toyota

  1. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Bodi na viti vyake vya toyota hilux vinauzwa

    Toyota Hilux pick up na viti vyake vinauzwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania 2011 Toyota Ractis (EFP) Inauzwa TZS. 14.8m

    Toyota Ractis . YOM: 2011 Engine Capacity: 1320cc Mileage: 54,000 Kms Automatic Petrol From Japan . Location: Chang'ombe-Dsm . Call: 0717 650800
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mbona watu ni kama wamezikimbia Toyota Wish, ni issue ilio technical au ni trend tu

  4. ndiyomkuusana

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari Daihatsu Terios Kid inauzwa

    Ipo Dar es Salaam, bei 7M(Negotiable), Namba D, km 135649. CC 625. Kama unahitaji nicheki 0624987746
  5. M

    JamiiForums Tanzania Diff ya toyota noah

    Wakubwa kama kichwa kinavyojielezea hapo nataka nipate diff ya noah two wheels maana iliyopo inapiga kelele sana aisee sasa nataka nibadilishe sasa naomba kujua gharama yake maana naona kabisa dalili za kupigwa hapa
  6. Mributz

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota runx sale 14.3m imenyooka

    Haina kipengele Arusha tz Mwaka 2006 Km 131,200 Cc 1490 0718909429
  7. Brown B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota LandCruiser ZX 2023

    Toyota LandCruiser ZX Year: 2023 Cc: 3.4L Diesel Interior: Cream (Biscuit) Mileage: 12,600km Fuel: Diesel Transmission: Auto Color: Pearl White Executive Features •Fridge •Leather Seats •Sunroof •Modelista BodyKit •Brand New condition 💰Price 400m Free registration ✅ ☎+255626682228
  8. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Wakuu kwa bajeti ya Tsh milioni 21. Nichukue toyota ipi ilio durable?

    Karibuni car experts
  9. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Toyota VX,VXR n.k siyo Salama kwa viongozi. Serikali isitishe matumizi yake kwa viongozi wa Serikali

    Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama. Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo. Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi. Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate...
  10. 3

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya Toyota Noah mbona yanaibwa sana

    Mambo vipi. Kwa wajuvi wa mambo hebu tuelezeni mbona tukisoma taarifa nyingi za habari kuhusu wizi wa magari utakuta ni Toyota Noah zinaibea sana na zaidi hasa Kilimanjaro na pia Nairobi. Zina ni I hasa Hadi wezi waziibe sana? Pia unafanyaje ili ulinde gari lako dhidi ya wezi wa namna hii?
  11. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Toyota land cruiser

    Habari wakuu Naomba ushauri nina-plan ya kununua Toyota land cruiser series ya 100 used hapa bongo ushauri wenu wakuu Hii ndo my dream Car ila Sina uwezo wakuagiza from pajan
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

    Gari ipo Kigamboni Dar es Salaam. Ipo katika hali nzuri sana! Make: TOYOTA ISIS MWAKA: 2008 CC: 1798 SEATS: 7 DRIVE: AUTOMATIC, 2WD Kama kutahitajika service basi zitakuwa ni spares ndogongogo za kkawaida. Mawasiliano: WHATSAPP: 0785872256 BEI: 9,500,000
  13. aliyetegwa

    JamiiForums Tanzania Natamani kununua Toyota Rush naomba ushauri wenu

    Wakuu Mimi huvutiwa sana na muundo wa gari hii, inaurefu Fulani ata sisi tunaoishi mabonde Kwinama inaonekana kama inafaa hivi. Sina utaalamu sana wa magari ila najiuliza kwanini gari hii sio nyingi sana barabarani wakati inaonekana kua gari nzuri kwa Mimi nisiyekua na ujuzi wa kutosha juu ya...
  14. aliyetegwa

    JamiiForums Tanzania Kati ya Toyota Wish na Toyota IST upi unyama?

    Heshima kwenu, Naomba ushauri juu ya uchaguzi wa ununuzi wa Toyota Rush au IST, kiupekee napenda muundo wa Rush imekaa kama gari Fulani yenye hadhi ila sio mjuzi wa magari hata punje, nimeileta kwenu nisaidieni kufanya maamuzi kwa kuzingatia sifa za gari hizo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Pick Up (SINGLE CABIN)

    Wana JF, Nahitaji Toyota Pick Up iwe SINGLE CABIN, iwe katika hali nzuri, kama kuna mtu anayo ani-PM pamoja na Bei yake anayouza.
  16. Sauti ya amani

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Probox used Nina 5.5M 0749442229

    Mwenye hyo gari nitafute ukiwa dar itapendeza zaidi
  17. Faana

    JamiiForums Tanzania Toyota waja na toleo jipya Landcruiser 300

    Landcruiser 300
  18. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Msaada Toyota rush inanipasua kichwa

    Habari. Jamani msaada kwenye tuta Nina Toyota rush toka alhamis inaniletea ugonjwa pasua kichwa mno. Ukiitembelea bila kuwasha ac unaweza kutembea hata siku nzima isisumbue gear box ina change fresh kabisa,lakini ukiwasha tu ac ndani ya dakika 5 au 10 basi over drive ina blink kwenye dashboard...
  19. kwezi magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota harrier inauzwa

    Toyota harrier Mwaka 2005 Kilometers elfu 83 Gari mpya Bei milioni 27.5 Maongezi baada YA kukaguwa gari
  20. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari ya toyota inahitajika!

    Mnunuzi anatafuta gari ya Toyota yenye sifa zifuatazo: Uwezo wa Injini: 1500cc au chini. Hali: Gari iwe katika hali nzuri, isiwe na matatizo makubwa. Historia: Haijawahi kuhusika na ajali. Bajeti: Hadi TZS 5,000,000 (Milioni 5). Ikiwa una gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali...
Back
Top Bottom