tour

  1. F

    Mapendekezo katika maboresho ya utalii: Wazo la Royal tour iende mbali zaidi kiasi cha kumfikia kila mtu

    Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu. Hatua hii ya...
  2. F

    Mapendekezo katika maboresho ya utalii: wazo la Royal tour iende mbali zaidi kiasi Cha kumfikia kila mtu

    Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu. Hatua hii ya...
  3. Namna 'Royal Tour' ilivyoikoa sekta ya utalii kutoka ICU

    Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Taifa letu, ambapo Rais anacheza filamu nzima, tena kama muhusika mkuu katika harakati za...
  4. P

    Royal Tour ni sumaku ya kisiasa Mkakati wa Kenya una changamoto chanya kwa Tanzania

    Video ya Rais William Ruto akiongea na wakenya waishio ughaibuni (diaspora) siku za karibuni, imejaa kila aina ya somo jema kwa uhai wa miaka mingi wa Tanzania yetu. Ruto kawa muwazi kwa wakenya kwamba anabariki jitihada zao za kutafuta maisha huko ughaibuni, kwamba wanachokipata huko...
  5. Waziri Makamba anaihujumu Royal Tour ya Rais Samia iliyotumia mabilioni

    Salama wandugu. Nianze tu kwa kifupi Royal tour msingi wake mkubwa ni kuvutia wawekezaji. Msingi wa mwekezaji namba moja ni nishati,sasa makamba anachofanya ni kumhujumu bosi wake umeme wake wa kwikwi usioeleweka. Wanafikiri wanawakomoa wananchi kumbe wanamkoa bosi wao. At the end of time...
  6. My Tanzania Tour in 5 regions.

    Recently I made a tour in 6 regions in Tanzania. These are my conclusions: 1: Geita town council has the potential to be a municipal. 2: Mwanza is the second largest city in Tanzania so far. 3: Iringa Municipal has all the credentials to be a city. I was impressed by that town. 4:DDdoma is...
  7. N

    Zahera katumwa kuwatoa Simba mchezoni? Anaendelea na Media Tour!

    Naona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni? Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa wachezaji wa Utopolo. Sasa mbona leo ni kama anaendelea na Media Tour yake? Mabosi wake hapo Utopoloni...
  8. Ruto in Ethiopia for Safaricom launch as he begins regional tour

    Ethiopia Thursday morning on his first tour of the region since taking office. President Ruto is also set to travel to Uganda and Tanzania. The agenda for the regional tour includes talks on business and political ties, according to a dispatch from State House. On his arrival in Addis Ababa...
  9. Filamu ya “The Royal Tour” iliyotafsiriwa Kijapan yazinduliwa Japan

    Wageni wanaotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayoendelea nchini Japan wakiangalia Filamu ya "The Royal Tour" Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism Expo) yanayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 22 – 25 Septemba 2022 kuzindua...
  10. Tulitumia zaidi ya Tsh. Bilioni 7 kurekodi Royal Tour, tumeingiza kiasi gani mpaka sasa?

    Ukiangalia gharama kubwa za maisha zinavyozidi kuwatesa wananchi, kila kitu kimepanda bei kuanzia chakula, mafuta, vifaa vya ujenzi ndio kabisaaaa. Kuna wakati najiuliza tulitumia zaidi ya Tsh. Bilioni 7 kwaajili ya kushoot filamu ya Royal Tour ili iweje sasa? zimerudi gharama kiasi gani mpaka...
  11. Iko wapi Royal Tour mliopiga chapuo kuwa italeta manufaa kwa Watanzania? Mbona tozo na ughali wa maisha unazidi kuwabana Watanzania

    Mlisema Royal Tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka. Sasa kama Royal Tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini? Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
  12. Dkt. Abbasi, Mchengerwa kumpokea Balozi wa Amani Duniani Agosti 25, anakuja kuunga Mkono Royal Tour

    Dkt. Abbasi, Mchengerwa Kumpokea Balozi wa Amani Duniani Keshokutwa, anakuja kuunga Mkono Royal Tour Aug 23, 2022 Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema, Agosti 23, 2022, Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa ujio wa Balozi wa Amani Duniani na Kiongozi...
  13. 'The Hidden Tanzania', Part Two ya Royal Tour

    Rais Samia Suluhu Suluhu amesema sehemu ya pili ya filamu ya “The Royal Tour” inatarajiwa kutoka hivi karibuni lakini itakuja kivingine ikilenga kuonyesha maeneo ya utalii yaliyojificha yaliyopo Tanzania. Filamu hiyo ambayo ni mwendelezo ya kwanza itapewa jina la “The Hidden Tanzania”. Rais...
  14. The Hidden Tanzania: Filamu itakayofuata baada ya The Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni nyota wa filamu ya Tanzania The Royal Tour ameahidi kuja na filamu nyingine itakayoitwa The Hidden Tanzania. Rais Samia amesema filamu hiyo italenga kuonesha vivutio ambavyo havikuonekana katika filamu yakwanza...
  15. K

    Rais Samia apandisha thamani ya Tanzanite

    Filamu ya Tanzania Royal Tour, imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite. Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal Tour kumuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini hayo. Katika sehemu ya...
  16. Royal Tour Tanzania inavyozidi kuzaa matunda

    Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo. Wageni hao ambao wanaendelea kutembelea vivutio mbalimbali vya...
  17. Royal Tour: Watumishi wa Umma Tumeona Matokeo Yake

    Kwakweli binafsi nashukuru sana kwa nyiongeza nono ya 25,000/= (kabla ya makato) nadhani haya ni baadhi tu ya matunda ya filamu yetu. Nasema ni matunda maana filamu imemtengeneza msanii kweli kweli na sanaa hiyo aliitumia katika hotuba ya mei mosi na sasa tumeshuhudia na kudhihirisha bila shaka...
  18. Royal Tour: Hatujasahau ahadi za steringingi.

    Steringi wa hii filamu alitwambia kuwa punde baada ya uzinduzi tutashuhudia faida mara 7000 ya gharama zilizo tumika kwenye maandalizi yake. Matokeo yake tunaona mfumuko wa bei ukiongezeka, mwezi wa 7 tarehe 1 tumetangaziwa tozo mpya ya serikali kwenye miamala ya bank itaanza na tayari wafanya...
  19. Kitu gani hasa kimekuwa na mchango mkubwa katika Uchumi wa Tanzania kati ya Filamu ya Royal tour na Ufufuaji wa shirika la ATCL

    Habari za wasaa wakuu. Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao . Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote . 1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
  20. Mpaka sasa Royal Tour haijaleta manufaa yoyote nchini

    Tusidanganyike kirahisi wakuu, Kuna watu maarufu sana duniani kama David Beckham na mke wake walisha wahi kuja kula good time hapa nchini na wakazungukia vivutio vyetu miaka ya nyuma. Pia kuna ma Rais wastaafu wa nchi kubwa kama US wamewahi kuja kula good time na kusepa, wasanii pia wamekuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…