toyota

  1. JamiiForums Tanzania Vintage Toyota Carina mwaka 1973

    Kama Toyota Carina mwaka 1973 ilikuwa hivi nini kilitokea kwa matoleo recent TOYOTA CARINA 1973 TOYOTA CARINA 2001
  2. JamiiForums Tanzania Developing Story: Magomeni, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga na Kuua Mwanamke. Gari yadakwa, Dereva Asepeshwa na Polisi!

    Wanabodi This is a developing story Yaani story muendelezo Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke mmoja. Mwanzo gari na dereva wake walidakwa na kuhifadhiwa kituo cha polisi cha Magomeni Polisi. Leo...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Aliyebuni logo ya Toyota apewe maua yake kama hauna "A" tatu hauwezi kuelewa logo hiyo ina jina la kampuni

    Kwenye biashara iwe ni service provider au manufacturer kuna kujenga brand name lakini pia kuna logo ambayo kazi yake kubwa ni kuitambulisha brand yenyewe. Logo ni sehemu muhimu ya kutangaza brand, huduma, bidhaa au biashara. Ni moja ya kipengele ambacho kinahitaji designer mbunifu sana ili...
  4. JamiiForums Tanzania Hii Toyota FJ Cruiser ya 2011 imekaa kibabe sana.

  5. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu Toyota Harrier first generation.. Nataka niichkue soon.

    Habari zenu wanaJamii.. Nina wazo la kununua Harrier ile old model.. first generation za mwaka kati 1999 hadi 2002. Naomba ushauri kuhusu maintenance costs, Reliability na fuel consumption. Nafaham zipo za 2.2cc, 2.4cc na 3.0cc. Ofcourse ningependelea yenye 2.2cc kulingana na factor yangu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Deepal kutoka China wamezindua mpinzani wa Toyota Prado, Tesla Cybertruck na Tesla Model S.

    Ni vita na mapinduzi zaidi kutoka China yanaendelea katika sekta ya magari. Deepal wanekuja na hybrid na EV tatu ambazo zimeletwa mahususi kupambana na SUV, offroad trucks na Executive Sedans. Deepal G318 Hii ni REEV off-road SUV inayokuja na four au two wheel drive, ikiwa na engine ya 1.5L...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi uliielewa Toyota FJ Cruiser? Inakuja second generation yake.

    FJ Cruiser gari moja ya kibabe sana, walianza nayo tokea 2007 uko ila wakaipotezea hadi leo hawajawahi tuletea 2nd generation. Sasa inakuja. Ingawa bado ni rummors ila picha zimeanza kuonekana uko kwa wenzetu. Kuna uwezekano tukafurahi wazee wa mandinga ya ajabu. Baadhi ya watu wanasema...
  8. JamiiForums Tanzania Toyota Mark X 2007 na Crown 👑 Athlete 2007 ipi yenye better fuel efficiency

    Habari wadau, naomba kuuliza, ni ipi kati ya Mark X 2007 na Crown Athlete 2007 yenye fuel economy kuliko nyenzake? Nafaham zote zina zinatumia engine ya 4GR japo kwa Mark X Kuna pia 2GR na 3GR ile ya Cc 3000. Lakini hapa namaanisha ile 4GR ya cc2500 2WD na Athlete Crown yenye cc2500 2WD...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Ractis 2011 VS Toyota Corolla Runx 2003

    Jamaangu anaomba ushauri achukue ipi kati ya hizo bei zina fanana zote hadi ushuru mil 17+ Ractis NCP120. Cc 1490 Runx NZE-121 cc 1490
  10. JamiiForums Tanzania Toyota Land Cruiser V8 Amazon Ushuru umekua mkubwa kuliko bei ya gari

    Habari wakuu hivi Kuna namna ya kufanya discount ya Ushuruu? Nahitaji kuagiza hii chuma ila Ushuruu umeipiku Hadi bei ya Gari
  11. T

    JamiiForums Tanzania Exchange deal ya kiwanja na toyota alphard no E

    Habari wapendwa! Kuna jamaa yangu ana uhitaji kibiashara hana mtaji wa hela ila anataka gari aina ya Alphard no E iliyo katika hali nzuri kwa ajili ya wazo lake kibiashara. YEYE: Kiwanja 30 kwa 30 Kipo kibaha mail moja Kina beacons tayari, kina pagale zuri hatua ya rinta, umeme na maji...
  12. JamiiForums Tanzania GARI TOYOTA COROLLA INAUZWA

    Toyota Corolla One Eleven 111 colour white cc1394 Engen 4E Bei Tsh 6M (Maongezi yapo kidogo) Location- Bunju, Dar es Salaam Fully Document Gari ni Manual Injini safi ni kuwasha na kuondoka Piga Simu 0684129792
  13. JamiiForums Tanzania Nini cha kuzingatia ukitaka kununua gari kwa mtu (used)?

    Wakuu. Mbali na kuagiza gari kutoka nje ya nchi, au kununua showroom kuna option ya tatu ya kununua gari ambalo Mtanzania mwenzako analitumia. Hii inaweza kua njia salama zaidi lakini pia ya hatari zaidi usipokua makini. Sasa kuna vitu vya kuzingatia unavyotaka kununua, tutaviweka kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Chagua Hybrid Moja hapa: Toyota Prius vs Honda Insight!

    Wakuu. Bila kupepesa macho, kuna izi hybrid mbili kutoka Japan (Toyota Prius na Honda Insight) ambazo zinafanana na kutofautiana mambo mengi sana. Kwa kuanza zote naomba tutumie za mwaka mmoja, 2009 ambapo kwa Prius ndio alikua anaanza generation ya tatu na Insight yeye anaanza generation ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya Toyota spacio na Toyota raum nichukue gari gani hapo?

    Msaada wataalamu
  16. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota coaster 1HDT FTE 38,000,000

    Coaster mayai Engine 1hdt-fte umeme Manual transmission Gear box safi Engine safi Year of Manufacture 2000 Location: Mbeya Price: 38,000,000 0717184353 haina dalali
  17. JamiiForums Tanzania Naweza kupata Toyota Rumion Kwa Tsh milion 6?

    Wakuu wote habar zenu... Nauliza kama naweza kupata gari tajwa Kwa bei hiyo. iwe namba D Kama kuna atakayekwazika natanguliz samahani. Naleta Kwa hatua yenu.
  18. JamiiForums Tanzania Toyota harrier inatakiwa m31. Gari ipo Msasani/ostabey polisi mpya.

    Yes, Nauza harrier tako la nyani m31 karibuni sana. 0715 494920 & 0783 708437. Gari ipo Msasani karibu kabisa na kituo cha polisi ostabey mpya. (Mazungumzo yapo kidogo)
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota Premio

    Wana JF Nahitaji Toyota Premio Model mpya Engine size CC 1450 Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya Namba DZ au Namba E. Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox Pia mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya...
  20. JamiiForums Tanzania Car4Sale Corolla rumion inauzwa mpya

    Toyota rumion Cc 1490 Year 2007 Price 16milion Call 0686475568
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…