tls

GnuTLS (, the GNU Transport Layer Security Library) is a free software implementation of the TLS, SSL and DTLS protocols. It offers an application programming interface (API) for applications to enable secure communication over the network transport layer, as well as interfaces to access X.509, PKCS #12, OpenPGP and other structures.

View More On Wikipedia.org
  1. Katibu wa kamati ya sheria, katiba na legal aid ya TLS adaiwa kukamatwa na polisi

    Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi amechapisha ujumbe kuwa amepokea taarifa ya kukamatwa kwa Katibu wa kamati ya sheria, katiba na legal aid ya TLS na kwamba wanaifanyia kazi na baadaye kutoa taarifa rasmi. "Nimepokea...
  2. M

    RAIS WA TLS KUJIUZULU?

    Baada ya kushindwa kuiongoza TLS kwa ufanisi? Kutokana mwenendo wa kesi ya Lissu?
  3. Hii TLS ya Mwambukusi tangu wahongwe Gari kwisha habari yao, Mwambukusi amebakia kuwa motivatin speeker

    Hii TLS ya mwambukusi mara hata 1000 ya ile ya Edward Hosea, Hosea pamoja na kuwa alikuwa ni wa mfumo ila anagalau kiasi. Fikiria mwanachama wao na kiongozi wao anakamatwa anasweka ndani, wako kimya kana kwamba hakuna tatizo, Mwambukusi amegeuka kuwa Motivation speeker acaunt zake zimejaa post...
  4. W

    Nawaza tu kwa jicho la tatu Mwabukusi amelamba asali

    Habari ya usiku huu wa GT. Kila nikiangalia mwenendo wa mambo hasa hasa huko TLS, hasa hasa Rais wa TLS nafsi inaniambia mambo yafuayayo yanapaswa kupewa jicho la tahadhari: Kwanza, Section 4 Kwa sisi ambao siyo wanachama wa TLS tulikuwa hatuna ufahamu kuhusu hili la section 4, habari ya...
  5. Hakimu aliyetoa hukumu hii dhidi ya Vijana wa CHADEMA -SIMIYU, kwanini asifutiwe shahada yake ya sheria?

    Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake. Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na MwanaJF?. Fikiria CCM, CCM CCM yaan nafasi ya Ubunge tu ,ubunge tu, inawafanya Mnamfungulia watu...
  6. PreGE2025 TLS yalipuka! Yalaani kukamatwa kwa Tundu Lissu, na kutoa mapendekezo

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na Mwanasiasa maarufu Tundu Antipas Lissu. Katika taarifa ya kushtua iliyotolewa leo, TLS imetaja hatua hiyo...
  7. R

    WHERE JUDGES AND MAGISTRATES MAKE MISTAKES

    Introduction The judiciary of Tanzania stands as the last hope for justice. From the Primary Courts to the apex Court of Appeal, it is structured not only by law but by trust, trust placed by the people in those who sit in judgment. Judges and Magistrates are bestowed with the noble duty of...
  8. M

    Wakili Mwabukusi siasa zinakuvunjia heshima TLS kama marais wa TLS wamekutana mbona Wakili Edward Hossea hakuwepo?

    Mtu yeyote mwenye akili anajua kikao cha marais wa zamani wa TLS cha kujadiili haki za uchaguzi ni kikao cha Chadema tu, hakuna lingine. Kama marais wa zamani mbona wakili Edward Hossea hakuwepo?
  9. TANZIA Kiongozi wa TLS Kagera, Seth Niyikiza akutwa amekufa nyumbani kwake

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ndani mwake. Akithibitisha tukio hilo leo Jumatano Februari 26, 2025 Kamanda wa Polisi mkoani humo, Brasius Chatanda amesema mwili wa wakili huyo ulibainika baada ya mteja...
  10. W

    PreGE2025 Wakili Mwabukusi aeleza kuwa Tanganyika Lawyers' Society (TLS) hawajalamba asali

    Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa; "Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata changamoto watu wanapoona tunashirikiana na serikali wanafikiri tunalamba asali. TLS siyo kikundi cha...
  11. M

