timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jumamosi iliyopita kuna Timu Moja ilikuwa inaendeleza kile ilichokizoea na nyingine imeonjeshwa Asali kabla ya Kulambishwa Chungu

    Huenda mwisho wa Kufurahi kwa hiyo Timu na Mashabiki wao ukawa ni Weekend ijayo ( hii ya sasa ) na baada ya hapo Kununa (kwa Kufurumushwa kabisa Michuanoni ) Kukaanza ama kutokea Sudan au Ethiopia.
  2. M

    JamiiForums Tanzania St George v/s Al Hilal naona Al hilal wanayo quality ya wachezaji lakini hawana timu, washakula 2 bila mpaka sasa

    Nafikiri kwa timu yoyote itayovuka kati ya hizi kukutana na yanga basi itatakiwa ifanye kazi ya ziada mara 2 kuizuia yanga, naangalia mechi yao hapa inayoendelea sijaona timu ya kuisumbua yanga, Al Hilal wanao wachezaji wazuri lakini wanakosa muunganiko kila mchezaji anacheza kwa uwezo binafsi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu Kubwa imeshinda Leo ila imecheza Mpira mbovu kiasi kwamba huko mbeleni ikikutana na Wanamume itafungwa 5 au 7

    Mabeki wake Wanakatika ( siyo Viuno vya Vitandani ) halafu Viungo wake ni wa aina Moja tu, Wachezaji wake wanapoteza Mipira kiurahisi halafu ina Washambuliaji wa Kubahatisha na Mmoja wao anayependa Kuzunguka zunguka hovyo kama Inzi wa Chooni halafu hana Madhara kabisa na Msaada kwa Timu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania TIMU YA WANANCHI

    Timu ya wanachi Nyasa Big Bullets kama inavoitwa Malawi ndio timu pendwa kuliko zote. Je nyau atapona leo ? tusubiri dakika 90.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona kwa sasa Timu Bora Tanzania kama Yanga SC na Mbovu kama ya Simba SC

    Kwa mziki huu unaachaje kuipenda Yanga SC kwa mfano.....? 1. Djigui Diara 2. Djuma Shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Dickson Job 5. Yannick Bangala 6. Khalid Aucho 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum Fei Toto 9. Fiston Mayele 10. Stephane Aziz K 11. Bernard Morison Na hawa ndiyo Mabingwa tena wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki na wanachama wa Simba hawajaumizwa na matokeo bali wanaumizwa na timu inavyocheza

    Nafikiri kuna point muhimu wanayo mashabiki na wanachama wa simba nayo ni namna timu inavyoperform uwanjani. Wanachezaje, je wanakosa matokeo dhidi ya timu ya aina gani, ni hoja ya msingi sana wanayo, usajili waliofanya kmc na walioufanya simba auendani na uhalisia wakiwa uwanjani. Kufungwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama KMC tu imekutoa jasho na bado unajinasibu unayo timu bora, ni kichekesho kingine

    Kwa mara ya kwanza almanusura KMC ichukue point zote 3 mbele ya timu ambayo mashabiki wake wanajinasibu wanayo timu bora. Unaokota point 1 mbele ya timu ambayo ni ya kawaida tena kwenye uwanja ambao unaweza kupanga mbinu zako na zikakubali. KMC aijawai kuchukua point kwa simba zaidi ya kipigo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wale wana Simba SC tuliomchoka CEO Barbara Gonzalez na Upuuzi wake tujuane ili Kesho tukaiteke Timu tumpe Mzee Bakhressa tupumzike na Kero

    Andika ID yako hapa au nifuate PM ili tukamilishe hili Zoezi kwani wana Simba SC tumeshavumilia vya kutosha kufanywa Wapumbavu na Fidodido Mifito Mingoko Mmoja tu. Imetosha sasa. Nina hasira sana!!!!!
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda aitambulisha timu itakayofanya mapitio ya utaratibu wa utoaji mikopo kuona namna ya kuboresha utaratibu huo

    Na WyEST, DAR ES SALAAM Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo Septemba 5, 2022 ameitambulisha rasmi kwa Bodi na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) timu itakayofanya mapitio ya utaratibu wa utoaji mikopo kwa miaka mitano...
  10. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nini kifanyike kwa viongozi wetu tupate timu bora ya taifa letu la Tanzania?

