tra

  1. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  2. JamiiForums Tanzania Mwenda: Tupeni taarifa ya Maafisa wa TRA wasio waadilifu, tutachukua hatua

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema Mamlaka hiyo itawachukulia hatua bila kumpendelea wala kumuonea yeyote atakayehusika kukwepa kodi au kwa Afisa atakayeonesha kukosa uadilifu kwenye majukumu yake, amesema hayo Julai 15, 2024 wakati akizungumza na...
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Watumishi wala rushwa TRA watimuliwe na wafikishwe Mahakamani

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu Mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu ikiwemo kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wanaokiuka maadili ya kazi zao ikiwemo kudai na kupokea rushwa, kwa kuwa vitendo...
  4. JamiiForums Tanzania Nyie TRA njooni kodi nyingine iko huku!

    WAKATI nakua na kupata fahamu za kujua kuwapo kwa Mungu, ipo siku wazazi wangu waliniamsha alfajiri na kunivisha nguo ambazo sikuwahi kuzivaa, zilikuwa mpya; shati na kaptura, tofauti na zamani nikivaa shati refu tu bila kingine chini. Baada ya kuvishwa nguo hizo nikiwa nimemaliza kuoga, tukala...
  5. JamiiForums Tanzania Ameandika Jesse Kwayu: Kidata aligusa maslahi ya deep state?

    MEI mwaka jana wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo ambalo limepewa hadhi ya soko la Kimataifa waligoma. Mgomo wao ulitokana na kutokuridhishwa na mwenendo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) dhidi yao. Kwamba TRA walikuwa wakiwabambika kodi, kuwabugudhi na kimsingi walikuwa kero kwao kiasi...
  6. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano. Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula...
  7. JamiiForums Tanzania TRA ibadilishwe kuwa Jeshi Usu

    1. Hii Migomo inaonyesha wafanyabiashara Kariakoo na kwingineko wanaleta mchezo kwenye kulipa kodi. 2. Inafaa Sasa TRA libadilishwe kuwa Jeshi Usu kama taasisi za Maliasili, Misitu. 3. Wafanyakazi wote TRA waende kozi ya awali ya ukakamavu, ujasiri na Nidhamu. 4. Kamishna Mkuu TRA ateuliwe...
  8. JamiiForums Tanzania Tusipofanya haya kila siku tutabadili Kamishna wa TRA

    Mwaka 2022/23 niliandika mada nzito sana kuhusu mambo yanayopaswa kufanywa bandarini kufuatia suala la kubadilishwa kila mara wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari. Nashukuru pendekezo langu nililolitoa la kufanya bandari zetu kuendeshwa kwa sehemu kubwa kwa mfumo wa PPP (Serikali na sekta binafsi)...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

    Wakati Rais Samiah akiwaapisha Viongozi Jana , Kuna mambo matano aliyasema kwenye hotuba yake ambayo yalinisikitisha. 1. Jambo la kwanza Rais kadai mikopo inaifanya Tanzania inyayasike Nimehuzunika Rais anapokiri ya kwamba mikopo tunayokopa inatufanya tunyanyasike. Huyu ni udhaifu mkubwa wa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilimwondoa Kidata TRA sababu niliona mwishoni atadata

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024 https://www.youtube.com/live/MSSEPF3ioMs?si=gBRTSs5sSflxcq9D Rais Samia amewapongeza wateule wote kwa kupata nafasi mpya. Amemtaka Jafo kurejea Ilani ya chama...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia TRA ianze kufuata uchumi halali kuondosha malalamiko ya wafanyabiashara na kukuza uchumi

    Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali. Tumezoea kurithi kila tunacholetewa kutoka kwa watu wa Ulaya waliowahi kuwa wakoloni wetu.Na kwa vile...
  12. JamiiForums Tanzania Kariakoo pamng'oa Kidata TRA

    Jinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi. Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi. Kwa nini tusijifunze kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa illyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:- Mhe. Dkt. Selemani Said Jafo (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa...
  14. JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji ashangazwa na Serikali kupunguza faini EFD, adai ni kuruhusu wafanyabiashara kufanya makosa

    Pastor Masanja akiwa kwenye kipindi kwenye redio ya EFM ameipongeza TRA kuongeza makusanyo kwa 14.5% kufikia trilioni 27.64 kwa mwaka wa fedha 2023/24 lakini amesikitishwa na uamuzi wa Serikali kupunguza faini ya kutotoa risiti ya EFD kwa wafanyabiashara kutoka milioni 15 mpaka milioni 4...
  15. JamiiForums Tanzania TRA Jifunzeni hapa aina 3 za kodi muhimu China

    1. VAT Kama robo mwaka turn over yako ni zaidi ya RMB 300,000 (TZS 100mil+) tax rate ni 1% otherwise no VAT 2. PROFIT TAX Kama profit yako ni zaidi ya RMB 3mil (TZS 1bil +) tax rate ni 25% chini ya hapo utalipa tax rate ya 5% 3. PERSONAL INCOME TAX Kama mshahara wako kwa mwezi ni RMB 10,000...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya: Kutumia teknolojia ya Blockchain kukabiliana na Ufisadi serikalini na TRA

    Katika habari za hivi karibuni, kuna skendo kubwa imetikisa sekta ya fedha ya Tanzania. Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alihusishwa na wizi wa fedha za serikali, kiasi cha zaidi ya TZS 3.8 bilioni (takriban USD 1.6 milioni). Skendo hii imesababisha wasiwasi kuhusu usalama na uadilifu...
  17. JamiiForums Tanzania Maafisa TRA wachunguzwe mali wanazozimiliki na vyanzo vya mapato yao kama vinaendana

    Taasisi nyeti kama hii haziwezi kuongozwa na wahalifu. Vijana wanatumia Sheria mbovu za Kodi kujitajirisha na kuleta adha kubwa kwa uchumi wa nchi na wafanya biashara. Kulingana na maoni ya watu wengi maafisa wa TRA wamekuwa wakikadiria Kodi kubwa wafanyabiashara nje ya utaratibu ili...
  18. N

    JamiiForums Tanzania TRA yadaiwa kuanza kuvamia wawekezaji wa kigeni na kudai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15 nyuma. Je, Serikali ina uhaba wa fedha?

    Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
  19. JamiiForums Tanzania TRA: Hatua ya kuzuia akaunti ya mlipakodi ni ya mwisho kabisa ambayo hufanyika baada ya mlipakodi kutotimiza matakwa ya sheria ya kulipa kodi

    TRA: MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUWAKUMBUSHA WALIPAKODI KUTEKELEZA WAJIBU WA KULIPA KODI KWA MUJIBU WA SHERIA Dar es Salaam, 18 Mei, 2024: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwakumbusha walipakodi kutekeleza wajibu wao wa kisheria wa kulipa kodi kwa hiari na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mgomo wa wafanyabiashara, mimi nasimama upande wa TRA

    Wengi wa wafanyabiashara wamegoma nchi nzima na moja ya ajenda yao ni ukaguzi wa risiti za EFD zisitishwe mara moja. Mimi ni mwananchi wa kawaida kabisa na asilimia 95 ya wafanyabiashara wa nchi hii hawatoi risiti halali. Pale unaponunua bidhaa ukiomba risiti toka kwa mfanyabiashara ni mgogoro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…