tovuti

  1. Aina 3 za blog zinazofaa kuanzisha 2021 ili kuongeza kipato

    Blog ni nini? Blogu ni aina ya tovuti ambayo inatoa taarifa za kila siku za tasnia Fulani, machapisho katika bloghuwekwa mara kwa mara ili kutoa taarifa husika za kila siku. Taarifa hizi za kila siku zinaweza wekwa kwenye blog zinaweza zikawa habari, tetesi muziki na matukio. Mfano wa blogu...
  2. N

    Tovuti ya fiqhi ya ibadah yenye picha zilizochorwa

    Ni mradi unaohusiana na kuwepesisha mafunzo ya hukumu mbali mbali ya Uislamu kwa lugha mbali mbali, kwa lengo la kueneza Uislamu ulio sahihi kwa waislamu. Mradi huu unajumuisha kitabu chenye picha kuhusu hukumu mbali mbali za Uislamu, ndani ya kitabu hiki kuna milango mitano nazo ni: a) Twahara...
  3. C

    Lini Tovuti ya TIN ya TRA itafanya kazi?

    Kila nikijaribu kuingia kwenye tovuti ya TIN ya TRA napata error messages. Hii inakera sana tena sana! Cha ajabu, leo asubuhi kupitia Richard Kayombo, TRA wanajinadi kwenye EFM Radio eti kila kitu kuhusu TIN kimerahisishwa kupitia tovuti ya TRA? Lakini siyo kweli hata kidogo. Tovuti ya TIN...
  4. Tovuti ya CHADEMA bado inatangaza Lissu kuteuliwa kuwa mgombea

    Nimeambatanisha screenshot 2. Moja ni tovuti ya chadema na ya pili ni tovuti ya republicans wa Marekani. Japo siungi mkono GOP ninataka CHADEMA kuona aibu hii ya kuwa nyuma sana kutoa mrejesho kwa watu wenye mapenzi na chama.
  5. Akaunti ya Twitter ya Tovuti ya Waziri Mkuu wa India yadukuliwa

    Mtandao wa Twitter umethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo na kueleza kuwa wadukuzi wakuwa wakiwaomba wafuasi michango ya fedha kupitia sarafu za mtandaoni (cryptocurrency) Tukio hili linajiri ikiwa ni wiki kadhaa tangu akaunti za Twitter za watu mashuhuri zidukuliwe Uongozi wa Twitter...
  6. Matarsoft company inatoa huduma ya kutengeneza tovuti ama website kwa bei na fuu

    Habari, Matarsoft Company inatoa huduma ya kutengeza tovuti ya aina yoyote kwa bei rahisi. Bei yetu ni kuanzia laki moja na nusu (150,000 Tsh) Mambo yanayopatikana katika huduma zetu. 1. Designing 2. Hosting 3 Domain Name (.com and so on) 4. Seo optimazation 5. First visitors 6. Payments...
  7. Kanuni mpya za Maudhui ya Mtandaoni: Wenye 'channel' na tovuti za dini nao kusajiliwa

    Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA), Namba 3 ya mwaka 2010 inamruhusu Waziri kuleta Kanuni za kusimamia maudhui ya mtandaoni. Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano amesitisha matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni Namba 133 ya mwaka 2018 zilizochapishwa mwaka mnamo Machi...
  8. Natafuta tovuti ya bei ya vyakula Tanzania na Afrika Mashariki

    Habari za leo wanajamvi, Mimi mwenzenu natafuta tovuti inayotoa taarifa ya bei ya vyakula nchini Tanzania (hasa nafaka) na pia Afrika ya Mashariki na Kati. Msaada tafadhali. Nawatakia siku njema.
  9. T

    Tunatoa huduma ya kutengeneza website (tovuti) kwa bei nafuu

    Tunatoa huduma ya kutengeneza website (tovuti) kwa bei nafuu. Tunahudumia wateja mikoa yote na hata nje ya nchi. Malipo ya kutengeneza tovuti unalipa baada ya kazi kukamilika Tumenefanya kazi na wateja kutoka mikoa mingi ya Tanzania na nje ya nchi pia (Canada & Sweden). Bei > TZS 450,000...
  10. Tuwafundishe watoto wetu kutembelea tovuti hizi ziwasaidie katika elimu

    Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) ikitumika vizuri katika sekta ya elimu itasaidia kujenga mazingira mazuri na kuwezesha kuwepo kwa mbinu bora katika ufundishaji na ujifunzaji. Nimetembelea tovuti mbalimbali za elimu hapa TANZANIA, Nimeona mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu hasa...
  11. R

    Hivi Vyama vya Wafanyakazi pamoja na kuchukua michango kila mwezi vinakosa hata tovuti

    Niende kwenye mada kuna kijana kaniomba nimuelekeze wapi zilipo ofisi ya chama cha wafanyakazi kutokana na yeye kuwa na mgogoro na mwajili wake yaani TUCTA. Kwa kuwa ni mfanyakazi kwenye huduma za mahotel nilimweleza TUCTA ni muunganiko wa vyama vya wafanyakazi toka sekta tofauti ila yeye...
  12. Gazeti la Mwananchi online lafungiwa miezi sita na kulipishwa faini milioni 5 kwa kupotosha

    Mamlaka ya mawasiliano Tanzania kuiptia Kamati ya Maudhui imesitisha leseni ya utoaji wa huduma za maudhui mtandaoni ya Mwananchi Newspaper kwa kipindi cha miezi sita, na kuwapiga faini ya Tshs milioni 5. Adhabu hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa Aprili 13 kupitia mitandao ya kijamii...
  13. Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

    Wakuu. Nimependa leo tujadili suala hili, mitandao ya ngono inaharibu vijana wetu pamoja na utamaduni wetu kama waafrika. Ilikuwa siyo kawaida kuona picha za faragha kwani ilifahamika ni jambo la aibu kuona na pia kulikuwa na hofu fulani. Zamani kidogo kuona picha hizi ilikuwa lazima ulipie...
  14. TAMISEMI tunaomba majumuisho ya mapato ya kila halmashauri kwa mwaka 2018/2019 kwenye tovuti yenu

    Hadi sasa Tumeingia robo ya pili kwa mwaka 2019/20 lakini tovuti yenu haina majumuisho ya mapato ya kila halmashauri kwa mwaka wa fedha 2018/19. Waziri wakati anatangaza alisema watu wa mapato wanafanya usuluhishi wa mahesabu ndio wataweka, lakini tovuti haina kitu zaidi ya taarifa za mapato ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…