiti na hapa Monduli. Tena wanajeshi ni wengi sana kuanzia hapo Tengeru mpaka mjini. Hakuna cha...
  4. Damaso

    Trafiki kama noma na iwe noma

    Trafiki alipolisimamisha gari, alimkuta dereva yupo sawa kila sekta: bima ilikuwa halali, mzigo ulikuwa na stakabadhi kamili, leseni ilikuwa bado hai, na matairi yalikuwa mazima bila tatizo. Baada ya kulikagua gari kwa kulizunguka mara mbili, ndipo akaibua kosa moja tu—ufa mdogo kwenye taa...
  5. Mad Max

    Ukipata time cheki deni la trafiki hapa na parking kuepusha usumbufu usio na ulazima!

    Naona vijana wa parking/manispaa wanisaidiana na trafiki wamekua serious sana barabarani siku hizi. Kama una gari au ata gari la jirani mchekie madeni hapa: Trafiki: RTOC Parking: Parking
  6. Mad Max

    Polisi kitengo cha Trafiki mnawachekea sana bajaji na daladala.Wanachangia foleni sana barabara za Dar es Salaam

    Huu mji mgumu sana. Foleni zimekua tatizo sana kwa Dar kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea. Sasa vijana wa bajaji na daladala wanaongeza ugumu wa ili tatizo. Angalia kwenye vituo vya daladala mfano riverside au Morogoro rd kwote kwenye vituo vya mwendokasi. Bajaji na daladala...
  7. A

    DOKEZO KERO Mnazi Mmoja: Trafiki analipisha faini madereva kwa kosa ambalo hawajatenda kutokana na taa za kuongoza magari kuharibika

    Kuna huyu Askari Namba H 2223; Jina halikuweza kupatikana mara moja. Yupo pale Mnazi Mmoja Dar es Salaam kwenye mataa akiongoza magari. Taa za barabarani za kuongoza magari zina shida ya kuzimika kwa muda mrefu kisha zinawaka. Basi madereva wamekuwa wakijiongeza na kupita kwa usalaama kabisa...
  8. Hismastersvoice

    Polisi Trafiki komesheni ajali za wakimbia kwa miguu barabarani

    Polisi Trafiki waelimisheni wanaokimbia au kutembea kwa miguu barabarani watumie upande wa kulia ambao wanatazamana na vyombo vya moto vinavyokuja upande wao. Mara nyingi zimetokea ajali za watembea au wakimbia kwa miguu kugongwa na vyombo vya moto vinavyokuja nyuma yao kutokana na kutoviona.
  9. Waufukweni

    Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi. Askari huyo alikimbilia basi...
  10. Waufukweni

    Tazama Video hii, nini maoni yako kuhusu tukio hili la dereva wa Rolls-Royce na Trafiki

    Nimekutana na Video hii iki-trenda Nini maoni yako kuhusu tukio hili la dereva wa Rolls-Royce na Trafiki
  11. Mkalukungone Mwamba

    Umasikini umekithiri mpaka trafiki anachota mafuta kwenye gari lililopata ajali

    Tazama jinsi lori la mafuta lilivyopata ajali Igunga mkoani Tabora kisha bila woga wananchi wakaanza kuchota mafuta. Na miongoni mwao yupo trafiki naye akichota mafuta kwenye gari lililopata ajali
  12. S

    Ajali ya OCD Chanika imenisikitisha ingawa upo ujumbe maalum wa kumuenzi naomba mkuu wa trafiki Tanzania aupokee

    Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana! Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili! Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria! Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na 1. Baadhi ya watumishi wa...
  13. Valencia_UPV

    Trafiki wahamishiwe TRA

    Kulingana na uzoefu wao wa kukusanya mapato na rushwa hawa jamaa wahamishiwe TRA ili kuongeza ufanisi
  14. Waufukweni

    Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za...
  15. Braza Kede

    Mfumo wa trafiki wa kujua faini ya gari haufanyi kazi?

    Mfumo wa trafiki wa kujua faini ya gari TMS CHECK haufanyi kazi? maana haufungui hata kidogo kuna shida gani huko?
  16. Mwanadiplomasia Mahiri

    Sare ya Trafiki wa Uganda unaipa asilimia ngapi?

  17. S

    TANROADS epukeni mfumo wenye traffic lights kwenye barabara kuu zilizo na magari mengi, kwanini mnatuangusha kama hamna utaalamu?

    Nimeshindwa na kutoelwewa kwa nini TANROADS wanajenga mifumo ya flyover ambayo inahitaji taa za kuongoza magari (traffic lights) kwenye barabara zilizo busy. Mfano ni flyover za Ubungo, Tazara na junction ya Kilwa road/Mandela road. Ni kwa nini TANROADS wanatumia mifumo ya flyover sehemu kama...
  18. A

    KERO Baadhi ya polisi wanakusanya mapato kwa nguvu kwenye malori ya mizigo kwa kulipisha faini za mchongo

    Baadhi ya polisi wa barabarani wamekuwa wakiandikia fine malori ya mizigo kwa makosa ambayo hayapo ili wajipatie pesa. Mfano kosa la gari bovu. Gari limetembea kutoka Mwanza hadi Dar ila wanasimamisha wanaandika gari bovu kisa hamna nati moja au mbili au bumber limechomoka. Gari bovu linawezaje...
  19. M

    Gari hizi trafiki wanazipenda kuzipiga mkono

    Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola , Nissan dualis, gari yoyote Namba c, b, A na vigari vyote vya chini ya milioni 20 , na hata...
  20. Mindyou

    Kenya: Wananchi wenye hasira kali wamkamata trafiki anayedaiwa kutaka kupokea rushwa

    Kwenye video ambayo inasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, trafiki mmoja nchini Kenya ameonekana kukamatwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuwa alitaka kupokea rushwa. Video isiyo na tarehe imewaonyesha raia wakimzingira trafiki huyo kwa madai ya kuvunja kioo cha matatu...
Back
Top Bottom