tofali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bei ya mashine za kufyatua tofali

    Naomba kwa anayefahamu bei na aina mbalimbali za mashine ya kufyatua tofali ambazo ni imara anijuze bei, na sehemu zinapopatikana
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba maeneo ya Vingunguti na nyumba kumeguka tofali

    Habari wadau, Naomba ushauri kuna nyumba ya mzee wangu vingunguti imemeguka meguka sana matofali mpaka sehem zingine ndani zimefanya tobo unaona mpaka ndani nataka nimpe ushauri mzee ni namna gani anaweza kufanya renovation matengenezo kwenye hali hiyo je, afanyeje na kama kuvunja nyumba...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau

    Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hivi wafungwa kufanyishwa kazi ya kufyatua matofali sio forced labour?

    Najua duniani kwa sababu fulani fulani za kimaadili huwa hawanunui bidhaa zilizotengenezwa kwa forced labour. Nimepita Shinyanga nimekuta wana wanagonga tofali kama vibarua. Je, hela zinazopatikana hapo zinaenda wapi? Kwa hiyo jeshi la magereza limeona kukata magogo haitoshi wameona wahamie...
  6. GARDENER255

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza biashara ya tofali

    Naiitaji msaada wa mawazo. Et naitajika kua na vifaa gan nikitaka kufungua kiwanda kidogo cha tofali kijijini. Na hivo vifaa navipata kwa bei gan. Note: kama kifa unacho unaacha mawasiliano na bei. Mimi nipo Tanga, Pangani.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali mkoa wa Mara inatarajia kuweka uraratibu wa kuwakagua Wanafunzi wa kike kama wamekeketwa

    Serikali mkoa wa Mara imesema inatarajia kuweka uraratibu wa kuwakagua wanafunzi wakike kabla ya kuingia darasani , waliokekeketwa na endapo itabainika kuna mtoto kakeketwa wazazi na walimu wakuu watachukuliwa hatua za kisheria kwa kushindwa kudhibiti ukeketaji. Chanzo: Jambo Tv Yaani kabisa...
  8. Kaka mwisho

    JamiiForums Tanzania Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?

    Kichwa cha habari kinajieleza. Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?
  9. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu yaKununua Tofali za Block

    Wakuu,Heshima kwenu nyote. Kwanza kabisa nishukuru kwa namna mnatoa madini katika jukwaa hili la ujenzi Kila siku.Hii inatia hamasa kwa mtu anaetamani kujenga. Leo nilienda kutembelea sehemu wanapouza Tofali na Bei zimekaa kama ifuatavyo. 1.Ratio ya Tofali 40 -1200 kwa Tofali. 2.Ratio ya tofali...
  10. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Mawazo katika kufanikiwa kwenye biashara ya Tofali haswa kwenye Miji inayokuwa

    Habari wana Jamvi. Leo nimejifikiria kuhusu Biashara ya tofali naamini kila mtu kwa nafasi yake ameshiriki katika biashara hii. Leo ningependa tuelezane mambo kadha wa kadha kuhusu biashara hii, jinsi yakufanikiwa zaidi na zaidi, uendeshaji na maono yako kwa mfanyabiashara baada ya miaka...
  11. Masokwe

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba makadirio ya haraka haraka ya tofali kwa hii ramani

    Hello wakuu mambo vip. Tafadhali wale wazoefu, naomba kujua makadirio ya haraka haraka kwa msingi tuu, wa ramani hii maana pesa ni za kudunduliza. Makadirio ya tofali Makadirio ya mifuko ya cement NA nondo za lenta ya msingi Pia na ufundi. Nyumba ukubwa ni meter 80 Kamjengo nataka kuweka...
  12. Mgalula MzTz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vibao vya tofali kutoka Mufindi vinauzwa

    Vibao vya tofali kutoka Mufindi. Vinapatikana kwa bei nafuu kwa Dar na Dodoma. Piga simu no. 0758 597106
  13. MUBIKU

    JamiiForums Tanzania Changamoto juu ya ujenzi wa nyumba kwa tofali za kuchoma

    Utumiaji wa tofali choma, unaweza kunipunguza gharama za ujenzi? Na nichangamoto zipi naweza kukutana nazo endapo ntafanya ujenzi huu?
Back
Top Bottom