Juma Ayo: kanjanja anayejiita mchambuzi pale Times FM

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
Yaani kama vile jamii ya Tz kwa sasa ilivyokumbwa na wimbi la kutisha la machawa pro max basi kuna hawa viumbe wanaojiita wachambuzi , kwa kweli ile sheria ya degree ianze tu hiyo December labda itapunguza vilaza waliojazana huko wakijipa majina ya soccer pundits

Simba ilipopigwa hamsa hamsa kule Cairo na Kinshasa, makanjanja yalimlaumu sana Uchebe kwa kucheza 4-3-3 na kufunguka ugenini, alipokuja kishingo akaanza soka la kuzuia ugenini na kushambulia kwa kustukiza matokeo yakaanza kuonekana ikiwepo kuifunga Plateu United ugenini

Gomez anaendeleza mfumo huohuo na aliutumia hata kwenye ushindi shidi ya as vita, sasa angalia wanavyowasifiaga Waarabu wakicheza ugenini, utasikia"ooh hawa waarAbu wakiwa ugenini wanakuacha ucheze tu wao shida yao ni sare au uwafunge hata goli moja, si unaona pyramids jinsi walivyocheza dhidi ya azam hiyo ni game strategy"

Sasa Simba kashinda ugenini KANJANJA AYO (nahisi hata hili jina ka-copy kwa Millard ayo, hakuna wameru waislamu) akapatwa uchungu wa hali ya juu hadi akashindw kula dagaa na kulipuka redioni kwamba simba kacheza mchezo wa hovyo. Seriously kweli yaani watu walikuwa washatayarisha hadi nyimbo za makirikiri wapige baada ya mechi wakijua Simba anapoteza na wengine washatamka kabisa kwamba simba hatafika makundi

Ni ajabu sana leo tunataka aminishwa kwamba Rivers Utd ni team la kutisha sana na Galaxy ni mchekea, Rivers jana katoa droo kwao na Al hilal ya Sudan tena wakitegemea goli la mtu kujifunga, kuna team ilishindwa kufunga home and away, makanjanja yakakausha, shame on them

BILA SHAKA MSAKO WA MAKANJANJA YASIYO NA VYETI UKIANZA HAPO TIMES FM UTAFAGIA WENGI SANA

***************************** ************************ ****************************

Screen Shot 2021-10-18 at 08.02.14.png
Screen Shot 2021-10-18 at 08.02.29.png
 
Wachambuzi uchwara kama kina kitenge unategemea nini?
 
View attachment 1978116View attachment 1978117
Hapo hamna mchambuzi, takataka kabisa hii.Hivi hawa ajira zao wanafanyia wapi interview.
 
Nimewasikia wasafi wanajadili kauli ya kocha wa yanga kulalamika kanuni ya kuchezesha wachezaji 8 ni utopolo mtupu hivi hawajui kwamba moja ya sababu ya kuongeza wachezaji wa kigeni ni michuano ya kimataifa ndio maana timu zilizokuwa zinashiriki hayo mashindano zilitaarifiwa mapema. Wametolewa mapema Sasa wanaanza kupialia kuhusu kanuni lakini wachambuzi wanaongelea kiushabiki zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom