timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia usajili wa timu nyengine, reserve ya pesa waliyonayo, uongozi mathubuti wao basi niishie kusema R.I.P kwa timu yangu Man Utd. Tulikupenda!

    Hakuna pahala tunakwenda! Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december. Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move katika dirisha la usajili katika sunderland hivi. Namuonea huruma amorim maana hamalizi huu msimu...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Simba na Watanzania kwa ujumla wanataka kujua haya kuhusu uwekezaji wa MO kwenye timu ya Simba

    1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC? 2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji? 3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya dhana ya ufadhili, dhana ya biashara na dhana ya uongozi kwenye taasisi moja? 4. Je ripoti za...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Crystal palace aikosa nafasi ya kushiriki Europa ,Huku Bongo kuna mtu ana mkono katika timu 8

  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuzisaidia timu zao wafanye hivyo sasa wakati wa usajiri, sio wakati wa mechi.

    Wakati wa kusajiri wachezaji umefika, ni sasa. Kama yupo mfadhili, kiongozi, mwanachama, shabiki, mchambuzi, mwamuzi, mchungaji, sheikh au mganga wa jadi anataka kuisadia timu yake kupata matokeo msimu ujao afanye hivyo sasa wakati dirisha la usajili liko wazi. Changia fedha, mawazo, maoni...
  5. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje mpaka PSG ameruhusiwa kutengeneza timu iliyokamilika namna hii?

    Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG! Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!? Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz...
  6. PLOII

    JamiiForums Tanzania Mo ni boss kichechefu anakamua tu Simba; Simba brand kubwa kama hutaki kuweka pesa tuachie timu yetu

    Salute kwenu Wana Lunyasi! Niende kwenye Mada, Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni. Kipindi Simba ipo kwenye peak tulipitisha katiba kwa bashasha na Bodi ya Wakurugenzi ikapewa Meno kuliko...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Emil Mpanzu kwa Upuuzi ulioko Simba SC nakushauri kwa hizi Timu tatu kubwa ambazo zimeleta Ofa Kwako nenda na usibaki Simba SC kwani unapoteza muda tu

    Hizi ndizo Timu tatu ambazo tayari zimeshaonyesha Nia ya Kumsajili Mchezaji Emil Mpanzu tena kwa Fedha nono sana.... 1. KRC Genk 2. Brest FC 3. RS Berkane Ila Mimi kama GENTAMYCINE mwenye Jicho la USHAURI na kuona mbali kama Ndege Tai nakushauri uende KRC Genk ok?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kipi kinachofelisha kusiwepo na mchezo wowote unaowakutanisha wachezaji wa jinsia zote kwenye timu moja.

    Kwanza niweke record sawa mimi sitetei Feminism......na sio feminist at all. Jana nimetizama mechi kali sana ya wanawake kati ya Nigeria vs Tunisie wao wanaita Wafcon... (3-0) Niseme ukweli wale wanawake ni wachezaji wepesi, wazuri sana na wana kasi pengine kuzidi baadhi ya wanaume..... Yaani...
  9. FYATU

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mechi zipi/ngapi ambazo tunaweza haswa kumpongeza Kocha Fadlu kwazo?

    Mimi si Mtaalamu wa uchambuzi ila kama Shabiki ningetamani kusikia ufafanuzi wa kitaalamu kwa mechi ambazo tunaweza kusema hapa ufundi wa Fadlu umeonekana?. Hivi ni nini kikomo cha muda wa kujenga timu?maana isiwe tunaenda mpaka miaka miwili tunasema bado tunajenga timu.Tuwe wakweli kama Simba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msimu wa ligi 2024/2025 umekwisha na kila timu imevuna ilichopanda

    Hapa Kila Mmoja kavuna alichojiandaa nacho kwa msimu mzima kama ambavyo mwekezaji na mdhamini walivyoshika Kila Mmoja alichoambulia msimu mzima👇🤣🤣🤣
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Msemaji wa Timu moja namsubiri sana tuone atakavyowadanga 'Majuha' aliowazoea pale Msimu mpya wa NBC Premier League ukianza August 2025

    Na namshauri tu kama akiweza safari apige kimya na awaachie Viongozi wake ndiyo wawe Wasemaji ila siyo Yeye tena.
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Baada ya Venance kukosa goli la Ubingwa timu yake imeyumba hadi leo