    Kwa jina naitwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa kitanzania nina umri wa miaka 28 kwa sasa leo ningependa nizungumzie mambo mbalimbali yanayo weza kufanyika ilimradi kuweza kufanikiwa kufika mbali katika timu yetu ya taifa. Mpira ni mchezo wenye washabiki wengi sana duniani kote na...
  11. JamiiForums Tanzania Timu ya Yanga hawajiamini

    Simba ni timu tunayojiamini hata mashabiki wake wanajielewa. Kwa upande wa Yanga hamjiamini mnaiba iba wachezaji wetu . Mnawaita kisiri kama wachawi halafu mnawawekea madawa yenu ya kichawi nakuwawekea fitina ili wahamie huko. Kama mnajiamini acheni wachezaji wetu tafuteni wenu na mjiamini...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu?

    Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu. Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala wakiamka. Inaweza unda timu nzuri sana ya taifa. Chemistry itakuwa kubwa sana. Mpaka sasa kwa timu yetu...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maswali na Majibu yote kutoka Mahakama Kuu kuhusu Pingamizi la Matokeo ya Urais

    Githu Muigai: Waangalizi wote walirudi na hitimisho moja. Huu ulikuwa uchaguzi wa wazi na wazi. Githu Muigai: Ningekuhimiza uwaulize mawakili ikiwa wanafurahia uchaguzi wao wenyewe. Ikiwa wamefurahi, basi inakuwaje uchaguzi huu una dosari? Githu Muigai: Katika mahakama hii, kuna magavana...
  14. M

    JamiiForums Tanzania TFF kumpelekea kipa Manula kocha mpya wa makipa Taifa Stars, Kaseja ni kuhatarisha hasa performance ya timu nzima kimatokeo

    Watu wa mpira tunajua kuwa kipa Aishi Manula na aliyewahi kuwa kipa wa Taifa Stars Juma Kaseja haziivi kabisa. Kaseja analalamika Manula mchawi na Manula nae kutwa hataki kumsikia Kaseja kwa madai kuwa ni mchawi na amekuwa akimuumiza mno walipokuwa pamoja Taifa Stars mwaka mmoja au miaka miwili...
  15. JamiiForums Tanzania Jezi za Timu za Taifa za Kombe la Dunia 2022

    Ikiwa imebaki miezi kadhaa kabla ya Kombe la Dunia la mwaka huu pale nchini Qatar tayari timu shiriki zimeanza kuachia jezi zao. Tuone timu zipi zina jezi kali.
  16. JamiiForums Tanzania Wanasiasa mkemeeni Karia wa TFF, amesababisha mpasuko mkubwa mno kwenye timu yetu ya taifa

    Kwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania. Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa ya Uganda huku wakisema "acha mwana majivuno Karia apigwe ili aendelee kuwafungua wana michezo wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

    Kama hanyofoi pesa za Mama(Rais) za hazina kufanyia kufuru Klabu yake ya Singida Big Stars basi atuambie hizo pesa anazitoa wapi. Halafu mwambieni aache kuzuga na kuficha kuwa yeye si mwenye timu hiyo ya Singida Big Stars ili labda bosi wake mkuu asijue. Ukweli ni kwamba kwa 99.9% yeye ndiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Kwenye timu ya taifa bado tunasafari ndefu

    Kama kiongozi wa ngapi ya juuu tena katika tumu zetu mbili pendwa ana post huu ujinga basi tuna safari ndefu katika timu yetu ya taifa,
  19. JamiiForums Tanzania Kanuni Mpya ya Mpya ya TFF, Shindano la Jamii Ngao ya Jamii Kushirikisha Timu 4

    Kwa mujibu wa Barua iliyotumwa kwa vyombo vya Habari, Kupitia kwa Bodi ya Ligi, Bodi imeboresha kanuni ya Ngao ya Jamii ambapao kwa kwa kanuni mpya kutakuwa na shindano la Ngao ya jamii ambalo litashirikisha timu 3 za juu kwenye ligi, ambapo ikiwa timu ni mshindi wa kombe la FA na ipo kwenye...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Man Utd walifanya kosa la Karne la Kutompa timu Conte

    Yalikuwa ni maamuzi ya wazimu kabisa. Tazama ndani ya muda mfupi tu Spars ilivyobadilika, Naamini kabisa kwa Man Utd mwaka huu Conte angeli challenge Title na Man City.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…