For Sale: Toyota Noah
Year: 2008
Color: Silver
Mileage: 125,000 km
Engine No: 3ZR
Engine Capacity: 1980 CC
Fuel Type: Petrol
Seating Capacity: 8 Seats
Features: Open Sunroof
Registration: T…EMK
Price 22mil a bit negotiable.
Contact: 0784225000
-
TOYOTA HARRIER-ANACONDA
Mwaka 2015
Engine 1980cc
Rangi Pearl White
Mileage 95,000km
Bei 65m
📌Leather Seats 📌Winker Mirrors 📌Sunroof 📌Auto Boot
☎+255626682228
In a move that will shake up the global auto industry, Toyota has just unveiled a water-powered engine powered by hydrogen created through electrolysis — emitting only water vapor! No lithium. No charging stations. Just pure disruption.
With this bold move, Toyota isn’t just competing with EVs...
Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !!
Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na...
Wananzengo habari,
Jana mkuu wa mkoa wa DSM alikuwa kwenye magodauni vingunguti ambapo wamekuta viwanda vya kutengeneza spare za TOYOTA na NISSAN. Ina maana ukienda kariakoo au mitaani spare zinatoka pale na mafundi wanawaambia hii original.
Navyojua hakuna spare original bei rahisi. Endeleeni...
Make:TOYOTA
Model:LANDCRUISER UZJ200 4.7L ZX
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2009
Country:JAPAN
Fuel Type:pETROL
Engine Capacity:2501 CC & ABOVE
Price 120M
Reference Number:
24254119019
Make:
TOYOTA
Model:
PASSO - KGC 30/35
Body Type:
HATCHBACK
Year of Manufacture:
2012
Country:
JAPAN
Fuel Type:
PETROL
Engine Capacity:
501 - 1000 CC
Price 16M
Habar
Kwa wale wote WENYE uhitaji wa kuagiza gari nje ya nchi naomba tuwasiliane
0686153806
Toyota Noah 2008
Reference Number:24254118958
Make:TOYOTA
Model:NOAH - ZRR 70 / 75
Body Type:WAGON
Year of Manufacture:2008
Country:JAPAN
Fuel Type:pETROL
Engine Capacity:1501 -
Price 22M
2010 Toyota premio
Reference Number:24254119264
Make:TOYOTA
Model:pREMIO - ZRT260 / ZRT261 / ZRT265
Body Type:SEDAN
Year of Manufacture:2010
Country:JAPAN
Fuel Type:pETROL
Engine Capacity:1501 - 2000 CC
Price 30M
Hello ,
Nauza Toyota porte Bei ni Milioni 5.5
Sio dalali ni mmiliki so tunaweza zungumza kidogo kwenye bei
Location : DSM Msongola
Colour : Silver
Engine size : 1450 cc
Reg : DES
Engine ,gear box,Ac vyote vizima
Habari
Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo la kutangaza magari ya Toyota harrier models zote huku nikijunuisha na gharama zote kama vile Kodi za tra nk
Hii itamrahisishia mtu anayetaka kununua gari aina ya Toyota harrier aweze kuzijua gari hizi Vizur lkn pia ajue ni kiasi Gani kinahitajika ili aweze...
Habari za jioni wana magari,, naombeni mnipe experience kwa wale walio wahi kuendesha Toyota fortuner,, stability yake ikoje ikiwa kwenye speed 100 na kuendelea,,
Hatimaye Generation ya 6 ya Rav 4 imezinduliwa leo tar 21 May huko Japan, na imejumlisha re-design ya kuanzia muonekano wa nje na ndani, hadi performance.
Kuendana na kasi ya ukuaji wa magari ya umeme, generation hii ya Rav 4 itakuja kwa options mbili tu, either full EV (BEV) au Hybrid (PHEV)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.