    GT. Venance alikuwa ni namba sita machachari kweli kweli alikuwa tegemeo kubwa sana la timu yake . Kile kitendo cha kukosa goli la wazi akiwa yeye na golikeeper kimeigharimu timu yake hadi leo. Namba kumi wao tegemeo alikula umeme hivyo Venance akashikilia dimba, wapinzani walizidisha...
  13. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania ZakaZakazi: Hakuna Timu iliyofungwa matches tano mfululizo na Yanga kama Simba

    Alichokiandika Meneja Habari Wa Azam ZakazaKazi Baada Ya Yanga Kuishinda Simba… SASA NI TANO KWA TANO Agosti 9, 2023 Azam FC ilifungwa 2-0 na Yanga kwenye Ngao ya Jamii jijini Tanga, Shabiki mmoja wa Simba aliyefahamika kama Kisugu, alitokwa povu jingi sana na kuonesha dharau kubwa kwa...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga bingwa tena, hoja ya GSM kadhamini timu nyingi imezimwa na wamisri.

    Mungu kajalia mechi ya Simba na Yanga ndiyo iliyoamua ubingwa. Mungu amejalia pia timu inayodhaminiwa na GSM imeifunga timu ambayo imekataa kudhaminiwa na GSM kwenye mechi ya maamuzi nani awe bingwa wa ligi. Mungu huyu wa ajabu amezidi kuonyesha maajabu yake kwa mechi ya Simba na Yanga...
  15. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi nyepesi kuongoza duniani kama TZ. Sikutegemea Simba kupeleka timu uwanjani leo

    Imagine Uto leo Wana hamu ya kucheza mechi, TAREHE 15 hamu Yao ilikuwa wapi mpaka wakavaa na Jezi zenye maandishi ya Hatuchezi Ng'oo? BODI ya ligi na TFF hawajatueleza aliyebadilisha Tarehe ni nani? kwa kanuni ipi kwa makubaliano na nani? kwanini bodi ibadilishe Tarehe na kupanga Tarehe mpya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mkipeleka timu halafu ifungwe goli 5. Maama yangu weeeh

    Wakati mashabiki wengi wanasema timu isicheze. Sasa nyie pelekeni lakini muombe Mungu Simba ishinde tu. Itokee ifungwe mtawaeleza nini mashabiki wu
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba wana sababu za msingi na zisizo za msingi kutoleta timu June 25

    Nina uhakika 💯 Simba hataleta timu Vikao vya ndani vya Simba vimeshaamua kutokucheza Kwa sababu zifuatazo. 1. Kuonyesha msimamo wao. Simba washataarifu umma kuwa hawatacheza tarehe ikibadilisha kutoka 15 June. Kucheza itaonyesha hawana msimamo 2. Simba wakikubali kucheza itaonyesha wamefuata...
  18. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Simba kuipeleka timu uwanjani tar 25 ni kuidhalilisha club kubwa na bora barani Afrika dhidi ya club kubwa kisiasa Tanzania

    Hapo vip! Simba ni club kubwa na bora barani Afrika na ni ya tano sasa kwa ukubwa barani Afrika.Hivyo ni club kubwa na bora no.1 Tanzania,Afrika mashariki na kati. Ni aibu kwa club ndogo kama yanga kutumia siasa kuharibu mpira Tanzania. Nb: Tukumbuke yanga tokea Dunia kuubwa na kuanzishwa kwa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Auckland City kukipiga na Bayern Munich bila Kikosi kamili, baadhi ya Wachezaji wamekataa kujiunga na timu kutokana na kazi zao

    Klabu ya Auckland City FC, mabingwa wa Oceania, leo wanatarajiwa kucheza dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, kwenye michuano ya FIFA Club World Cup. Hata hivyo, klabu hiyo kutoka New Zealand itaingia uwanjani bila baadhi ya wachezaji wao muhimu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa Kombe la Dunia la Vilabu waanza leo na timu 32 litafanyika kila baada ya miaka 4

    Kombe la Dunia la Vilabu kwa muundo mpya linaanza rasmi leo tarehe 14 Juni 2025, likifanyika nchini Marekani, na kwa mara ya kwanza likihusisha vilabu 32 kutoka mabara yote. Hili ni toleo la kihistoria kwa sababu litakuwa linafanyika kila baada ya miaka 4, sawa na Kombe la Dunia la Timu za...
Back
Top Bottom