timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchini Wachezaji wa Timu Bingwa hawajumuiki na wenza wao wakati wa kukabidhiwa kombe?

    Sijawahi kuona hii, shida ni nini? Kule mamtoni ni kawaida sana wachezaji kujumuika na wapenzi wao wakati wa kukabidhiwa kombe.
  2. AbaMukulu

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Timu ya Taifa kufuzu AFCON Chatangazwa

    Chama cha soka nchini Tanzania kimeachia majina rasmi ya wachezaji wa Tanzania ambao watashiriki kwenye mechi za kuwania ushiriki wa mashindano ya AFCON 2023 dhidi ya Niger.
  3. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Simba iliwezaje kufungwa na timu mbovu Wydad AC? Hakika Ingekuwa Yanga taifa lingekuwa fainali

    Baada ya kutazama mchezo wa fainali baina ya Wydad AC ambao walikuwa nyumbani dhidi ya Al ahly, Nimesikitika na kushangaa sana kwanini mpaka sasa Tanzania hatuna kombe la Afrika.Hawa Wydad kwa mpira waliocheza najaribu kufikiria endapo wangekutana hata na USM Algers hakika wangechezea nyingi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Yaani Messi ameikataa Barca na kwenda kujiunga na timu inayoshuka daraja, ni ya mwisho kwenye msimamo

    Kama mnavyojua Messi anajiunga na cub ya Inter Miami ya Marekani Kwenye msimamo wa ligi hiyo club hiyo ni ya 16 kati ya timu 16
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msimu ujao ligi iwe walau na timu 18 ili tufurahie

    Ligi kuu imekuwa tamu sana, sema mechi chache sana. At least ziwe timu 18 tupate wasaa wa kuenjoy football. TFF board do something. We already have growth in football lets improve it.
  6. Jackal

    JamiiForums Tanzania Manchester City yatajwa kuwa Timu yenye Thamani Kubwa zaidi Duniani

    Man City have been named the most valuable football club brand in the world, after topping the Brand Finance Football 50 report for the first time 🥇 Five other English clubs appear in the top 10: Man Utd (4th), Liverpool (5th), Arsenal (8th), Tottenham (9th), Chelsea (10th) 💪📊 Source: Sky sport
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

    Habari ndugu zangu, Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo. Mara ya mwisho nimeona Rais Samia akitoa ndege ya Timu ya Yanga kusafiri mpaka Algeria na kuwarudisha Tanzania...
  8. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Yanga yaendeleza rekodi, haijawahi kuwekwa na timu yoyote Afrika

    Yanga hongereni sana tena sana, ni rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na timu yeyote afrika kushinda mechi zaidi ya tano away? Big up sanaaa Nb Nyumbani kuna wanga na wachawi
  9. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Timu ya Bunge inapiga mpira mzuri mithili ya Yanga

    Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake bora cha mpira. Pia Spika ameongeza kwa kuilinganisha ubora huo na Klabuya Young Africans ambayo...
  10. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Morrison ndiye mchezaji pekee mjanja kwenye timu ya Yanga

    Hapa nazungumzia saikolojia ya kucheza na refa. Waarabu kitu kidogo wamelalamika na kuonekana kama wameonewa. Mpira katoa yeye anakimbilia atake kurusha na uhuni mwingine mwingi. Mambo kama haya yanaathiri saikolojia ya refa na maamuzi yake ya baadaye. Ni Morrison pekee ndiye anaweza uhuni huu...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyowahi kufanya "come back" ya kibabe katika mashindano ya CAF

    Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF. Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0 Mashabiki walisononeka sana wakaisusa timu yao. Kikosi kikaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Matola achaguliwa kuwa kocha Mkuu wa timu ya Vijana Simba SC

    Klabu ya Simba leo imemtangaza Patrick Rweyemamu kuwa Mkuu wa Programu za Vijana wa Simba wakati Selemani Matola akitangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu za Vijana U-17 na U-20. Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula amesema Simba imedhamiria kuimarisha timu zake za vijana akiamini huo ndio utaratibu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Yanga akishinda ugenini, hoja ya kusema USM Alger ni timu dhaifu haitokuwepo tena kwani wanaisifu kuwa ni bora kuliko Yanga

    Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga. Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Caf Confederation cup ni michuano ya wachovu: Ushahidi ni timu iliyotolewa mapema champions league huko inafika fainali!

    Caf confederation cup ni michuano ya wachovu!! Hata timu iliyotolewa mapema tu uko caf champions league, lakini akirudi kwa wachovu anafika fainali!!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana, Timu za Ujerumani badala ya kuungana kumaliza utawala wa Bayern, zinakamiana

    Ligi imekosa mvuto, timu moja inachukua kombe kwa miaka 11 mfululizo kwa kutumia mbinu za kupora wachezaji wazuri kutoka timu pinzani Kwa mbinu hii pengine inaweza kuchukua ubingwa hata mara 20 mfululizo, maana msimu huu ndio walikuwa dhaifu kuliko misimu mingine Badala ya timu kuungana ili...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Suala la timu ya USM Alger kuja na Maji na vyakula linafikirisha sana

    Juzi tumeona kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha timu ya USM Alger ikiwasili JK Nyerere International Airport ikiwa na shehena ya Maji ya kunywa na pia inasemekana walibeba na vyakula vyao. Huenda wakawa na nia njema ya kuhakikisha usalama wao na kuepuka hujuma za kimichezo lakini pia kwa...
  17. carnage21

    JamiiForums Tanzania Makachero wa Mashujaa FC wabaini mauzauza uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza

    Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba. Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na...
  18. carnage21

    JamiiForums Tanzania Mwanasoka wa kwanza katika historia ya uingereza kuipandisha timu yake kutoka madaraja ya chini kabisa mpaka daraja la juu.

    Pelly Ruddock Mpanzu (amezaliwa 22 Machi 1994) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo Katika klabu ya Luton Town Ambayo Imefanikiwa Kupanda Ligi Kuu ya Uingereza Msimu ujao. Pelly Alizaliwa Nchini Uingereza ila aliamua kuwakilisha Taifa la Wazazi wake DRC na Anacheza Katika timu...
  19. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Kati ya Leeds Utd, Everton na Leicester City, timu zipi mbili hapo zitaungana na Southampton kushuka daraja?

    Pazia la EPL linaenda kufungwa jumapili hii. Bingwa ameshapatikana ambaye ni Man City. Top 4, timu zishapatikana ambazo ni Man City, Arsenal, Newcastle United na Man Utd. Kimbembe kitakuwa kule bondeni, kwa wanaoshuka daraja. Tayari, Southampton ameshashuka daraja, bado timu mbili za kuungana...
  20. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kuingia fainali kwa timu ya Yanga na USM Alger ni Mtihani mkubwa sana

    Kwanza naomba niipongeze Timu yangu ya Yanga kwa kufikia hutua hii adhimu ya fsinali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mmetuheshimisha sana sana, kweli hatuna deni na nyie, pokeeni maua yenu. Lakini naomba nitoe angalizo kwa timu yetu, hatua mliofikia ni mtihani mkubwa sana huenda kuliko watu...
Back
Top Bottom