timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanga jiandaeni na parade jingine msimu wa 2023/2024 hakuna timu ya kuwazuia

    Ni suala la muda tu pumba na mchele vitajitenga, nimeona timu zote Azam, simba na Yanga na nimejiridhisha ya kuwa bila kupepesa macho wala kutikisa masikio Wananchi waendelee kutamba mjini bado wanayo timu bora ambayo inakwenda kutwaa tena ndoo kwa mara nyingine! Kutoa mapovu ni ruksa but...
  2. JamiiForums Tanzania Power Dynamo rekebisheni kiungo chenu na safu yenu ya ushambuliaji vinginevyo amjapata timu ya kucheza ligi ya mabingwa

    Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi kubwa ya kufanya, pili awachezi mpira wa malengo na inaonekana wachezaji wao wengi awana uzoefu na...
  3. JamiiForums Tanzania Tuliahidiwa Jarida la Timu hatujaliona leo tunahamia katika Documentary ya Timu

    Mkiambiwa mna Matumizi mabaya ya Akili na mnapenda Kukurupuka mnanikasirikia GENTAMYCINE. Hovyo kabisa....!!
  4. JamiiForums Tanzania Morroco has advanced to round of 16, cha kustaajabisha, imetangazwa kuwa ni timu ya kwanza ya [Arab Nation] kufanya hivyo.

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Morroco ime advance kutoka group stage ya FIFAWWC inayoendelea huko Austarlia na New Zealand na kuingia kwenye group of 16, Wapewe Maua yao. Wakati ikitangazwa hivyo, wanahabari walidai Morroco ni Nchi ya Kwanza kutoka [Arab Nation] kufanya hivyo. Kwa kuzingatia...
  5. JamiiForums Tanzania Uchumi Mamboleo; Timu haijengwi na Washambuliaji Pekee

    Kumetokea Kasumba ya Watengeneza Sera kuwa Wauza Sura na Wapiga Brah Brah; Kama vile walivyo wapiga ramli wanatafuta mchawi kwa kuwaambia wadau makosa ni yao kwa kutokufanikiwa... Wanasema kila kitu ni Biashara kana kwamba vingine vyote havina maana; Yaani hata Timu sababu Mfungaji ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Nampongeza mmiliki Singida Fountain Gate FC kwa basi jipya la timu

    Napenda kumpongeza mmiliki wa timu yangu ya Singida fountain gate kwa kutuwezesha kupata basi jipya la kisasa ambalo litatusaidia katika safari mbalimbali katika msimu ujao. Ikumbukwe basi lile la zamani lilikuwa linafanya wachezaji wanachoka sana wanaposafiri kwenye mechi mikoani. Sasa msimu...
  7. JamiiForums Tanzania Meneja wa Bangala: Bangala akiachwa tu Saa 7 Mchana Saa 8 Mchana atakuwa ameshasajiliwa na Timu nyingine

    "Nashindwa kuwaelewa Viongozi wa Yanga SC kwani tayari wameshaonyesha kutomhitaji ila hawataki kumuacha wakisema watatoa taarifa yake Tarehe 31 July, 2023 ambayo ndiyo siku ya mwisho kusajili na kuacha Mchezaji. Hapa wanafanya uhuni kwakuwa wanajua kuwa Bangala akiachwa tu Saa 7 Mchana basi...
  8. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ligi yetu inapanda viwango, ipi nafasi ya timu yetu ya taifa?

    Mpira wa miguu umechuka nafasi kubwa katika kupanua wigo wa vijana wengi kupata ajira ukihusisha vijana wa kike na vijana wa kiume napa nchini ambapo wengine wamepata nafasi ya kucheza soka nje ya nchi na wengine wamepata nafasi ya kucheza soka ndani ya nchi. mfano oppa Clement. chanzo (...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro: GSM aliweka mkono lakini timu ikashuka daraja

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro anaeleza sababu ambazo zilipelekea timu ya Majimaji ya Songea kufa licha ya GSM kuwa msimamizi wa timu hiyo ukizingatia amezaliwa Songea. Chanzo: Jahazi (Clouds FM)
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi: Timu 10 bora za CAF ikiwemo SIMBA zitaanzia mzunguko wa pili. Hao "wananchi" wataanzia mchangani/mzunguko wa kwanza!

    54 teams are engaged in CL 2023 / 2024. Accordingly, the 10 highest ranked clubs in the official clubs ranking, shall be exempted of the 1st preliminaryround.The remaining teams are divided into the following: highest ranked teams / less ranked teams / non rankedteams.7 pots have been created...
  11. JamiiForums Tanzania Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

    Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia) Yanga itaanzia Raundi ya Kwanza kwa kukipiga na ASAS ya Djibouti, timu itakayoshinda itaingia Raundi ya Pili na kukutana na...
  12. JamiiForums Tanzania Asikuzuge mtu, jezi zote za timu zetu ni fulana na bukta za kawaida tu

    Kama jezi ya timu yako haina logo ya Nike, puma, umbro au adidas badala yake ina logo ya vunja bei, sandaland, sijui kindoki, gsm na akina aden rage, hiyo ni fulana na bukta tu, sio jezi ya kupandisha sijui mlima gani na kuunajisi. Tufike mahali tuwaambie watu wetu ukweli kuhusu hizi jezi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Mazungumzo ayafanyayo sasa Msemaji wa Yanga SC Clouds FM kumbe 'Skudu' kasajiliwa kwa Burudani na siyo kusaidia timu

    "Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliye Studioni sasa Spoti Extra ya Clouds FM. Haji Manara (Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC) hakukosea...
  14. JamiiForums Tanzania Timu za Tanzania hazimuoni Tumisang Orebonye?

    Nilidhani kuna timu moja ya Kariakoo itambeba Tumisang Orebonye, lakini nashangaa sana wanakuja kina Skudu. Ina maana timu zetu hazimuoni huyu jamaa?
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje? --- Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari. Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.
  16. JamiiForums Tanzania USM ALGER almanisura ishuke Daraja kama Malumo Giant. Kweli yanga ilicheza na timu mbovu ndio maana ilifungwa na Simba 2 -0

    Kombe la shirikisho limetawaliwa na Timu mbovu. Almanusura BINGWA wa Looser Ashuke Daraja kwenye League KUU hoko Algeria.
  17. JamiiForums Tanzania Timu ya Algeria yaweka rekodi ya dunia kwa kuvuna alama 4 tu msimu mzima

    Klabu ya Algeria HB Chelghoum Laïd 🇩🇿 imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30. Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata ushindi hata mmoja. Takwimu za timu hiyo: Mechi 30 Ushindi 00 Sare 04 Kupoteza 26 Pointi 04
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari. Mbarawa: Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango...
  19. JamiiForums Tanzania Simba ni timu isiyo na furaha, ona hapa!

    Hali yao ni ngumu sana, hebu watizame usoni utagundua hili
  20. JamiiForums Tanzania Elon Musk angeweza kuzinunua timu hizi zote badala ya Twitter!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…