tiketi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi unalipishwa ushuru wa kuingia ndani

    Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi wanataka abiria walipe ushuru wa kuingia ndani ya stendi. Naenda kupanda kwa ajili ya safari yangu na nina tiketi ya Machine kabisa, then inakuwaje nilipie tena kuingia kwenda kupanda basi? Tulitaka walau tupandie mjini kwenye office za mabasi ila...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Annaandika Bagonga: Mfumo wa tiketi unahujumiwa na wenye mabasi

    SGR: HII NI HUJUMA YA WAJALUO AU MTANDAO TU?! Tarehe 7/10/2026 nimefika Airport Dsm ili kuruka kwenda Dodoma. Nikakosa ndege. Nikaamua kuchukua SGR kwenda Dodoma. Nikiwa na Afisa mzito wa serikali tukaamua kutafuta tiketi mtandaoni. Kwa treni zote toka DsM kwenda Dodoma zimeonyesha NO SEAT...
  3. JamiiForums Tanzania Simba yadaiwa kugomea Kampuni mpya ya Uuzaji Tiketi za Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Simba SC imegomea kampuni mpya iliyopitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa ajili ya uuzaji wa tiketi za mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 10, 2026. Simba SC imechukua hatua hiyo kwa kuandika barua rasmi kwenda Bodi ya Ligi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA SGR iweke utaratibu wa kurekebisha jina kwenye tiketi baada ya mteja kukamilisha malipo

    Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo. Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi kufanyiwa update ya jina akasafiria mtu mwingine, hivyo ticket inaenda bure bila kutumika...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ulanguzi wa tiketi za mabasi ya mkoani unaofanywa na mawakala

    Tarehe 13/09/2026, nilikuwa na safari kutoka Mbagala, Dar es Salaam, kuelekea mkoani Lindi. Kabla ya kwenda stendi, nilikagua upatikanaji wa tiketi mtandaoni na nikagundua kuwa karibu mabasi yote yalikuwa yamejaa kwa muda ambao nilipanga kusafiri. Niliamua kwenda Stendi ya Mbagala Rangi Tatu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Watoza ushuru wa mageti ya kuingia stendi ya mabasi ya mikoani agufuli rudisheni hizo chenji za sh 200 kwa wanaokata tiketi za kuingia stendi

    Habari zenu wakuu. Naomba kufikisha kero yangu ya muda mrefu hapa jukwaani iwafikie watu wenye mamlaka na uongozi wa stendi ya mabasi ya mikoni, Mbezi Magufuli Terminal. Kiwango cha tozo kuingia stendi ya mabasi ya Magufuli ni sh 300 ila unapokwenda pale na kutoa sh 500 basi wahudumu wake...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara - Mbezi), DART wafafanua

    Kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wa mabasi yaendayo haraka (BRT), kuhusu ukubwa wa nauli za mabasi hayo na kutokuwepo kwa tiketi za muunganisho wa safari. Soma pia: Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara -...
  8. O

    JamiiForums Kenya Pasta Ng’ang’a Awaambia Waumini: “Ni Lazima Mtoe” KSh1,000 kwa Tiketi Yake ya Ndege

    Video ya Pasta Ng’ang’a akiwa mbele ya waumini imezua mjadala mitandaoni baada ya kuonekana akiwaomba kila mshiriki kuchangia KSh1,000 kwa ajili ya kugharamia tiketi yake ya ndege. Katika video hiyo, pasta anaonekana akizungumza na waumini kanisani huku akisisitiza umuhimu wa kila mmoja kutoa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje mtu mwenye tiketi analazimishwa kulipia ushuru wa kuingia katika Stendi ya mabasi 88 Dodoma?

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi kuliona katika stendi nyingine za mikoani. Ndiyo maana baadhi ya abiria wameanza kuepuka kupandia...
  10. JamiiForums Tanzania Je. Mwanamke kuwa mahiri, mtamu na mtundu kitandani. Ni tiketi ndoa?

    Wanaume hii inaweza kuwa chanzo cha mwanaume kuoa mwanamke ayeona ni Mtamu kitandani,na Mtundu? Au wewe uliangalia tabia,utamu utaupata kwenye kuchepuka?? Au wewe ulioa mwanamke mtamu na ,tabia utamwelekeza? Ukiangalia wanaume wengi wanao chepuka ,ni ile waliangalia tabia na si...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo Malipo Tiketi SGR Kupitia M-Pesa

    Mnamo tarehe 24 July 2026, mimi na mfanyakazi mwenzangu tulifanya malipo ya tiketi za SGR kupitia M-Pesa kwa kutumia control number tulizopewa. Fedha ziliondolewa kwenye akaunti zetu, lakini malipo hayakuwasilishwa kwa SGR. Tulipowasiliana na SGR, walituambia control number zilikuwa bado...
  12. JamiiForums Tanzania Unafikiri nani ana afadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura

    Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura. Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF. Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
  13. JamiiForums Tanzania Waliomchagua Samia tiketi ya Umakamu wa Magufuli na Uraisi ni wakina nani ?

    Waliomchagua Samia tiketi ya Umakamu wa Magufuli na Uraisi ni wakina nani ? Walizingatia vitu gani toka kwa huyu mtu ?
  14. JamiiForums Tanzania Tiketi zashuka bei 60% baada ya Portugal na USA kuaga mashindano

    Baada ya Ureno na Marekani kuaga mashindano tiketi zimekosa soko na kushuka kwa asilimia 60 ,, baada ya watazamaji kupungua kwa kiasi kikubwa. Infunce ta Ronaldo na Uenyeji wa USA kutamatika kumefanya mauzo ya tiketi kwenye kombe la dunia kushuka zaidi ya nusu bei. Jiulize kama Argentina nayo...
  15. JamiiForums Tanzania Albert Einstein amepoteza tiketi kwenye treni

    Siku moja, Albert Einstein alikuwa ndani ya treni akitoka Chuo Kikuu cha Princeton. Kondakta akaanza kupita kukagua tiketi za abiria mmoja mmoja. Alipomfikia Einstein, mzee akaanza kupekua mifuko ya koti lake tiketi haipo. Akaingia mifuko ya suruali, akatafuta ndani ya koti lake dogo la...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi: Ukikosa Tiketi baki nyumbani

  17. JamiiForums Tanzania Kukata tiketi za SGR kumerahisishwa zaidi

  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za tiketi za safari zilizoahirishwa kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)

    Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za tiketi za safari zilizoahirishwa kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kutumia reli ya kisasa (SGR). Kwa muda wa zaidi ya miezi minne sasa, bado hatujarejeshewa fedha zetu. Kila tunapowasiliana na huduma kwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO App ya Mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya App

    App ya mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya app. Ukiwapigia wanasema wanarekebisha
  20. JamiiForums Tanzania KERO Buti ni kama tiketi ya kuingia Soko la Mabibo kipindi cha Mvua, ahadi ya ukarabati wa Manispaa ya Ubungo umeota mbawa?

    Soko la Mahakama ya Ndizi lililopo Mabibo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo limeendelea kuwa katika hali mbaya licha ya kuahidiwa kufanyiwa maboresho makubwa ambayo yangeweza kutatua kero zilizokuwa zikilalamikiwa kwa muda mrefu. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilitoa taarifa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…