Kwa nini Abood Bus wao hawatumii tiketi za ki electronic?

Kwa nini Abood Bus wao hawatumii tiketi za ki electronic?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,152
Reaction score
2,698
Nafikiri hii ilikua kwa ajili ya usalama wa abiria na mali zake ? Au ni kwa ajili ya walipa kodi wengine huyu Abood yeye haimhusu ?
Nimeona taarifa kutekwa kwa kada wa Chadema aliekua ndani ya Abood na walipoulizwa taarifa walisema wao hawana tiketi za ki electronic wao ni akina nani wasitake kuzitumia ? Na LATRA wanaruhusu haya ?
 
Back
Top Bottom