toyota

  1. M

    2010 Toyota premio for sale from Japan including all COSTS

    2010 Toyota premio Reference Number:24254119264 Make:TOYOTA Model:pREMIO - ZRT260 / ZRT261 / ZRT265 Body Type:SEDAN Year of Manufacture:2010 Country:JAPAN Fuel Type:pETROL Engine Capacity:1501 - 2000 CC Price 30M
  2. M

    2010 Toyota premio

    Reference Number:24254119264 Make:TOYOTA Model:PREMIO - ZRT260 / ZRT261 / ZRT265 Body Type:SEDAN Year of Manufacture:2010 Country:JAPAN Fuel Type:PETROL Engine Capacity:1501 - 2000 CC Price 30M
  3. dume30

    TOYOTA PORTE FOR SALE ,PRICE 5.5 MIL

    Hello , Nauza Toyota porte Bei ni Milioni 5.5 Sio dalali ni mmiliki so tunaweza zungumza kidogo kwenye bei Location : DSM Msongola Colour : Silver Engine size : 1450 cc Reg : DES Engine ,gear box,Ac vyote vizima
  4. Pro Mwl

    AMANI IWE JUU YENU......NAOMBA KUELEWESHWA KUHUSU TOYOTA COROLLA FIELDER NA RUMION IPI NZURI ZAIDI BONGO, ULAJI WA MAFUTA, VIPURI NA UIMARA

    AMANI IWE JUU YENU......NAOMBA KUELEWESHWA KUHUSU TOYOTA COROLLA FIELDER NA RUMION IPI NZURI ZAIDI BONGO, ULAJI WA MAFUTA, VIPURI NA UIMARA
  5. M

    TOYOTA HARRIER ALL MODELS FROM JAPAN SPECIAL THREAD

    Habari Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo la kutangaza magari ya Toyota harrier models zote huku nikijunuisha na gharama zote kama vile Kodi za tra nk Hii itamrahisishia mtu anayetaka kununua gari aina ya Toyota harrier aweze kuzijua gari hizi Vizur lkn pia ajue ni kiasi Gani kinahitajika ili aweze...
  6. BrainOs

    Kwa mlio endesha Toyota fortuner msaada..

    Habari za jioni wana magari,, naombeni mnipe experience kwa wale walio wahi kuendesha Toyota fortuner,, stability yake ikoje ikiwa kwenye speed 100 na kuendelea,,
  7. Mad Max

    Toyota wazindua Rav 4 new Generation: Ni Hybrid na EV tu, hakuna Engine kavu!

    Hatimaye Generation ya 6 ya Rav 4 imezinduliwa leo tar 21 May huko Japan, na imejumlisha re-design ya kuanzia muonekano wa nje na ndani, hadi performance. Kuendana na kasi ya ukuaji wa magari ya umeme, generation hii ya Rav 4 itakuja kwa options mbili tu, either full EV (BEV) au Hybrid (PHEV)...
  8. Jidu La Mabambasi

    Natafuta Dashboard ya Toyota Hilux 2007

    Natafuta Dashboard ya Toyota Hilux mwaka 2007. , akama unayo ingia DM tuonane.
  9. Uhuru24

    Bodi na viti vyake vya toyota hilux vinauzwa

    Toyota Hilux pick up na viti vyake vinauzwa
  10. M

    2011 Toyota Ractis (EFP) Inauzwa TZS. 14.8m

    Toyota Ractis . YOM: 2011 Engine Capacity: 1320cc Mileage: 54,000 Kms Automatic Petrol From Japan . Location: Chang'ombe-Dsm . Call: 0717 650800
  11. ndiyomkuusana

    Car4Sale Gari Daihatsu Terios Kid inauzwa

    Ipo Dar es Salaam, bei 7M(Negotiable), Namba D, km 135649. CC 625. Kama unahitaji nicheki 0624987746
  12. M

    Diff ya toyota noah

    Wakubwa kama kichwa kinavyojielezea hapo nataka nipate diff ya noah two wheels maana iliyopo inapiga kelele sana aisee sasa nataka nibadilishe sasa naomba kujua gharama yake maana naona kabisa dalili za kupigwa hapa
  13. Mributz

    Car4Sale Toyota runx sale 14.3m imenyooka

    Haina kipengele Arusha tz Mwaka 2006 Km 131,200 Cc 1490 0718909429
  14. Brown B

    Car4Sale Toyota LandCruiser ZX 2023

    Toyota LandCruiser ZX Year: 2023 Cc: 3.4L Diesel Interior: Cream (Biscuit) Mileage: 12,600km Fuel: Diesel Transmission: Auto Color: Pearl White Executive Features •Fridge •Leather Seats •Sunroof •Modelista BodyKit •Brand New condition 💰Price 400m Free registration ✅ ☎+255626682228
  15. PROFOUND NOTION

    Wakuu kwa bajeti ya Tsh milioni 21. Nichukue toyota ipi ilio durable?

    Karibuni car experts
  16. Kinyungu

    Toyota VX,VXR n.k siyo Salama kwa viongozi. Serikali isitishe matumizi yake kwa viongozi wa Serikali

    Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama. Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo. Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi. Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate...
  17. 3

    Magari aina ya Toyota Noah mbona yanaibwa sana

    Mambo vipi. Kwa wajuvi wa mambo hebu tuelezeni mbona tukisoma taarifa nyingi za habari kuhusu wizi wa magari utakuta ni Toyota Noah zinaibea sana na zaidi hasa Kilimanjaro na pia Nairobi. Zina ni I hasa Hadi wezi waziibe sana? Pia unafanyaje ili ulinde gari lako dhidi ya wezi wa namna hii?
  18. TEAM 666

    Toyota land cruiser

    Habari wakuu Naomba ushauri nina-plan ya kununua Toyota land cruiser series ya 100 used hapa bongo ushauri wenu wakuu Hii ndo my dream Car ila Sina uwezo wakuagiza from pajan
  19. K

    Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

    Gari ipo Kigamboni Dar es Salaam. Ipo katika hali nzuri sana! Make: TOYOTA ISIS MWAKA: 2008 CC: 1798 SEATS: 7 DRIVE: AUTOMATIC, 2WD Kama kutahitajika service basi zitakuwa ni spares ndogongogo za kkawaida. Mawasiliano: WHATSAPP: 0785872256 BEI: 9,500,000
Back
Top Bottom