    Ushauri kwa wanachama wa TLS

    Nawashauri watokee wanachama wa TLS wajitokeze hadharani kumkosoa Rais WA TLS wa sasa ili tuone nini kitatokea. Naandika hivyo kwa sababu yeye mkosoaji mkubwa wa viongozi wa chadema waliopo madarakani dhidi ya kundi la Lissu. Hii itatupa tumpime uwezo wake ktk masuala ya uongozi
  12. Ni makosa ya kiufundi kuandaa mdahalo katika jengo la TLS ambalo Mwabukusi ni Rais wake, na anamunga mkono Lissu hadharani, haki isingetendeka

    Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke. Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
  13. Uchaguzi wa CHADEMA 2025 na uchaguzi wa TLS 2017

    I don’t have a dog in the fight, but I’m starting to see similar kind of vibes between 2017 and 2025 in relation to Tundu Lisu. Mwaka 2017 Lisu aligombea urais wa TLS. Kabla ya uchaguzi huo, washabiki wa Lisu walikuwa vocal sana, hususan humu mitandaoni. Ilikuwa huwaelezi kitu kuhusu huyo...
  14. Rais wa TLS Boniface Mwabukusi Anatoa Tamko Muda Huu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa ujumla. https://youtu.be/zgoZejCXR1M
  15. M

    Rais wa TLS (Mwabukusi) anaikosea heshima TLS

    Nawashauri TLS kumshauri Rais wao Mwabukusi kujiepusha na siasa chafu za chadema. Kweli katiba inamruhusu kushabikia Upande anaotaka lkn yeye kama kiongozi wa mawakili nchini na anaeongoza Taasisi alioita pinzani kwa ccm ni vizuri kukaa kimya katika kipindi hichi, kuegemea kwa LISSU huku...
  16. PreGE2025 Ikiwa walishindwa kumfanya MWABUKUSI asishinde TLS Licha ya Figisu zote, TUNDU Lissu atashinda Mwenyekiti CHADEMA

    Zipo nyakati ambazo mtoa Mamlaka hua amemuamlia mtu. Zinapofika Nyakati hizo, hata ufanyeje, hata uwe na nani nyuma yako, Kamwe hatuwezi kuzuia Hilo. Mungu anachukia DHURUMA, Mungu anachukia Uonevu, Mungu yupo tayari Kumtumia Shetani ili tu Jambo lake likamilike. Na niseme wazi , Kama LISSU...
  17. Viongozi wa TLS Mwanza wajiuzulu, Mwabukusi atoa tamko

    Dalili ziko wasi kwamba TLS sasa imemshinda Mwabukusi. Kuna mpasuko mkubwa na viongozi wenzake wameanza kumkimbia. Ukimuona Mwabukusi anavyowananga wengine, unaweza kudhani anaweza hata kujiongoza yeye mwenyewe ==== Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoa wa Mwanza...
  18. Hatimaye TLS yamjibu Waziri Ndumbaro juu ya kauli ya "Kukurupuka" vita ni vita Muraaa.

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimekosoa kauli ya Dk. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria; na kusema chama hicho kiko imara na kitaendelea kuishauri Serikali, Bunge na Mahakama katika masuala anayohusu sheria, kukosoa kwa maslahi ya umma bila woga, hofu wala upendeleo, Aidha...
  19. TLS yamchamba Ndumbaro, yasema inafanya kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni na haijawahi kukurupuka kwenye matamko yake

    TLS [Chama cha Wanasheria Tanganyika] kikiongozwa na rais wake Machachari Boniface Anyunywile Mwabukusi kimetoa tamko ambalo kwa vijana wa kijani wanaona kama ni kuchamana na Ndumbaro. chama hicho kimeelezea kusikitihwa na kitendo cha Ndumbaro ambaye ni waziri wa sheria kukabishi gari la...
  20. PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Serikali haipendi kabisa matamko ya kukurupuka ya TLS

    Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu. =============== Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameonesha kutofurahishwa na mwenendo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kutoa matamko ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…